Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

Mwanzoni si uliziba masikio wewe?baada ya kupigwa na kitu kizito ndo umeamka usingizini.
Hata na hivyo huyo mama Z kuzingua haimanishi wote wako hivo,kilichokugharimu ni ushamba wa mapenzi uliingia na miguu yote miwili
 
Umeongea ukweli mtupu, kuna jamaangu sana ilimtokea mwaka juzi demu alitoka arusha akaja dar, jamaa akajipakia akaoa kwa matambo sana ndoa kubwa, akachangisha ndugu na jamaa ili afanikishe jambo lake. 8M ikapatikana wakafunga ndoa,

Ebana eee hata miezi6 haikuisha mchaga akaanza yake unaambiwa waliachana mchana kweupe, mchaga alikomba kila kitu. Ile kupanic jamaa akaanza kuuza vitu oyo. Mpaka leo hii unaambiwa mshikaji hana ham na ndoa na alishafulia vibaya mno
8m na ndoa kubwa ni maji na mafuta..

Acha kamba zako na chuki za kijinga.
 
90% ya dadaz kwenye cycle yangu ya maisha wanatoka Kaskazini, they're very beautiful na wana mapenzi ya dhati [[talking from experience]].

wako na mazuri mengi kuliko mabaya in all aspects, ni kawaida sana kwa binadamu kusahau na kufuta mazuri 99 kwa baya 1.

Kama wewe ni MWANAUME ULIYEKAMILIKA huwezi shindwa kuoa Mwanamke kutoka kaskazini kisa izo sababu ulizogeneralize apo juu.

Mdada wa kaskazini AKIKUPENDA ANAKUPENDA KWELI, kama hakupendi atakuchuna na pesa atakua anampatia Barafu Wa Moyo Wake.

Note:
hata uwe na Mali kiasi gani kama hauwezi kumfikisha kunako 6/6 mdada yeyote wa kaskazini then you're finished.!!
Uandishi wako unaonyesha wazi wewe ni mKaskazini na unajaribu kutetea jamii yako

Sikia hii ... Dada zako ni washenzi tu wasio na maana, nafanya kazi huku Kaskazini mwaka wa 12 sasa, najua mwanzo mwisho wa hawa watu
 
Back
Top Bottom