Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

Tatizo kubwa ni Serikali ambayo haitaki kutunga sheria ili kuwabana hao mabaradhuli wanaotia mimba hovyo hovyo kisha kuingia mitini.

Kungekuwa na sheria kali basi hili tatizo la SINGO MAZA ambalo sasa linashamiri kwa kasi ya kutisha lingepungua sana.

Mabint wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa,wengi wao hawana kipato cha uhakika,hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
 
Sometimes ipo shida, ukisema ngoja niende kwa demiss unakuta yupo na bro Mshana jr, unaogopa kuchukuliwa korodani kichawi, ukisema uende kwa Nifa unakutana na jasusi mbobezi the Bold, Mzigua, Manengelo kote watu wamevuta hand brake, bora tubanane badoo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo kubwa ni Serikali ambayo haitaki kutunga sheria ili kuwabana hao mabaradhuli wanaotia mimba hovyo hovyo kisha kuingia mitini.

Kungekuwa na sheria kali basi hili tatizo la SINGO MAZA ambalo sasa linashamiri kwa kasi ya kutisha lingepungua sana.
Hivi upo?au nimekufananisha? 😀 😀
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Niwaulize wanawake, mnasemaje sasa kuhusu ile hoja ya wakivunja tu ungo anaetaka aozeshwe??

Au bado tuendelee na utaratibu wa "haki za binaadamu"???

Tuendelee tu ila elimu ya kujitambua inabidi ianzie huko mashuleni maana kuolewa mapema si kigezo chakupunguza haya tena wanaoolewa bila kujitambua wanaishia kuachika kama sio kunyanyasika zaidi
 
Unalaumu watoto akati, watoto wanawaiga nyie watu wazima. Watu wazima sikuhizi hawajiheshimu na ndio wazazi unategemea watoto watakuaje?

Mrudieni Mungu nae atawaokoa watoto wenu, mtoto hawezi shindana na dunia kama hana elimu ya Mungu ndani yake.

Wazazi wasioijua dini huuzaa watoto wapagani.
 
Tatizo kubwa ni Serikali ambayo haitaki kutunga sheria ili kuwabana hao mabaradhuli wanaotia mimba hovyo hovyo kisha kuingia mitini.

Kungekuwa na sheria kali basi hili tatizo la SINGO MAZA ambalo sasa linashamiri kwa kasi ya kutisha lingepungua sana.
Bro!
Hii yako ni fikra fupi. Go deep into this issue.

Screenshot_20190818-144556_Google.jpg
 
😂😂😂😂😂😂😂nadhani umenifananisha
[/QUOTE]sio poa 😀
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom