Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ndiyo yeye mkuu hata nyuzi zake zinaonyesha wazi
Juzi kati hapo alikuja na uzi wa kuikosoa ngoma mpya ya Roma kisa kwenye hiyo ngoma Roma kawasanua chama tawala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo yeye mkuu hata nyuzi zake zinaonyesha wazi
Zile zinazoondolewa kwenye tohara bhana!Dah sasa antena za nini! Hawana tv na wanaishi porini
🤣ðŸ¤!!Niwie radhi Mkuu wangu, nilidhani unatupa somo sisi wengine baada ya wewe kuwa muhanga wa jambo lenyewe.
Kumbe nawe umehadithiwa ubaya wa hao watu bila kuwa na ushahidi nao?
Nashauri kama haujawahi kupigwa nao tukio basi huu uzi ufutwe, manake inakuwa tunawapaka ubaya watu wasiohusika
Punguza ukorofi Mjukuu, huyu Mtoa mada anataka kujifanya hajui ule msemo wetu wa Samaki mmoja akioza anatupwa pembeni ili wengine wabaki salama 🤪🤣ðŸ¤!!
Babuu Kwa misemoo tu nakuaminiaaaa!!Punguza ukorofi Mjukuu, huyu Mtoa mada anataka kujifanya hajui ule msemo wetu wa Samaki mmoja akioza anatupwa pembeni ili wengine wabaki salama 🤪
kaskazini kuolewa wanaolewa sana na kawaida ila kusema ndoa za mtandaoni baadhi ya sehemu hwanaga mbwembwe ..Yaan kila siku huwa nashangaa mie, maana mitandaoni wanawake wa kaskazini wanakandiwa ila huku uraiani kila kukichaa utaona appearance tag kutoka kwa Gara B, huwa anaweka na tribes bas utaona mchaga, mpare, mmasai, mmeru, yaan na unakuta hapo mlimani city, na ndoa imefana balaaa afu ya gharamaa.
Mwezi uliopitaa Madame wangu wa field alinikuta 4m 3, aseeeh bonge la ndoa, niliona kwa Gara B, ni mmasai yeye. Na mumewe mnyaturu,
Afu hapa wanasemwa vibayaa naonaga, wanaume husika wanashindwa kuendana na hao wanawake, wanaamua kuwa dis, ila ukweli wanawapenda tatizo uwezo wao hauruhusu kuwa nao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna balaa wala nini, ndo akae mbali nao akachukue wamakonde😀Ngoja waje uone balaa lake.
Uzuri kupanga ni kuchagua 😅Hakuna balaa wala nini, ndo akae mbali nao akachukue wamakonde😀
Sasa wewe kinachokukerekata na wachaga nini. Maana kama sio wivu wa kimaendeleo una wivu gan mwingine wachaga walikulia mkeo auNimeuliza swali ila hujajibu kutokana na maelezo ya swali. Hivyo basi nahitimisha yafuatayo;
1. You are not civilized, huna uungwana.
2. Ni mshamba kwa damu
3. Natoa pole kwa bosi wako.
Mwisho, mimi mbona naona Kilimanjaro ni pa kishamba mno? Yaani hata mshipa haushtuki, nawaona pia na hao wanawake wenu wa kawaida mno.
NB: huna sababu ya kuniambia nije Kilimanjaro ukiacha Mlima Kilimanjaro ambao si kila mtu anapenda milima.
Got that you pimp?
Ni kweli.Uzuri kupanga ni kuchagua 😅
Hakika demiNi kweli.
Hakuna kubembelezana
Ukitaka kuoa nenda Rukwa na Katavi vijana wa kaskazini ndiko wameelekea huko. Hao waache wale jeuri yao. Utafikiri wako busy kufanya kazi ila matapeli tu. Dunia ya leo uoe Mchaga, mpare, mmeru? Utakuwa hujitambui, kuna jamaa yangu Msukuma alijaribu mpare ameshakimbia na duka amemwachia. We ushamba wa usukumani unawapelekea mabinti wa kaskazini? Wale siyo wanawake ingawa wana K.Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Wamakonde wazuri kwa sura, mauno na hata hela.Hakuna balaa wala nini, ndo akae mbali nao akachukue wamakonde[emoji3]
Hahaha sasa kibalia anawezaje kula mke? Kibamia ni wa kuliwa tu. Wivu wa maendeleo? Kwa maendeleo yapi hayo? Kama ni hela ninayo. Hoteli ninazo, sheli ninazo unaongelea nini vile? Mpaka tugari twa kuwachinjia malaya wa kutoka huko kwenu ninato.Sasa wewe kinachokukerekata na wachaga nini. Maana kama sio wivu wa kimaendeleo una wivu gan mwingine wachaga walikulia mkeo au
Naona umeongelea mahusiano yangu we mzee.Kijana mwenzangu mwenye ndoto kubwa sana huko mbeleni, naomba nikueleze mambo ambayo yanaweza kukusaidia sana na kukupunguzia vikwazo pale unapotaka kutimiza ndoto.Ninayasema haya nikiwa ni mmoja wa waliotokea kaskazini hivyo nina uzoefu wa kutosha. Epuka mabinti wa kaskazini
Kwenye safari hii vijana wengi hukwama maana hapo katikati huwa na mahusiano na huamua kuoa, hapo kwenye kuoa epuka mabinti wa kaskazini.
Wana mioyo ya chuma, huruma ni msamiati ambao kwao haupo. Pesa ipo mbele kuliko jambo lingine lolote. Epuka mabinti wa kaskazini
Jeuri + kiburi, hii ndio alama kuu ya utambulisho(SI Unit). Tumezoea kuwa wanawake/mabinti kwa jinsi walivyoumbwa huwa wanapaswa kuwa humble. Kuwa wapole, wanyenyekevu, lakini kwa hawa hiyo kitu SAHAU. Epuka mabinti wa kaskazini
Mali, hili ni neno ambalo utalisikia maisha yako yote kuliko neno lingine lolote. Ni kweli mali ni kitu kizuri lakini hatupaswi kuwa wanyama kwa sababu ya kuwaza muda wote Mali. Epuka mabinti wa kaskazini
Ukiwa upo vizuri kimaisha, atakuheshimu sana. Ukiweka ndani tu hakuna rangi utaacha kuona. Na mwisho anaweza kukumaliza kwa stress/depression.
Chake ni chake, chako ni chake, chako na chake ni Chao. Kifupi tu vyote ni vyao sio vyenu
Unae katika mahusiano? Chapa alafu sepa, ukishasepa jipige kifuani alafu sema mimi ni mwamba mjanja.
Be warned, vijana wenzangu don’t be afraid to make decisions you know you can live with afterward, never make decisions you know you can’t live with later. That’s my free advice, no charge. Epukaaaaaaa
Wewe na mkeo wote wanawake. Sorry ila ndiyo ukweli. Mademu wa kaskazini 'nawatomba' mno na umri huu. Wa kawaida sana. Hakuna maajabu yoyote, na wengi ni jirani zangu. Ni hofu yako na kujishtukia tuNaona umeongelea mahusiano yangu we mzee.
Rhumba ninalopitia ni Mungu pekee anajua aisee. Kaskazini ibaki kuitwa kaskazi hahahaha
Nilikuwa nasaka comments zako 🤣🤣🤣Naona umeongelea mahusiano yangu we mzee.
Rhumba ninalopitia ni Mungu pekee anajua aisee. Kaskazini ibaki kuitwa kaskazi hahahaha