Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Duuh usije kuwa ni wa kaloleni, coz kuna mmoja pia mixer ya Mwarusha na Mpare...mweupe mzuri balaa na pesa ipoIla ni pisi balaa. Nina rafiki ni mmasai aliyemix na mpare. Yule dada ni mzurii
Na ana tabia njema, sijawahi notice kama ni mchoyo.
Waarusha ni wameru tuWamasai.. kwa niliobahatika juana nao ni [emoji3590]
Pia kuna Waarusha.. hawa siwaelewagi, umasaini wanajitoa, uchagani hawapo.
Layoni huyuKama wewe mwanaume nakuweka daraja la mvulana.
Mpaka leo unagawa watanzania kwa ukanda.
BAdo tu unakandia na kudidimiza wanawakeee?
Duh kazi ipo kwel kweli
Layoni wewe
Hakuna upendo unconditionally chini ya hili jua.ni ukweli mtupu umeongea ni wabinafsi mno.....atakupenda tu kama kuna kitu anfaidika kutoka kwako...hawezi kukupenda unconditionally...
wana tamaa sana na hizo tamaa zao ndo huwa wanaishia kupigwa mimba halafu wanaachwa....
mademu wengi wa kaskazini ni single maza na sababu kubwa ni tamaa...
Wee D kwani kina Laswai sio wa kaskazini? 😎Sina chembechembe, na mkoa wangu hauna ukaribu hata kidogo na Kaskazini. Ajira ndiyo ilinileta huku
SijuiWee D kwani kina Laswai sio wa kaskazini? 😎
Hujawahi kuniambia hili😂Ila ni pisi balaa. Nina rafiki ni mmasai aliyemix na mpare. Yule dada ni mzurii
Na ana tabia njema, sijawahi notice kama ni mchoyo.
Toa ushauri mkuuJapo siyo wote,ila kuna ukweli..... nimewahi kuwa na uhusiano na binti wa kanda hiyo,Mrombo ........nikaona simuelewi nakampotezea,akapigwa mimba,kumbe mwamba alimdanganya anamke na familia,saizi amepigwa mimba ya Pili na mtu mwingine halafu saizi anaomba ushauri kwangu 😀😀
Hujaona mfano mwingine hata ukatutolea mfano sie wabunge wa chama cha mambuzi😩Inferiority Complex na Ujinga vinawamaliza vijana wengi
Wanawake wa kaskazini wanajitambua sana...sio wa kupelekeshwa kwa kila kitu
Wakihoji mambo yamsingi na ya kujenga hampendi mnataka wale wa kusema NDIO kwa kila kitu kama wabunge wa CCM
Ujitambui wakati utakapo kutupa mkono ndio Majuto huja.Kaka hata useme nini,,,kama unawachukia wachukie wewe,,,sisi tumeshaamua kuwapenda hivyo hivyo either tuwe wafuasi wa shetani au Mungu!!
Unajitambua wakati ukikupa mkono ndio faraja hujaUjitambui wakati utakapo kutupa mkono ndio Majuto huja.
ni ukweli mtupu umeongea ni wabinafsi mno.....atakupenda tu kama kuna kitu anfaidika kutoka kwako...hawezi kukupenda unconditionally...
wana tamaa sana na hizo tamaa zao ndo huwa wanaishia kupigwa mimba halafu wanaachwa....
mademu wengi wa kaskazini ni single maza na sababu kubwa ni tamaa...
Connection please PM me her number, sio mchoyoIla ni pisi balaa. Nina rafiki ni mmasai aliyemix na mpare. Yule dada ni mzurii
Na ana tabia njema, sijawahi notice kama ni mchoyo.
Akukosea aliweka self defence kubwa sanaaa.Baba mkubwa alimwambia mama naona Mali Zina zidi kiongezeka angalia usije muua mdogo angu................
Alimkosea sana mama angu Leo mama na baba wamezeeka pamoja.... throughout all Odds of life.........