Mabinti hivi miaka 22 mpaka 28 huwa mnadate na wakina nani mpaka mnashia kuwa single?

Mabinti hivi miaka 22 mpaka 28 huwa mnadate na wakina nani mpaka mnashia kuwa single?

Nikate tamaa kwa nyie MAFURUSHI? 😹😹
Hivi nyie mnawazaga wanawake wote tunawaza kufua viboksa vyenu vilivyopigwa na changamoto mpk vimetoboka?!! Eti Eehh 😝😹😹
Kwa hiyo sasa hivi unaigawa bure tu bila ndoa, sema ulishakuwa Mshangazi
Nani alikudanganya kuolewa ni kwenda kufua boksa
 
Hiyo miaka hapo ukicheza vibaya basi kimekulamba.

Unakutana na mabinti wazuri kila idara rika la miaka 29 na 30 Ila wanakesha kanisani kuomba waume..
Sasa unajiuliza alipokuwa na miaka 22 (Yupo kwenye kilele cha usichana) alikosa mwanaume wa kumuoa kweli?
ITOSHE KUSEMA MKIWA KATIKA HILO RIKA MNACHAGUA SANA WANAUME
Miaka 22 hadi 26 utapata kijana mzuri tu wa kukuoa, Ila kuendelea hapo kupata Kijana wa kukuoa ni nadra labda mubaba.
Na sahivi ukiingia Facebook aisee kuna lundo la wanawake balaa wanaotafuta wanaume wa Rika ulilolisema na wengine single mothers ila cha kushangaza sasa mtaani hawaonekani na wengine wana nyodo balaa ata salamu tu anaweza hasikuitikie ,wanaangalia watu kwa muonekano na pesa
 
Mtoa mada usipende kuhukumu, kwenye mahusiano mara nyingi shida ni kuwa mtu unaemtaka humpati, ukimpata anakua kichomi ana tabia zisizovumilika, wengi waliooa na kuolewa msione kwamba wana raha sana wengi waliooa na kuolewa wame-settle baada ya wao kukosa machaguo yao, juma alitaka kumuoa Aisha ila hakueza mpata Aisha, Aisha alimkataa/Aisha mchunaji anapenda sana hela, Inabidi amuoe Salma,

jane anapenda kuolewa na denis ila denis hamtongozi/denis pasua kichwa inabidi aolewe na anthony joseph1989 Extrovert Intelligent businessman
Mkuu hapa unanisema mimi, mchumba wangu hajui nipo naye sababu kuna mtoto nilimkosa aseee
 
Kweny3 peak yao, huwa wanajikuta sana, kishq wanapagawa na kelele zetu, atasifiwa mzuri, atapewa hela, atafanywa fanywa hajui umri unasogea, sasa akiwa mwisho wa ubora wake ndio ankumbuka kuna ndoa, na wakati huo thamani imepungua, wale rika lake hawana mpango nae tena, wanacheki dogo dogo.

Peak ya mwanamke ni kuanzia 17 mpaka 25 pale, 25 kwenda 30 inaanza kusua sua, inashuka mdogo mdogo, 30+ ndio balaa thamani inashuka kwa kasi, otherwise kuwe na factor nyinginezo zimbebe
We hujatembea, kuna chuma moja hivi ina 27 lakini ni moto yule ni 10 aseee
 
Huo umri (22-28) wanasemaga hawataki kuolewa wanapambania ndoto au career zao.

Ukiwa bwege utajua kweli, kumbe hiyo ni zuga tu ya kuishi maisha ya hovyo bila kuwajibika kwa yoyote. 30 soko lishashuka anajishikiza kwa zoba mmoja wa kumfanya retirememt plan
Sema mkuu ujue ndoa na uzuri ni vitu viwili tofauti
 
Nikate tamaa kwa nyie MAFURUSHI? 😹😹
Hivi nyie mnawazaga wanawake wote tunawaza kufua viboksa vyenu vilivyopigwa na changamoto mpk vimetoboka?!! Eti Eehh 😝😹😹
Mkuu hebu kuwa na heshima, ndio kuolewa sio lazima na mimi naamini hivo sababu kila mtu ana uhuru wa kuamua juu ya maisha yake. Lakini kusema watu wanaolewa wakafue boksa sio sahihi.

Na hio haiwezi kuwa sababu ya msingi kumfanya mtu aamue kutokuolewa.
 
Mkuu hebu kuwa na heshima, ndio kuolewa sio lazima na mimi naamini hivo sababu kila mtu ana uhuru wa kuamua juu ya maisha yake. Lakini kusema watu wanaolewa wakafue boksa sio sahihi.

Na hio haiwezi kuwa sababu ya msingi kumfanya mtu aamue kutokuolewa.
Kwahiyo hawafui mnafua wenyewe? 😹

Basi nimeacha kiongozi, ila huyo nilimpokea km alivyokuja..!!
 
Ww umeshafikisha ukomo wa umri wa kuolewa, hvy acha kushiriki kuwadanganya mabinti khs umri wa kuolewa
😹😹😹 Mwisho miaka mingapi maana huku kuna bibi jmosi anaolewa na tajiri wa mafuta.. tena ndoa ya 5 na babu ana mkwanja mrefu..!!

Nyie wanaume wa sasa hivi mnasifiana mna vitraco vitamu hata mkiwaoa hao mabinti mtawatoroka muende mkacheze mnakochezaga (Matopeni) 😹😹😹
 
Back
Top Bottom