Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah jua bado halijazama bado kabisa nakataa [emoji28][emoji28]
At that age nakumbuka bf wangu aliniomba sana nimzalie na nilikataa mpaka ukawa ugomvi baada ya kama miezi miwili akampa mimba dada mwingine nimekuja kujua mtoto ana miezi minne ndio tukaachana na dada mpaka leo hajaolewa na mwanaume ananisumbua mpaka kesho turudiane aisee wanaume akili zenu mnazijua wenyewe kwaio I could have been a single mama pia
Namshukuru Mungu sana ever since huwa najiuliza mwanaume akitaka nimzalie so I fit to be a baby mama and not a wife!?kwaio sijawahi kuwaza hivyo kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pande zipi hizo na mimi nije
Wanaume ni viumbe wenye simplicity tofauti na nyie wanawake.
Mbona huyo EX-BF wako anaeleweka kabisa anahitaji nini kutoka kwako, jamaa anakuelewa since kitambo, yaani wewe ndio chaguo lake na anapenda familia yake aitengeneze na wewe.
Kitendo tu cha yeye kudate na mtu wa pembeni hdi kufikia hatua ya kumzalisha pasipo wewe kufahamu kinaonesha jinsi gani jamaa alikuwa anakuheshimu.
Na siku zote wanaume kwenye suala zima la mahusiano tunawaheshimu wanawake waliopo ndani ya mioyo yetu.
Yaani pamoja na kupata mtoto kutoka kwa mwanamke mwingine lakini bado jamaa anajisogeza sogeza kwako, haloo huyo jamaa anakuelewa mbayaaa!!❣️!!
Acha roho mbaya Brenda, usimtese mtoto wa mwanamke mwenzio!! fungua moyo wako kwa kijana wa watu. Wewe kwake utakuwa ni zaidi ya baby mama nakuhakikishia.
Kama anampenda si aoeWanaume ni viumbe wenye simplicity tofauti na nyie wanawake.
Mbona huyo EX-BF wako anaeleweka kabisa anahitaji nini kutoka kwako, jamaa anakuelewa since kitambo, yaani wewe ndio chaguo lake na anapenda familia yake aitengeneze na wewe.
Kitendo tu cha yeye kudate na mtu wa pembeni hdi kufikia hatua ya kumzalisha pasipo wewe kufahamu kinaonesha jinsi gani jamaa alikuwa anakuheshimu.
Na siku zote wanaume kwenye suala zima la mahusiano tunawaheshimu wanawake waliopo ndani ya mioyo yetu.
Yaani pamoja na kupata mtoto kutoka kwa mwanamke mwingine lakini bado jamaa anajisogeza sogeza kwako, haloo huyo jamaa anakuelewa mbayaaa!!❣!!
Acha roho mbaya Brenda, usimtese mtoto wa mwanamke mwenzio!! fungua moyo wako kwa kijana wa watu. Wewe kwake utakuwa ni zaidi ya baby mama nakuhakikishia.
Hahah huwezi kumlia yamin mwanaume as I said akili na maamuzi yenu huwa yananifurahisha sana...
Good news ni juzi juzi ameongeza mtoto wa pili kutoka kwa dada yule yule,inamaana wakati ananyonyesha mimba ya pili chwii ikaingia
So muda wote ananisumbua tayari baby no 2 was on board [emoji1]
Hebu mtetee na hapo tena
Kama anampenda si aoe
Sasa hauoni hadi hapo chanzo cha yote hayo bado ni wewe!?[emoji45][emoji45]
jamaa ana kisonono cha hali ya juu na huyo dada ndio pumziko lake baada ya kukukosa wewe. Na kwa bahati mbaya sana stress zake anaona azimalizie kwenye ngono! na bahati mbaya zaidi huyo dada(babies mama wake) hana kauli kwa jamaa.
Twende mbele turudi nyuma! huyo jamaa yuko destined kuwa na wewe! na ndio maana pengine hadi leo hii bado hujampata mr.charming mwingine huku mawio yakipiga hodi.[emoji12][emoji12]
Basi dunia yako imeendelea
Maisha ni maamuzi na yeye ameshachagua fungu lake,aoe tu hapo wajenge familia
Mimi sijakosa mr charming
Halafu unajua ni heri uolewe na mwanaume anayekupenda hata kama humpendi kuliko kuolewa na unayempenda?? sasa endelea ku buy time tu utakuja kulia lia humu shauri lako.
Wacheni wavune walichopanda, Ukiwaona sasa wanavyojifanya wajanja hawaambiliki, wanakuona wewe mshamba.Huku kwetu ndio usisemee nakwambia wapo majumbani kwao wanahangaika sana. Ukiwaona wamezeeka wananizid mpaka mm Dada yaoo inaumiza sana hawana future yeyote wamedanganya na wakipewa mimba wanakimbiwa .
Wanaume wanaowafanyia hivi mabinti sio vizuri.
Vibabu vyote vyenye pension vimamalizia kwao na wao kwa tamaa ya fedha na maisha bora basi wameishia huko, kuolewa hawaoleki tena.Yani mpaka unajiuliza alidanganyika na nini hasa..
🤣🤣unamtetea sana huyo jamaa kama ndugu yako aisee
Hao wapo shule bado wewe fisadiMabinti wengi wa 15-19 yrs wamezalishwa na kuachwa. Isitoshe wengi wao hawana kipato cha uhakika.
Hali ni mbaya huku mtaani kwetu sijui miaka kumi ijayo tutakuwa na kizazi cha aina gani.
Dada ilo ni bomu kimbia litakulipukiaHahah huwezi kumlia yamin mwanaume as I said akili na maamuzi yenu huwa yananifurahisha sana...