Mi wakazaskazini and I don't care kwanza hamna matunzo , jingine unetendwa pole zako, jingine ni kweli ila utafanyaje kaoe kwingine sio lazima uje ukaseme huku , wapare wabaya , washirikina , wanaroho mbaya , wauaji, hawana huruma , wachagga the same thing , waarusha ni kabila Hilo langu ila weh wabaya hawana tofauti na hao na wao ndio wabaya hata hayo makabila mawili yanawaogopa , ila sio kama wameru wanatisha sana Kwa uroho, mmbaya , so ndio maisha , wachache kati ya 30% kati ya 70% ni wazuri sana, wanaheshima ila wanyakyusa niwa abaya sana , ila sio wote ila niliowafahamu mie huyu mama kaua mumewe Kisa Mali so maisha ni kuchagua tu mtu sahihi tu , na umshirikishe Mungu aisee ndio anaweza , kukuoa wakufanana naye .