Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

'Kmmmk' huyo kufa naye kijana wangu. Ni nadra sana mabinti wa huko kuwa na matako makubwa laini. Ni kama bahati tu kwako. Mpe miongozo yako ishi naye.
Samahani kwa lugha kali hapo mstari wa kwanza mwanzoni.
Ngoja nimuweke sawa. Maana TRAKOO lake linanipa wazimu
 
Kama mikoa ipi? Na hayo maendeleo ni kama yapi?
Kununua masufuria, tv ya singsung inches 40,makochi mapya na boda boda. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanaume mwenye utimamu wa akili kweli unawaza kabisa kuwa maisha yako kufanikiwa ni hadi uwe na mwanamke na sharti ni atoke kaskazini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umasikini wa fikra ni mzigo sana aisee.
 
'Kmmmk' huyo kufa naye kijana wangu. Ni nadra sana mabinti wa huko kuwa na matako makubwa laini. Ni kama bahati tu kwako. Mpe miongozo yako ishi naye.
Samahani kwa lugha kali hapo mstari wa kwanza mwanzoni.
Waliochanganya na jamii zingine ndio huwa wanakuwa na shape na makalio mazuri. Hivi umeshawahi kutana na mchagga ambaye mama ni Muiraq au mnyaturu au mchagga baba msukuma.

Na ndio hawa waliozaliwa miaka ya 2000 kuja juu wako vema.
 
Nimeuliza swali ila hujajibu kutokana na maelezo ya swali. Hivyo basi nahitimisha yafuatayo;
1. You are not civilized, huna uungwana.
2. Ni mshamba kwa damu
3. Natoa pole kwa bosi wako.

Mwisho, mimi mbona naona Kilimanjaro ni pa kishamba mno? Yaani hata mshipa haushtuki, nawaona pia na hao wanawake wenu wa kawaida mno.

NB: huna sababu ya kuniambia nije Kilimanjaro ukiacha Mlima Kilimanjaro ambao si kila mtu anapenda milima.

Got that you pimp?
Unaweza enda hapo Dar ukakutana na pisi ya kizaramo, au ukaenda tanga ukakutana na pisi ya kizigua, au ukaenda Lindi au mtwara ukakutana na pisi ya kimakonde weeeee.
 
Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini

Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.

Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini

Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini

Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini

Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu

Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.

Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
👍👍👍👍👍
 
Countrywide
Personal I hate Tribalism Ideology.

I think it's primitive survival instinct..Fear as a basic emotion yes which is understandable..But mainly perceived threat which as civilized..rational beings we should be able to dispute when it doesn't have a factual basis.

But humans are also built to learn and think different which means changing perspectives. Evolve with new knowledge.
Humans have also shown multiple records of living with differences..various communities thriving despite different ideologies.

To sum - fear is innate but hate is learned.. And what is learned can be unlearned[emoji4]
Good the talk to sisters and tell them that Gold diggering is not a way to exist with men. Money buys most of everything but its not everything. I have seen unhappy rich and wealthy people, happy and comfortable middle-class and lower income people who live in peace and happiness from their heart and soul with their wives and kids.

We don't want women who live to chase after money 24/7 even ambitious men don't do that.
 
Zemanda There is quite difference between Tribalism..Attitude..Behaviour and Personality

Person personality aint intefear with person behaviour..There is a difference between a "selfish act" understood as an act intended to benefit the person who does it as well as other people, and a "selfish act" understood as an act intended to benefit the person who does it without regard to the wellbeing of anyone else. Only the latter types of selfishness need be condemned.

Being a Gold digger and being Chagga are quite different things🤣
 
Ukiwa kijana mwenye mafanikio hizi species za kaskazini lazima zitakuzunguka tu.

Kifupi wanajua kunusa kijana mwenye pesa/ mafanikio au atakuwa na pesa au mafanikio.

Huwezi kwenda mbali nao ila Kuoa ni maamuzi binafsi
Waambie hao vijana
 
Hamtaki magoli kipa
Hamtaki wanaowaza pesa
Mnataka wepi?
Hakuna mwanamke au mwanadamu asiyewaza pesa kila mtu anawaza pesa sababu tunamahitaji ambayo yananunuliwa na kulipwa kwa pesa.

Anaweza kuwa goal keeper a.k.a trophy wife ila akawa very smart katika kuhandle ndoa na mahusiano yenu plus akawa na msaada pale unapotaka akupe sapoti ya kufanya errands fulani fulani za kutengeneza pesa.

Naweza fungua duka halafu tukawa na wafanyakazi kisha mimi na wife tukawa tunashirikiana kuliendesha na kutengeneza pesa. Still hii ni bonge la contribution kutoka kwa mke.

Naweza nikawa nakimbizana na biashara za kusafiri hovyo halafu wife akawa anahandle cash affairs za familia. Nimeingia facebook au Instagram nimeona mtu amepost anauza gari la thamani ya shilingi milioni 25 kwa milioni 15,si namtuma tu wife akalipie nakulichukua huku tukiwasiliana nikimguide kwa kila step.

