Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Upuuzi umeuongea hao watot wenu kutwaaa kuva vinguo vya ajabu kufanya mambo ya ajabu, fungua JkT yako uweke utakavyo
 
moyo haujakubali kuwa vazi (uniform) yenye vigezo vya kuitwa hijab ni haki kwa mabinti wa kiislam jeshini au ktk kambi za jeshi.

Ndio maana hata link nilizokuwekea unasema ni wanajeshi nchi za kiarabu.

Ukweli wanajeshi hao ni wa uk, marekani na malawi.

Nakuwekea tena link moja uone uhuru huu wa kuabudu marekani


View: https://youtu.be/LFVeJK2ZdkQ?si=EH4qAnZOdW_YILxY
 
Ungekuwa uislam uko kama unavyojaribu kuupaka mafuta hapa, basi mambo yangekuwa tofauti sana huko Sudan 🇸🇩,, Syria 🇸🇾, Iraq 🇮🇶 na nchi nyingine nyingi za kiislam zenye machafuko.

Hebu nieleweshe. Kuna nchi gn wa kiislam wanapigana wenyewe kwa wenyewe.

Libya unajua ilivamiwa na wamarekani.

Iraq hujui ilivamiwa na wamarekani

Sirya hujui ndege za Marekani na Israel ndizo zinazofanya nchi isilalike.

Palestine hujui inapigwa na Israeli inayokalia kimabavu kwa msaada wa marekani.

Tatizo mko contaminated thru disimformation
 
Wanawake wa bar wanafanyaje?
Mambo ya bar ni yapi?
Inaonekana ungepata fursa ungeweza hata kulipua bar wewe jinsi ulivyo na chuki nazo.
Munesema wenyewe kuwa jeshi letu liendeshwe kama bar. Wasichana wajiuze, au wafanye wake wa makamanda.

Mumekufa kiimani
 
Upuuzi umeuongea hao watot wenu kutwaaa kuva vinguo vya ajabu kufanya mambo ya ajabu, fungua JkT yako uweke utakavyo
Mpuuzi wewe mwenyewe. Wewe hata ungekuwa mkristo unaweza kumruhusu binti yake aende kufanyiwa vitendo viovu na maafande wavuta bangi wa JKT wamuambukize UKIMWI?

Usitetee ujinga mkuu. Subiri kwanza uoe na upate mtoto wa kike aende huko kwenye makambi ya ngono akaambukixwe maradhi arudi nyumbani uhangaike naye kwenye matibabu. Uchungu wa mwana aujua mzazi. Usicheze na maisha ya watoto wa watu.
 
Hata bangi ni ibada kwa marasta, hembu watetee na wao wapewe haki yao ya kuvuta jani.
Natetea imani yangu kwanza. Kwani ina uwezo wa kufanya maamuzi kubadili matokeo hata ya uchaguzi. Tuko wengi na muhimu vyama vya siasa viwe sikivu. Kulitokea chama chchte cha siasa kikatuelewa tutakiunga mkono. Kisipotokea turaanzisha chama kipya. Na suluhisho hapa ni serikali ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yake wenyewe. Tutaunfana kama watz ktk sarafu tu. Hatutogombania Chungu. Ninyi watu wa tukuyu kutakuwa na kambi zenu sawa na utamaduni wenu. Na Sisi huku tutaiandaa kambi za wanawake pekee na za wanaume.

Ndio utamaduni wetu. Hatuchanganywi kama dagaa
 
Kwanini wanafunzi wanavaa hijab. Na kwanini serikali imetoa waraka walimu wasiwabague wala kuwazuia wanafunzi waislam kutokwenda msikiti ijumaa.

Kwanini jimbo la znz haiwavishi wasichana bukta ktk kambi zao za jeshi.

Kwanini jimbo la znz linapiga marufuku wananchi kula hadharani ktk.mwezi wa ramadhani.


Je unadhani kuna haja kwa tz kuwa na utawala wa majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe kama lilivyo jimbo la znz. Na walipoona wasichana wa bara wanatemvezwa uchi wakaamua kuanzisha jku kwao.?
 
Wenyewe wanafikiri hiyo ni dini, kumbe ni utamaduni na desturi za kiarabu. Ndiyo maana kuanzia majina, mavazi, lugha, vyakula vyote ni tamaduni za waarabu. Lakini waislam ukiwaambia hili wanaona unakufuru.

😂
Usichezee imani za watu hata kama ni zimetoka mataifa mengine.

