Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Mtuache jmn, tunaolewa kila siku ,Tena kw mahari kubwaaaa....

kuna wanaotupenda hivyo hvyo tulivyooo

Ni kweli pesa ndo kipaombele chetu, ukitaka kupeti petiwa ukanda huu utasubiri sana.
Pole mana naona limekukuta jambo
Hamna maana kwakweli na hizo ndoa za maigizo ni ngumu sana kutoboa sababu maisha yanabadilika huwa hayapo hivyo hivyo kila miaka.
 
Khs maokoto mbona tunatafta wote tu, hatutegeagi sisi

Tatizo ni pale mwenzangu atakapoanza kuztumia bila mpangilio na kwenye anasa hapo ndo ujeuri wa akina manka unapoanzia
Ni bora kuwa na mwanamke ambaye ana adabu na haiba ya kike hata kama hatafuti pesa naweza mfundisha na akajua ila muhimu ni kuwa na adabu na heshima yenye utii ndani yake kwa mume.

Sio tukipishana unaniletea mori ya kikurya as if mimi na wewe ni equals aiseee sitakuacha hivi hivi nitakulamba makofi na nitakufukuza urudi uchaggani ukawakosee adabu hao waliokufunza sio mimi.
 
Kwenye hizi mambo huwa hukoseagi mkuu.
 
Ha ha ha
 
Wamasai.. kwa niliobahatika juana nao ni ❤️

Pia kuna Waarusha.. hawa siwaelewagi, umasaini wanajitoa, uchagani hawapo.
Wapo katikati hapo, mfano Waarusha wa Sekei kiasili wana 80%, ya Umachame kwasababu Mama zao wengi walitokea machame

Infact, Waarusha wametokana na Ukoo uliopo Kibosho wa LARUSA, na ndio maana Wamasai wanawaita Waarusha LARUSAI hata kama Wanaongea kimasai

Ila kwakuwa Wakibosho na Wamachame wanajulikana kwa ukatili basi Waarusha huwa hawapendi kuusishwa nao
 
Kuoa muhimu wewe. Ukiwa na mke unakuwa huru kufukuzia mcheps bila presha ya kudinya maana nyumbani unapewa yoteee.
Na faida ya kuoa ni kwamba kuopoa madem ni rahisi sana
Umekuwa mhuni umekubuhu🙄
 
98% wapo hivyo kuna demu mmoja mkali balaa, nilikutana nae nje ya nchi alikuwa anaishi na mume wake lakini ana mabwana naowafahamu zaidi ya watano, bahati nzuri aalitokea kuwa rafiki yangu wa karibu sana, nikamuuliza mbona unamfanyia jamaa hivyo akanijibu eti mi niache hela niendekeze ndoa, familia yangu moshi inanitegemea, nikiangalia jamaa yake ana kazi nzuri tu, as we speak wameachana ,demu anagongwa na lizee dar hapo ingawa ana watoto wawili na mume wake walioachana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…