Then few months anakuja mtu anataka gari ile ile kwa million 25 ,mimi sipo namwambia tu wife amalizane nae pesa anaweka kwenye account biashara ndogo kama za ufugaji kuku sio hadi mimi niwepo, natafuta vijana wife anawasimamia huo uchagga sasa aweke hapo sio aniletee mimi kwenye mapenzi. Mimi utajua kuwa romantic kwa lazima huwezi pita hivi. Tumekutana tuwe wapenzi sio kununiana kama mabondia.

Tafuta pesa ila kwa kushirikiana na mwanaume wako, sio unakurupuka kurupuka mishe nyingi, nyumbani haukai, watoto wanajilea wenyewe, mahaba haujui, halafu tukiketi chini kupiga hesabu hizo harakati zako zimetuingizia kiasi gani na umechangia asilimia ngapi ya gharama za familia na mumeo na hata wewe binafsi unakuta haujavuka hata 10% ya gharama zote.

Mama, weka tu matako nyumbani, ukiwa mke wangu inatosha mambo ya upambanaji muachie shilole.
 
Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini

Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.

Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini

Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini

Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini

Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu

Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.

Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Nikki tulikwambia lakini ukashupaza fuvu.

Asante kwa ushauri mzuri.
 
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazin
Niliwahi kuwa na demu mtoto wa Tarimo aisee. Yaani anavyoongelea pesa utadhani sasa anazo.

Yaani hana utu. Yeye kwake binadamu ni mtu mwenye hela. Kama hana anamuona kama zombie.

Kwa kuwa alinipnde yeye mwemnyewe basi tulidumu lakini mwisho wa siku nikaona huyu sio mtu wa kawaida. Nilijifunza mambo mengi kwake.
 
Wadhani nakudanganya? Unakaa na mtu anataka awe anaigiza pesa saa kila siku. Ukikaa nae unajiuliza huyu hii speed ya kutafuta pesa anachelewa wapi au amerithi madeni ya ukoo?

Yaani mtu ana muda wa mahaba na mpenzi wake wala kukaa kuwa na ile quality time na familia yake yeye kichwa ni kina race na fikra za kukamata pesa tu hakuna lingine. Akilala ni anawaza pesa ukikaa nae akisikia unachambua noti anajichekesha chekesha au kukuwekea ile sura ya mahaba.

Muda wote yeye anawaza pesa hawezi kukupigia muongee maswala yenu ya kihisia au kukuuliza siku yako inaendaje au kukupa mchapo wa umbea au story hizo hawana wao ni alikupigia ni kukwambia umtumie pesa ya hiki au kile. Ukijitoa umpatie say 50,000 utaona umetoa pesa ya kutosha bila aibu utaona anakuomba nyingine yaani kukupa tu taarifa kuwa hiyo umempatia haitoshi kwake anataka zaidi.

Akishika laki atataka milioni, akishika milioni atataka zaidi. Sasa huyu ni mwanamke ambaye utasema naoa nikafurahie maisha ya ndoa. Kwani nikiwa mwenyewe hizo pesa sitaweza kuzitafuta hadi yeye awepo?!

Hapo ndipo huwa nawashangaa sana watu wanaosema hawa ndio wanawake wa kuoa sijui wanawaza kutafuta pesa , itakusaidia nini kama mwanaume kuwa na mwanamke ambaye anatamaa ya pesa zaidi ya kukuletea mikosi ya stress na kukuweka mazingira mabaya ya kiafya sababu ya kukimbizana na utafutaji wa pesa kama kichaa ukakosa hata muda wa kutulia kuenjoy maisha.

Ndio maana wazee wa hizo kanda wengi wanawahi kudedi sababu ya kuamini kuwa namna ya kuwafurahisha hawa wanawake wa hizo kanda ni kwa kupambana masaa yote na hela zenyewe hawazifaidi. Ufala tu.

Mimi hunipelekeshi kis*ng* s*ng* ,kama unaona pesa ni muhimu fungua mlango pita vile nenda kakae na hao wenzako waliokuja Duniani kutafuta hela masaa yote kama Unajua kuna kuishi na kufurahia maisha kalisha hapo huo mwili wako wenye matako kama ya "GRU" wa kwenye movie ya animation ya "Despicable Me".[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Uliyosema ni kweli....watu waliooa wachaga wanapelekeshwa hivyo...

Watu wanatafuta pesa hadi wamasahau kuishi....

Maisha hayako hivyo...hatuoi tu ili tupate pesa...tunaoa tusaidianee kimaisha na kuenjoy uumbaji
 
Hamtaki magoli kipa
Hamtaki wanaowaza pesa
Mnataka wepi?
Binafsi sitaki mwanamke anayetafuta pesa.

Sasa akitafuta pesa na mimi nifanye nini?

Yaani nirudi nyumbani nitandike kitanda? Au kupika?

Mie sio mwanaume wa hovyo.

Kazi ya mwanamke ni kule familia na kuwa conforter wa familia sio kudanga danga kwa vimishe visivyo na impact yoyote kiuchumi.
 
Back
Top Bottom