Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Mi wakazaskazini and I don't care kwanza hamna matunzo , jingine unetendwa pole zako, jingine ni kweli ila utafanyaje kaoe kwingine sio lazima uje ukaseme huku , wapare wabaya , washirikina , wanaroho mbaya , wauaji, hawana huruma , wachagga the same thing , waarusha ni kabila Hilo langu ila weh wabaya hawana tofauti na hao na wao ndio wabaya hata hayo makabila mawili yanawaogopa , ila sio kama wameru wanatisha sana Kwa uroho, mmbaya , so ndio maisha , wachache kati ya 30% kati ya 70% ni wazuri sana, wanaheshima ila wanyakyusa niwa abaya sana , ila sio wote ila niliowafahamu mie huyu mama kaua mumewe Kisa Mali so maisha ni kuchagua tu mtu sahihi tu , na umshirikishe Mungu aisee ndio anaweza , kukupa wakufanana naye .
 
Ume andika mambo mazito...
 
Huyo mama Mnyakyusa aliyeua mume kisa mali, vipi mumewe alikuwa na mali nyingi sana au za kawaida? Na alimuendea kwa mganga, alimtumia majambazi au alimtilia sumu?
 
Na hapo bado wana beki tatu alafu wanawake wengi wa mbeya hawako romantic kabisa
Mm nimeya shuhudia Kwa ndugu yangu nacho Mpendea shem mm Huwa ana upendo wa Dhati kwangu......
Sabb before haja Juana na ndugu yangu tulikua majirani wema so Huwa hasahau Hilo ila ndugu yangu kazi anayo ni gunia la misumari hawasikilizagi wale wakorofi sanaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…