Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Wawapi ndio hawajashindikana ndugu tukaoe huko?
Unamzungumzia mwanamke alieumbwa na Mungu au ni wanawake mabinti aliejiumbw mwenyewe?
Acha kueneza chuki kuna watu wamewaoa na wanaishi nao, wana watoto na vijukuu.
Acha ukanda na ukabila sio silika yetu Watanzania
 
good message judge not you will not be judged.Ndio kusema mabinti wa kaskazini hakuna mwenye sifa za kuoa?
Nadhani hajawa judge bali ame condemn matendo yao kwenye mahusiano.
 
Naunganisha na maneno ya mzee wangu aliwai nisihi sana juu ya kuoa kaskazini, alinambia bora ukaoe mahala pengine lakini si kaskazini. Binafsi nimeshuhudia wanawake wa uko walivyo, hakuna komenti.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
... hujawakanda vizuri, Glory wangu yupo romantic mtanga akasome.!
Mtego huo. Fuatilia familia yake watazame kama kuna elements za kuishi vizuri na Wanaume maybe utakuwa umescore bingo. Otherwise ukiona elements za tofauti na upendo kwa familia yake then taratibu anza kujichomoa umalizane nae. Simba huwa hali majani sababu hawezi kuacha asili yake.
 
Mpendwa why unatetea na sisi yametukuta?
 
Binafsi naona kila mtu atafute anaendana nae.
Kama mvivu mvivu nenda zako pwani katafute wavivu wenzio, kama unajua kutafuta pesa na upo smart upstairs nenda kwa wenye caliber hiyo. Kama unapenda ngumi mkononi unajua pa kupata wa aina hiyo.

Cha msingi kuwa makini. Mke/Mpenzi hatafutwi bar [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Kama una maadili yaliyonyooka tafuta aliyelelewa kwa maadili. Wenye maadili hawazunguki barabarani kama kuku wa kienyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…