WACHAGA hawaepukiki kwenye kuwaoa au kuolewa nao n hv Kama kungekuwa na sensa ya makabila Basi WACHAGA wangeongoza angalia mazingira unayoishi, fanyia kazi au unapopenda kupotezea muda je WACHAGA wapo kwa asilimia ngapi? Na je status yamaisha yao ipoje? Lazima ukute anajiweza na ukimuangalia baada ya miez au miaka kadhaa unamuona ATAKUWA mbali zaidi.
Kwakua umaskini n tatzo kwenye familia zetu nyingi na kupelekea kila anaetaka kuoa au kuolewa lazima achungulie kule anapotaka kwenda kunanin ndipo hapo wengi hujikuta anakutana na mchaga.
WACHAGA Kiukweli ndio kabila lenye spirit ya kumcha MUNGU, kwenda shule na kupambana kwelikweli ndio Mana kila ofisi kila taasisi kila Biashara na kila eneo lolote like lenye pesa WACHAGA ndio umewakuta wakwanza.
Vijana wajifunze kujua Kuna malezi ya familia hvyo mtu kuwa na roho nzuri au mbaya haitokan na wewe kabila gan Bali n maadali yahuko ulipolelewa.
WACHAGA hawaepukiki Kama unataka kuendelea muhimu omba utue kwa mwelewa.