Kama serikali ina wajibu wa kulinda na sio kudhibiti, kubagua.

Kwa kuelewa hili serikali ya Marekani, uk imeweka utaratibu wa kuwalinda minority hao.

Tz waislam ni ktk jamii majority watendaji wa serikali wanawabagua ingawa katiba inawalinda. Inawabagua kwa kujua au kutokujua.

Lkn ni suala la muda tu haki hii yapatikana. Kwani waislam wakisema hatutoshiriki lupita kura tu kwasababu ya mada hii au wakisema hatutoxhagua ccm kwa kauli moja, asubui utasikia tamko la ruhusa. Kwa wanaona mbali ni suala la muda tu.

Kwa kumalizia sisi waislam tunawashangaa mengi juu ya imani yenu. Lkn imani ni imani tunaheshimu kile unachokiamini. Kwa mfano taasisi ya ndoa kwenu imekufa. Kwasasa badala ya kuowana mbabariki ndoa. Ndio maana mada kama hii mnatushangaa. Kwenu hamuoni shida dada zenu, mabinti zenu kuanza kupimana.

Turudishe taifa hili lipate baraka za Mungu
 
Na wasabato wasifanye shughuli yeyote jumamosi wakiwa huko kambini?

Wanafunzi wa kisabato hugoma kufanya mitihani jumamosi wakiwa vyuoni ila sijawahi kuwasikia wakigomea mazoezi huko JKT...

Kwamba wenzenu ni wajinga?

Umeshsjiuliza kwanini Padre akifanya kosa anaweza kukamatwa na Petro?

Vivyo hivyo shekh au Imam akikosea anaweza kamatwa na Abdul?

Ni kwasababu jeshini kuna Mungu ila hakuna DINI.
 
Kwanini wanafunzi wanavaa hijab. Na kwanini serikali imetoa waraka walimu wasiwabague
Afadhali umejileta mwenyewe kwenye hilo Kuna kipindi tulipsaa Raisi mjinga sana anaitwa Ali Hassan Mwinyi mdini hatari wakati huo zikitokea vurugu Dio miskitinini tu

Waislamu wa Siasa Kali walipata nguvu ajabu wakitaka kupora misikiti ya Bakwata iwe Yao kama Mwembechai nk kuvunja bucha za nguruwe na kumtandika hata vibao yeye akiwa Raisi akiwa kwenye hafla ya Waislamu Diamond Jubilee alilambwa makofi na Waislamu siasa Kali akiwa Raisi pekee aliyewahi kupigwa hadharani Toka Tanzania ipate uhuru Tena na islamu mwenzie kwenye hafla ya kiislamu

Akaweka waziri wake mwislamu mjinga sana mdini mwenzie kuwa waziri wa Elimu mpumbavu mkubwa anaitwa Proffessior Juma Kapuya badala ya kuimarisha Elimu iwe Bora shule za Serikali akajigeuza Ayatollah mpaginia dini wizara ya Elimu akipigania watoto wa kiislamu shule za Serikali wavae hijabu.Na akiwa kiongozi wa Serikali akatoa waraka kuwa walimu wakuu wa shule za Serikali wahakikishe watoto wa kike wa kiislamu wawe wanavaa hijabu alivyo mjinga.Waraka upo kama ushahidi wa kuonyesha upumbavu wake.Yaani akitaka walimu wakuu wawe kama maimamu wa dini yake mashuleni kusimamia hiyo dini yake

Lile lilikuwa kosa kikatiba ila sababu na raisi alikuwa mjinga mwenzie likapita ila walimu wakuu Hadi kesho hakuna aliyetii kusimamia

Hilo kosa haliji jirudia Tena
 

Hapo ndipo ninapoisikitikia Afrika. Kuzoa zoa desturi za wengine kwa madai kwamba ni imani. Matokeo yake tunakosa muelekeo na kuwepo kuwepo tu katika sayari hii dunia.
 
Nchi yetu haina dini.
 

Kwa hiyo yale yanayoendelea Sudan 🇸🇩 baada ya kumtoa Muhamad El Bashir ni mashindano ya bonanza? Somalia 🇸🇴 je, Syria 🇸🇾
 
Hizo kaptula ni za heshima sana kwani zina mikanda kwenye mapaja. Hivi wanawake waislamu wanaocheza mpira wa miguu na netball wanavaa hijabu!!!???
 
Somalia Waislamu watupu wanapigana wenyewe Kwa wenyewe

Sudan Waislamu watupu wanapigana wenyewe Kwa wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…