Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Na mie nashangaa wanawake wa kaskazini wanaolewa kwa ndoa tena za gharama kila siku.

Afu huku wana kandiwa sielewagi yaan
 
Manka wa kichagga siku hizi wamekengeuka, hawasikii la muadhini wala la mnadi swala
 
Sio kweli.
 

Wanawake wote, hata wa zaramo wapo hivyo, mwanamke pekee mzuri kwako ni Mama yako, ambaye ni mbaya kwa Baba yako.
 
Fafanua vizuri hapa. Dark skin wapo wengi tu, na light skin wapo wengi tu

Au unamaanisha kile kichotokea kwa wajaluo weupe?
Sikuwahi dhani kama panaweza kuwepo mchagga mweusi mf wa Mwijaku.

Kuna mtu nimefanya nae kazi mwaka mzima nikidhani kwa ule weusi + urefu wake anaweza kuwa muhaya. Imefika Dec ananiambia naenda Moshi, nikabaki kushangaa. Ndio kumuuliza vizuri
 
Mimi ni wa kaskazini tena ile kaskazini haswaa, lakini mikono nimenyoosha juu mwendo wa mateka
 
WACHAGA hawaepukiki kwenye kuwaoa au kuolewa nao n hv Kama kungekuwa na sensa ya makabila Basi WACHAGA wangeongoza angalia mazingira unayoishi, fanyia kazi au unapopenda kupotezea muda je WACHAGA wapo kwa asilimia ngapi? Na je status yamaisha yao ipoje? Lazima ukute anajiweza na ukimuangalia baada ya miez au miaka kadhaa unamuona ATAKUWA mbali zaidi.

Kwakua umaskini n tatzo kwenye familia zetu nyingi na kupelekea kila anaetaka kuoa au kuolewa lazima achungulie kule anapotaka kwenda kunanin ndipo hapo wengi hujikuta anakutana na mchaga.

WACHAGA Kiukweli ndio kabila lenye spirit ya kumcha MUNGU, kwenda shule na kupambana kwelikweli ndio Mana kila ofisi kila taasisi kila Biashara na kila eneo lolote like lenye pesa WACHAGA ndio umewakuta wakwanza.

Vijana wajifunze kujua Kuna malezi ya familia hvyo mtu kuwa na roho nzuri au mbaya haitokan na wewe kabila gan Bali n maadali yahuko ulipolelewa.

WACHAGA hawaepukiki Kama unataka kuendelea muhimu omba utue kwa mwelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…