Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,787
Lakini ubovu wa JF, watakaojibu ni Wanaume au wasichana chini ya miaka 22.Swali la MSINGI
Mwanamke ni kama nyanya sokoni kadiri inavyokosa mnunuaji ndivyo inavyoharibika haijarishi itatunzwaje ila itaharibika tu.
Hivi kuna ulazima kuolewa?
Sio lazima, Ila imagine umefikisha miaka 50 mtoto 20s wote mnakimbizana mtaani kupunguza nyegeHivi kuna ulazima kuolewa? 😏
ukiona hivi ulishakata tamaa na umri umeendaHivi kuna ulazima kuolewa? 😏
Hapa wanachagua vijana baby face 🤣🤣🤣, akifikisha 30 yoyote tuHiyo miaka hapo ukicheza vibaya basi kimekulamba.
Unakutana na mabinti wazuri kila idara rika la miaka 29 na 30 Ila wanakesha kanisani kuomba waume..
Sasa unajiuliza alipokuwa na miaka 22 (Yupo kwenye kilele cha usichana) alikosa mwanaume wa kumuoa kweli?
ITOSHE KUSEMA MKIWA KATIKA HILO RIKA MNACHAGUA SANA WANAUME
Miaka 22 hadi 26 utapata kijana mzuri tu wa kukuoa, Ila kuendelea hapo kupata Kijana wa kukuoa ni nadra labda mubaba.
Kwenye ndoa zao wengi wapo na wapenzi wa watuMtoa mada usipende kuhukumu, kwenye mahusiano mara nyingi shida ni kuwa mtu unaemtaka humpati, ukimpata anakua kichomi ana tabia zisizovumilika, wengi waliooa na kuolewa msione kwamba wana raha sana wengi waliooa na kuolewa wame-settle baada ya wao kukosa machaguo yao, juma alitaka kumuoa Aisha ila hakueza mpata Aisha, Aisha alimkataa/Aisha mchunaji anapenda sana hela, Inabidi amuoe Salma,
jane anapenda kuolewa na denis ila denis hamtongozi/denis pasua kichwa inabidi aolewe na anthony joseph1989 Extrovert Intelligent businessman
Hivi kuna ulazima kuolewa? 😏
Maneno kama haya nilimwambia Lamomy na @Labela pia nitamwambiaHiyo miaka hapo ukicheza vibaya basi kimekulamba.
Unakutana na mabinti wazuri kila idara rika la miaka 29 na 30 Ila wanakesha kanisani kuomba waume..
Sasa unajiuliza alipokuwa na miaka 22 (Yupo kwenye kilele cha usichana) alikosa mwanaume wa kumuoa kweli?
ITOSHE KUSEMA MKIWA KATIKA HILO RIKA MNACHAGUA SANA WANAUME
Miaka 22 hadi 26 utapata kijana mzuri tu wa kukuoa, Ila kuendelea hapo kupata Kijana wa kukuoa ni nadra labda mubaba.
Nipe mzee wako anioe 😹Olewa binti acha maneno ya wakosoaji