Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!


Ndiyo unajua Leo. Kule wanafundishwa kuhusu VITU na si UTU.
Amekuja kutafuta ela mjini, Siyo kuuza sura. Ndiyo wanavyosema.
Ukija mapenzi ni sifuri.
 
Ilo ni kweli. Kwasababu wana pesa.. huwezi fananisha na mikoa mingine, mwanaume ndiye ana pesa. Mke apeche alolo
Yaan kila siku huwa nashangaa mie, maana mitandaoni wanawake wa kaskazini wanakandiwa ila huku uraiani kila kukichaa utaona appearance tag kutoka kwa Gara B, huwa anaweka na tribes bas utaona mchaga, mpare, mmasai, mmeru, yaan na unakuta hapo mlimani city, na ndoa imefana balaaa afu ya gharamaa.

Mwezi uliopitaa Madame wangu wa field alinikuta 4m 3, aseeeh bonge la ndoa, niliona kwa Gara B, ni mmasai yeye. Na mumewe mnyaturu,

Afu hapa wanasemwa vibayaa naonaga, wanaume husika wanashindwa kuendana na hao wanawake, wanaamua kuwa dis, ila ukweli wanawapenda tatizo uwezo wao hauruhusu kuwa nao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una stress sana kwanza ulileta thread watu wasioe wachaga leo umekuja kugeneralise pote kinachofuata utasema watu wasioe wanawake tanzania

Kila sehemu watu wazuri na wabaya, Mental health ni tatizo kamwone daktari kabla hali haijawa mbaya
Najaribu kukuelewa Ila nimeshindwa
 
Acha kuwaonea wivu wa kaskazini,hata wakike unawaona wivu kiasi cha kuwaziba riski kwa kuwachafua.Wewe sema tu uliingia mtumbwi wa vibwengo kwa kujitakia, watoto wa kaskazini hawana shida.🤔
 
Sikuwahi dhani kama panaweza kuwepo mchagga mweusi mf wa Mwijaku.

Kuna mtu nimefanya nae kazi mwaka mzima nikidhani kwa ule weusi + urefu wake anaweza kuwa muhaya. Imefika Dec ananiambia naenda Moshi, nikabaki kushangaa. Ndio kumuuliza vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee dyadyaa kwann mwijakuu, ni mweusi sanaa?? Uwiiiiih
 
Ndiwoooooooo!!!! Nakubaliiii
 
Katika yote tuliyonadili hapo umeamua kuja na hili? Alafu mimi unanijulia wapi na lini?
Niwie radhi Mkuu wangu, nilidhani unatupa somo sisi wengine baada ya wewe kuwa muhanga wa jambo lenyewe.

Kumbe nawe umehadithiwa ubaya wa hao watu bila kuwa na ushahidi nao?

Nashauri kama haujawahi kupigwa nao tukio basi huu uzi ufutwe, manake inakuwa tunawapaka ubaya watu wasiohusika
 
Sikuwahi dhani kama panaweza kuwepo mchagga mweusi mf wa Mwijaku.

Kuna mtu nimefanya nae kazi mwaka mzima nikidhani kwa ule weusi + urefu wake anaweza kuwa muhaya. Imefika Dec ananiambia naenda Moshi, nikabaki kushangaa. Ndio kumuuliza vizuri
Wapo wengi tu tena wengine very dark, alafu unakuta meno yameungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…