Ngoja nimuweke sawa. Maana TRAKOO lake linanipa wazimu'Kmmmk' huyo kufa naye kijana wangu. Ni nadra sana mabinti wa huko kuwa na matako makubwa laini. Ni kama bahati tu kwako. Mpe miongozo yako ishi naye.
Samahani kwa lugha kali hapo mstari wa kwanza mwanzoni.
Kununua masufuria, tv ya singsung inches 40,makochi mapya na boda boda. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mikoa ipi? Na hayo maendeleo ni kama yapi?
Niongezee tu kuwa ni mwanaume dhaifu ndio anaweza kaa na mwanamke aliyeonyesha hizo tabia.Hayo yote humkuta mwanaume dhaifu.
Nimekosa hela huko kwenye mishe zangu, halafu aniletee maswali kama TRA kuniuliza nimeingiza pesa ngapi, nitamkata jicho hilo hatoamini kama ni mimi ambaye namwita my love.Wewe kama hujaingiza shingapi, usiende jioni! [emoji23] Utamuona Manka!
Ni kiherehere chenu kutufata wa kaskazini. Hapa ni mtakujaWamakonde wazuri kwa sura, mauno na hata hela.
Waliochanganya na jamii zingine ndio huwa wanakuwa na shape na makalio mazuri. Hivi umeshawahi kutana na mchagga ambaye mama ni Muiraq au mnyaturu au mchagga baba msukuma.'Kmmmk' huyo kufa naye kijana wangu. Ni nadra sana mabinti wa huko kuwa na matako makubwa laini. Ni kama bahati tu kwako. Mpe miongozo yako ishi naye.
Samahani kwa lugha kali hapo mstari wa kwanza mwanzoni.
Unaweza enda hapo Dar ukakutana na pisi ya kizaramo, au ukaenda tanga ukakutana na pisi ya kizigua, au ukaenda Lindi au mtwara ukakutana na pisi ya kimakonde weeeee.Nimeuliza swali ila hujajibu kutokana na maelezo ya swali. Hivyo basi nahitimisha yafuatayo;
1. You are not civilized, huna uungwana.
2. Ni mshamba kwa damu
3. Natoa pole kwa bosi wako.
Mwisho, mimi mbona naona Kilimanjaro ni pa kishamba mno? Yaani hata mshipa haushtuki, nawaona pia na hao wanawake wenu wa kawaida mno.
NB: huna sababu ya kuniambia nije Kilimanjaro ukiacha Mlima Kilimanjaro ambao si kila mtu anapenda milima.
Got that you pimp?
Hapo unaandika huku umejifunika na kanga au kitenge kwa aibu maana unajua unatufunga kamba mbuzi wewe.Shemela wanawake wa kanda ya ziwa hatunaga hizo mambo.....[emoji16] Tuko vyema ni mbinguni moja kwa moja siti ya mbele, siti yenye socket, charger ipo na feni zitageuziwa kwetu
👍👍👍👍👍Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Good the talk to sisters and tell them that Gold diggering is not a way to exist with men. Money buys most of everything but its not everything. I have seen unhappy rich and wealthy people, happy and comfortable middle-class and lower income people who live in peace and happiness from their heart and soul with their wives and kids.Countrywide
Personal I hate Tribalism Ideology.
I think it's primitive survival instinct..Fear as a basic emotion yes which is understandable..But mainly perceived threat which as civilized..rational beings we should be able to dispute when it doesn't have a factual basis.
But humans are also built to learn and think different which means changing perspectives. Evolve with new knowledge.
Humans have also shown multiple records of living with differences..various communities thriving despite different ideologies.
To sum - fear is innate but hate is learned.. And what is learned can be unlearned[emoji4]
Ukiwa kijana mwenye mafanikio hizi species za kaskazini lazima zitakuzunguka tu.Ni kiherehere chenu kutufata wa kaskazini. Hapa ni mtakuja
Zemanda There is quite difference between Tribalism..Attitude..Behaviour and PersonalityGood the talk to sisters and tell them that Gold diggering is not a way to exist with men. Money buys most of everything but its not everything. I have seen unhappy rich and wealthy people, happy and comfortable middle-class and lower income people who live in peace and happiness from their heart and soul with their wives and kids.
