Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Uongo
 
Lile kabila n kama Wanawaisraeli hata uwakatae vipi wao wamo
 
Jamaa wenge kweli wew umegonga wangp huko hadi kufikia hitimisho mademu wote wa kaskazini hawafai kuoa?!.
Kwa taarifa yako mademu wa huko wengi ni wife material...wanajua kupambana ktk maisha sio watu wa kuremba wala kupaka paka hina muda wote!
 
Kwanza ndo hao kila siku wanaolewa kwa ndoa za gharama kubwaaa, nashangaa mie.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko mie ni Dunya?? Hebu niombe radhi plz, kwann lakiniiiii???
Tumeanza na noel gio, tunakuja kwa aggrey, anafata juma lokole. Wewe zamu yako haipo mbali, kaa square
 
.........Asifiaye mvua imemnyea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…