Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Ndonachosikitika hata akidanga ela ni zakujinunulia nguo zake na mikologo hajui hata kama anawatoto wala hawazi future yao yeye ni kuupara tu mjini dah
Mabint wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa,wengi wao hawana kipato cha uhakika,hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
Huyo mama yake alipofuatwa amuozeshe huyo binti alisema mwanae bado mdogo.Hali si nzuri mtaani binti below 25 anawatoto 3 na kila mtoto anababa yake ingawa mlezi ni mama yake na wamejaariwa majibu aisee unaeza juta kuhoji
Hivi upo?au nimekufananisha? π πTatizo kubwa ni Serikali ambayo haitaki kutunga sheria ili kuwabana hao mabaradhuli wanaotia mimba hovyo hovyo kisha kuingia mitini.
Kungekuwa na sheria kali basi hili tatizo la SINGO MAZA ambalo sasa linashamiri kwa kasi ya kutisha lingepungua sana.
Waendelee tuMotivational speakers watakua ndo wanawapotosha,
Utasikia you can do anything despite your age.
Matokeo yake ndo kama haya sasa mtoto ana mtoto. Dharau kama zote
Mkuu hapa nazungumzia binti wa miaka 18 ambaye anaelewa baya na nzuri.
Hivi upo?au nimekufananisha? π π
Niwaulize wanawake, mnasemaje sasa kuhusu ile hoja ya wakivunja tu ungo anaetaka aozeshwe??
Au bado tuendelee na utaratibu wa "haki za binaadamu"???
Bro!Tatizo kubwa ni Serikali ambayo haitaki kutunga sheria ili kuwabana hao mabaradhuli wanaotia mimba hovyo hovyo kisha kuingia mitini.
Kungekuwa na sheria kali basi hili tatizo la SINGO MAZA ambalo sasa linashamiri kwa kasi ya kutisha lingepungua sana.
Binti akivunja ungo ni bora aozeshwe kama tayari kashajua utamu wa dudu.
sio poa ππππππππnadhani umenifananisha
Hakika ni mtihani kwa kizazi chetu.Waoaji wenyewe wako wapi? Wanapenda papuchi tu lakini si waoaji. Watumie kinga basi ili kupunguza hili tatizo.
Kwani lazima awe miaka 18?? Mbona mnacremishwa sana?? Nani alisema 18 ndio anaweza ku-reason properly??Mkuu hapa nazungumzia binti wa miaka 18 ambaye anaelewa baya na nzuri.
Basi tufanye wa miaka 8 ndio wa kuozeshwa ili uanze ubishani wako.Kwani lazima awe miaka 18?? Mbona mnacremishwa sana?? Nani alisema 18 ndio anaweza ku-reason properly??
OkTuendelee tu ila elimu ya kujitambua inabidi ianzie huko mashuleni maana kuolewa mapema si kigezo chakupunguza haya tena wanaoolewa bila kujitambua wanaishia kuachika kama sio kunyanyasika zaidi