We don't want women who live to chase after money 24/7 even ambitious men don't do that.
Waambie hao vijanaUkiwa kijana mwenye mafanikio hizi species za kaskazini lazima zitakuzunguka tu.
Kifupi wanajua kunusa kijana mwenye pesa/ mafanikio au atakuwa na pesa au mafanikio.
Huwezi kwenda mbali nao ila Kuoa ni maamuzi binafsi
Hakuna mwanamke au mwanadamu asiyewaza pesa kila mtu anawaza pesa sababu tunamahitaji ambayo yananunuliwa na kulipwa kwa pesa.Hamtaki magoli kipa
Hamtaki wanaowaza pesa
Mnataka wepi?
Nikki tulikwambia lakini ukashupaza fuvu.Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Niliwahi kuwa na demu mtoto wa Tarimo aisee. Yaani anavyoongelea pesa utadhani sasa anazo.Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazin
Uliyosema ni kweli....watu waliooa wachaga wanapelekeshwa hivyo...Wadhani nakudanganya? Unakaa na mtu anataka awe anaigiza pesa saa kila siku. Ukikaa nae unajiuliza huyu hii speed ya kutafuta pesa anachelewa wapi au amerithi madeni ya ukoo?
Yaani mtu ana muda wa mahaba na mpenzi wake wala kukaa kuwa na ile quality time na familia yake yeye kichwa ni kina race na fikra za kukamata pesa tu hakuna lingine. Akilala ni anawaza pesa ukikaa nae akisikia unachambua noti anajichekesha chekesha au kukuwekea ile sura ya mahaba.
Muda wote yeye anawaza pesa hawezi kukupigia muongee maswala yenu ya kihisia au kukuuliza siku yako inaendaje au kukupa mchapo wa umbea au story hizo hawana wao ni alikupigia ni kukwambia umtumie pesa ya hiki au kile. Ukijitoa umpatie say 50,000 utaona umetoa pesa ya kutosha bila aibu utaona anakuomba nyingine yaani kukupa tu taarifa kuwa hiyo umempatia haitoshi kwake anataka zaidi.
Akishika laki atataka milioni, akishika milioni atataka zaidi. Sasa huyu ni mwanamke ambaye utasema naoa nikafurahie maisha ya ndoa. Kwani nikiwa mwenyewe hizo pesa sitaweza kuzitafuta hadi yeye awepo?!
Hapo ndipo huwa nawashangaa sana watu wanaosema hawa ndio wanawake wa kuoa sijui wanawaza kutafuta pesa , itakusaidia nini kama mwanaume kuwa na mwanamke ambaye anatamaa ya pesa zaidi ya kukuletea mikosi ya stress na kukuweka mazingira mabaya ya kiafya sababu ya kukimbizana na utafutaji wa pesa kama kichaa ukakosa hata muda wa kutulia kuenjoy maisha.
Ndio maana wazee wa hizo kanda wengi wanawahi kudedi sababu ya kuamini kuwa namna ya kuwafurahisha hawa wanawake wa hizo kanda ni kwa kupambana masaa yote na hela zenyewe hawazifaidi. Ufala tu.
Mimi hunipelekeshi kis*ng* s*ng* ,kama unaona pesa ni muhimu fungua mlango pita vile nenda kakae na hao wenzako waliokuja Duniani kutafuta hela masaa yote kama Unajua kuna kuishi na kufurahia maisha kalisha hapo huo mwili wako wenye matako kama ya "GRU" wa kwenye movie ya animation ya "Despicable Me".[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Binafsi sitaki mwanamke anayetafuta pesa.Hamtaki magoli kipa
Hamtaki wanaowaza pesa
Mnataka wepi?
Kumbe na wewe ni wa kaskazini? Basi mjirekebishe. Maisha sio pesa tu.Ni Kweli kbsamm nimetokeaa moja Kat ya mkoa huuo kule Huna pesa au familia yenu maskin maskini utafurahi mkuu acha kbsa nisiseme Sana mm Ni muanga wa tukio fln