Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Japo siyo wote,ila kuna ukweli..... nimewahi kuwa na uhusiano na binti wa kanda hiyo,Mrombo ........nikaona simuelewi nakampotezea,akapigwa mimba,kumbe mwamba alimdanganya anamke na familia,saizi amepigwa mimba ya Pili na mtu mwingine halafu saizi anaomba ushauri kwangu 😀😀