Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Kama wewe mwanaume nakuweka daraja la mvulana.
Mpaka leo unagawa watanzania kwa ukanda.
BAdo tu unakandia na kudidimiza wanawakeee?
Duh kazi ipo kwel kweli
Walimuona bogus wakampiga matukio anakuja kulia lia jf [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siyo wa fikra tu, mpaka wa hela ni mbaya mno. Ndiyo kama huyo jamaa.
 
Waliochanganya na jamii zingine ndio huwa wanakuwa na shape na makalio mazuri. Hivi umeshawahi kutana na mchagga ambaye mama ni Muiraq au mnyaturu au mchagga baba msukuma.

Na ndio hawa waliozaliwa miaka ya 2000 kuja juu wako vema.
Hakika
 
Ukiwa kijana mwenye mafanikio hizi species za kaskazini lazima zitakuzunguka tu.

Kifupi wanajua kunusa kijana mwenye pesa/ mafanikio au atakuwa na pesa au mafanikio.

Huwezi kwenda mbali nao ila Kuoa ni maamuzi binafsi
Wana sensor hawa huenda[emoji23]
 
Mambo kama yapi hayo ulijifunza kijana?
 
Uliyosema ni kweli....watu waliooa wachaga wanapelekeshwa hivyo...


Watu wanatafuta pesa hadi wamasahau kuishi....

Maisha hayako hivyo...hatuoi tu ili tupate pesa...tunaoa tusaidianee kimaisha na kuenjoy uumbaji
Huko kupelekeshwa nakusikia kwenu tu. Mimi mbona nilisha date nao sana tu na hayo ya kupelekeshwa siyajui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…