mxrereco
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,906
- 3,986
Sawa. Halafu ana TAKO laini mkuu, nimekwamaUsimuache mpaka atakapokuonesha dalili zenye mashiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Halafu ana TAKO laini mkuu, nimekwamaUsimuache mpaka atakapokuonesha dalili zenye mashiko.
Kutokuwa dhaifu hakumaanishi uwe mbabe. Soma kwa ufahamu!.TAngu lini ndoa ikaongozwa na ubabe?
'Kmmmk' huyo kufa naye kijana wangu. Ni nadra sana mabinti wa huko kuwa na matako makubwa laini. Ni kama bahati tu kwako. Mpe miongozo yako ishi naye.Sawa. Halafu ana TAKO laini mkuu, nimekwama
Kaoe Lindi na mtwara uko wangoni wakukatikie kiuno masaa 24. Uko kwa wachaga hautawawezaKama mikoa ipi? Na hayo maendeleo ni kama yapi?
Shemela Evelyn Salt wewe hujashindikana!?Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Nimeuliza swali ila hujajibu kutokana na maelezo ya swali. Hivyo basi nahitimisha yafuatayo;Kaoe Lindi na mtwara uko wangoni wakukatikie kiuno masaa 24. Uko kwa wachaga hautawaweza
No body.
Haa HaaEndelea kulea watoto WA wenzio
Lakini wanaoongoza kwa kuolewa ni wao. Ni wanawake wa maana sana
Heko kwa Chagga na Maasai Queens. Kazeni hapo hapo.
Au hujaanza?No body.
Ooh ahsante mno kwa kunijulisha hilo.Huwa sipendi sana ku exposed my identity humu kwenye mitandao na NDIO MAANA ntaomba pale ulipo ni quote unisaidie ku DELETE
Sorry to say that....
Labda kama mjadala tuuhamishie Pm,
Ni mawazo yangu hayo [emoji120]
Shemela wanawake wa kanda ya ziwa hatunaga hizo mambo.....😁 Tuko vyema ni mbinguni moja kwa moja siti ya mbele, siti yenye socket, charger ipo na feni zitageuziwa kwetu
Shemela niulizie na mamdogo Amehlo kama wamemshindwa au la..!!!Shemela wanawake wa kanda ya ziwa hatunaga hizo mambo.....😁 Tuko vyema ni mbinguni moja kwa moja siti ya mbele, siti yenye socket, charger ipo na feni zitageuziwa kwetu
Ndiyo 😁Au hujaanza?
Mkulungwa01 hili jina lako ni kutoka lake zone 😊😃Shemela wanawake wa kanda ya ziwa hatunaga hizo mambo.....😁 Tuko vyema ni mbinguni moja kwa moja siti ya mbele, siti yenye socket, charger ipo na feni zitageuziwa kwetu
Sidhani!Mkulungwa01 hili jina lako ni kutoka lake zone [emoji4][emoji2]