Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Uliyosema ni kweli....watu waliooa wachaga wanapelekeshwa hivyo...


Watu wanatafuta pesa hadi wamasahau kuishi....

Maisha hayako hivyo...hatuoi tu ili tupate pesa...tunaoa tusaidianee kimaisha na kuenjoy uumbaji
Demu wakati unamt*mba macho makavu au anakuactia kuwa anasikia utamu kumbe mwenzako yupo huko Dunia ya kuwaza hela atatoa wapi pesa nyingi za kuringishia mwezi wa kumi na mbili ili awe na heshima kila mwaka anapokwenda.
 
kabla ya ndoa, ni wanyenyekevu, wasikivu,
Mungu, Mungu nyiiingi, yesu na maria za kutosha,
SASA INGIA NAO KWENYE NDOA, NDIO UTAJUA SHETANI NI MCHAGA KWA KABILA!!

KAA MBALI NA HAO WATU, ACHENI WAOANE WAO KWA WAO.
KWA SASA WANAUA KISAIKOLOJIA, WANAUA UTU WAKO WA NDANI.
UNAKUJA KUJIONA WEWE SIO MTU, WEWE SIO WA THAMANI, WEWE BILA YEYE HAKUNA MAISHA.

#HUJACHELEWA, TOKA NJE
 
Ulitakaje Sasa?? Natunasemwa vibaya ????
Yaani hapo ulichofanya ni kama umenijeruhi halafu nakulalamikia wewe unasema ndio sasa nimeshakuumiza fanya lolote. Badala ya kunipa comfort. Unajua Unique Flower sisi wanaume tuna umia sana kuwapenda watu ambao hamueleweki.

Hebu acheni upuuzi badilikeni mfute history chafu iliyoachwa na mama zenu, dada zenu , mashangazi zenu na sasa ninyi. Hebu muache bwana mnatuumiza, sisi tunataka kuwapenda kuishi na nyie kuwatomba na kufurahia ujana hadi uzee utukute. Pesa hata uitafute vipi hauwezi kuwa namba moja kwenye hii Dunia. So its better tufurahie kidogo tunachokipata ili maisha yawe rahisi.
 
Ila ni pisi balaa. Nina rafiki ni mmasai aliyemix na mpare. Yule dada ni mzurii
Na ana tabia njema, sijawahi notice kama ni mchoyo.
Ameolewa huyu ndugu yetu? Naomba nije niwasalimu hapo jamani mkiwa na shost!
 
Wamasai.. kwa niliobahatika juana nao ni [emoji3590]

Pia kuna Waarusha.. hawa siwaelewagi, umasaini wanajitoa, uchagani hawapo.
Hao ni wamasai wazawa wa mjini ndo wanajiita waarusha. Hata hivyo hakuna kabila linaitwa Waarusha hapa Tanzania
 
Wewe hebu acha uongo bana.
 
😂😂😂😂
Shem wako huwa anajua kuninyoosha jamani, hapo si angeniambia tu in a very romantique way, naisoma natabasamu huku nimemkumbatia 'mwamposa' (mdoli wangu).?
Unapenda uromantic wewe 🤣
Nakutafutia story, nitakayokuja direct bila chembe ya uromantique.

Sometimes unatakiwa upate vyote 🥰 ile sms ukiisoma ni kucheka na sio kutabasamu. Unacheka mpaka unagonga Hi 5 na mdoli 😂😂
 
Acha uongo wewe mzee
 
[emoji15]utarudi unalia,I promise you.Mambo haya hayana formula... Ukibahatika unakuwa umebahatika na ukikosa unakuwa umekosa
Ni kweli mambo haya hayana formula, lakini ukienda kaskazini mzee ni too much, huko yanafomula...binafsi nilikula Kona ...
 
Bora muendelee kusema huu ukweli watu wapone
 
Mzee alinionya utafikiri alikuwa ananiona kichwani mwangu..nikabisha... uzuri sikuwa na maamuzi ya haraka ya kuoa...baada ya kumchubguza na matukio yake..weeee nilinyooka...nikala konaaas
😄😄, NA USINGEKIMBIA, TAYARI TUNGEISHA IMBA ILE NYIMBO YA PARAPANDA ITALIA PARAPANDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…