Mabinti hivi miaka 22 mpaka 28 huwa mnadate na wakina nani mpaka mnashia kuwa single?

Kwa hiyo sasa hivi unaigawa bure tu bila ndoa, sema ulishakuwa Mshangazi
Nani alikudanganya kuolewa ni kwenda kufua boksa
Nimepewa bure sasa kwanini niuze?
Wewe unauziwa 😹😹
Dai risiti ya EFD

Kuna la ziada zaidi ya kufua viboksa mchaniko 😹😹
Mimi huo upuuzi nimeukataa, pole km imekuuma ila habari ndo hiyo..!!
 
Kuoa na kuolewa sio lazima, ni Hiyari.
Afu waoaji hata hawapo kwani. Lol
 
H

Sio lazima, Ila imagine umefikisha miaka 50 mtoto 20s wote mnakimbizana mtaani kupunguza nyege
Kwamba ukiolewa hiyo miaka 50 bado unaendelea kufukunyukuliwa?
Na huyo mpunguza nyege bado atakua na nguvu?? 😹😹

So ndoa ni kutoana nyege tu? 😿
Basi kumbe niko sahihi kukataa upuuzi km ndoa ni kupunguza nyege tu..!!
 
Waja utawaweza?
Wasengee hawa wanajua kila mwanamke anahitaji kuwa mtumwa na kutekeleza order za kipumbavu..!!

Yani nishazoea kupikiwa na kufuliwa na kutoa order then boom kijinga kimoja kianze kunipanda kichwani kichukue nafasi yangu?? Wengine hapana hatutaki 😹😹😹
 
Huwa wapo bize na sisi vijana wa hovyo pamoja na ile mizee yenye kadi za kijani pale mjengoni kwa Mtulie Mkiakisoni, mwisho wa siku ndo hivyo baraka za Mwamposa zinahitajika.
Uzi ufungwe hili ndio jibu.
Huwa wako bize na vijana wale masharobaro wenye swaga lakini sio waowaji ni hit & run.
Pia wanakuwa na wazee wa kuwahonga pesa nyingi kwa hiyo wewe ukimfuata kwa lengo la kumuoa anakuona boya hata hakusikilizi
 
Kwamba ukiolewa hiyo miaka 50 bado unaendelea kufukunyukuliwa?
Na huyo mpunguza nyege bado atakua na nguvu?? 😹😹

So ndoa ni kutoana nyege tu? 😿
Basi kumbe niko sahihi kukataa upuuzi km ndoa ni kupunguza nyege tu..!!
Wanawake mnakua na hasira sana mkikosa ndoa huku umri ukiwa umeenda, mnajuta kwa maamuzi ya kipumbavu mlioyafanya kwa kujiingiza kwenye mahusiano na bad boys wakiwachezea kisha kuwaacha baada ya kuchuja.
 
Ndoa ni maamuzi ya hiari kati ya watu wawili wenye jinsia tofauti,kuamua kuishi pamoja kama mke na mume. Maamuzi hayo ya hiari hayazingatii umri wa mtu,rangi,taifa wala kabila. Aliyeolewa ana umri mdogo na aliyeolewa na umri wa miaka 50 wote ni sawa na ambaye hajaolewa kabisa wote kwa pamoja tunaita ni maamuzi binafsi. Na uhuru wa mtu huwezi kuuingilia.
 
Hakuna anayeingilia, watu wanashauri tu. Ukiona jinsi wanawake wenye umri 26 hadi 35 wanavyotafuta ndoa kwa waganga na manabii basi tunaguswa kutoa mchango wa mawazo tu kua ukiwa kwenye peak ya uzuri usifanye biashara au fantasy za ngono na bad boys halafu baadae ukaanza kulialia kutafuta ndoa
 
Wasengee hawa wanajua kila mwanamke anahitaji kuwa mtumwa na kutekeleza order za kipumbavu..!!

Yani nishazoea kupikiwa na kufuliwa na kutoa order then boom kijinga kimoja kianze kunipanda kichwani kichukue nafasi yangu?? Wengine hapana hatutaki 😹😹😹
😂😂😂😂😂
Wanaume wa kibongo, hawajui ku reason mambo, wako hoya hoya tyuuu.

Ndoa zenyewe kila siku chaliii, ya nn sasa.
 
Wanawake mnakua na hasira sana mkikosa ndoa huku umri ukiwa umeenda, mnajuta kwa maamuzi ya kipumbavu mlioyafanya kwa kujiingiza kwenye mahusiano na bad boys wakiwachezea kisha kuwaacha baada ya kuchuja.
Unaweza kukuta hapo n single mother 😂
 
Wanawake mnakua na hasira sana mkikosa ndoa huku umri ukiwa umeenda, mnajuta kwa maamuzi ya kipumbavu mlioyafanya kwa kujiingiza kwenye mahusiano na bad boys wakiwachezea kisha kuwaacha baada ya kuchuja.
Sasa wee mwanaume ndo umekua msemaji wa wanawake?
Ndoa sio lazima, hii ni kujilisha upepo.
 
Back
Top Bottom