Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Imekuuma that’s why unajiliza wanawake wakubali kuolewa ili mpone biporal 😹😹🤣🤣🤣 Sasa iniume nini, kutumika utumike wewe alafu niumie mie, sema umechakazwa na soko limeisha, nani atakuoa now ulishakuwa mshangazi unalea vijana
Mwenzio sijawahi kulea mwanaume wa rika lolote mwenye mbupu zake wala wenye vitraco laini km wewe..!!
Halafu sibebi mafurushi yani mpk upate access ya ku-unlock paja zangu ujue wewe sio mwanaume wa kawaida..!!
Levels babes hatubebi bebi machizi fresh ili kuufurahisha umma wa MAMBWA Okay?