Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Ni kweli mzee. Unajua umri wa kubalehe unawasumbua sana Hawa binti zetu. Na mazingira wanayoishi yanakuwa favorable kwa kufanya mapenzi . Tena wanafanya wao kwa wao pia mixture watu wazima Wana haribu mabinti. Mana hata Mimi huwa natutamani tubinti tudogo kiaina Ila nakemea tamaa za mwili . Mungu atusaidie amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumebadili mifumo ya kuishi, lakini hatujabadili tamaduni.

Hapo ndipo tatizo linapoanzia.
 
Safi
 
VIP umeshafanikiwa kumrudisha mpenzi wako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajifanya papuchi ndio duka lao
Mabinti wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa. Isitoshe wengi wao hawana kipato cha uhakika.

Hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
 
Hivi watoto wa 2000 wameshaanza mapenzi?
Mmmh
 
Kitoto miaka 14 kimeshachakazwa mpaka kimedumaa!

Jamani muwahurumie hawa watoto ndio maana hata magufuli anawatungia sheria kali ili awaokoe!

Kitoto kidogo kimeshajazwa mimba kinahangaika hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…