-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 845
- 1,501
Kwakweli hizi Dini ni nzuri lakini watu tunazitumia vibaya.
Tuwe na kiasi tafadhali.
Tuwe na kiasi tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
moyo haujakubali kuwa vazi (uniform) yenye vigezo vya kuitwa hijab ni haki kwa mabinti wa kiislam jeshini au ktk kambi za jeshi.Mtaani kwangu wapo mabinti wengi wa kiisilamu wamevaa suruali na bukta, pia kwenye mazoezi wanavaa bukta.
Tatizo lako ni kujifanya unaielewa sana dini kwa kutuwekea picha za waarabu wakati hizo hijabu za wanafunzi zimeanza hivi karibuni na si wote wansovaa kwa hiyari zao.
Jeshini hakuna kuvaa hijabu wala madela.
Hakuna.Kifungu Gani katika katiba kinakataza watoto wa kike wenye kuaminika dini ya kiislamu wakiwa jkt katika mwelendezo wa kulifanya taifa la kizarendo wasiruhusiwe kuvaa bukta?
Ungekuwa uislam uko kama unavyojaribu kuupaka mafuta hapa, basi mambo yangekuwa tofauti sana huko Sudan 🇸🇩,, Syria 🇸🇾, Iraq 🇮🇶 na nchi nyingine nyingi za kiislam zenye machafuko.
Kama mko wengi sawa.Na mashoga wapewe haki zao pia katika hiyo katiba mpya.
Munesema wenyewe kuwa jeshi letu liendeshwe kama bar. Wasichana wajiuze, au wafanye wake wa makamanda.Wanawake wa bar wanafanyaje?
Mambo ya bar ni yapi?
Inaonekana ungepata fursa ungeweza hata kulipua bar wewe jinsi ulivyo na chuki nazo.
Mpuuzi wewe mwenyewe. Wewe hata ungekuwa mkristo unaweza kumruhusu binti yake aende kufanyiwa vitendo viovu na maafande wavuta bangi wa JKT wamuambukize UKIMWI?Upuuzi umeuongea hao watot wenu kutwaaa kuva vinguo vya ajabu kufanya mambo ya ajabu, fungua JkT yako uweke utakavyo
Natetea imani yangu kwanza. Kwani ina uwezo wa kufanya maamuzi kubadili matokeo hata ya uchaguzi. Tuko wengi na muhimu vyama vya siasa viwe sikivu. Kulitokea chama chchte cha siasa kikatuelewa tutakiunga mkono. Kisipotokea turaanzisha chama kipya. Na suluhisho hapa ni serikali ya majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yake wenyewe. Tutaunfana kama watz ktk sarafu tu. Hatutogombania Chungu. Ninyi watu wa tukuyu kutakuwa na kambi zenu sawa na utamaduni wenu. Na Sisi huku tutaiandaa kambi za wanawake pekee na za wanaume.Hata bangi ni ibada kwa marasta, hembu watetee na wao wapewe haki yao ya kuvuta jani.
Kwanini wanafunzi wanavaa hijab. Na kwanini serikali imetoa waraka walimu wasiwabague wala kuwazuia wanafunzi waislam kutokwenda msikiti ijumaa.Katiba mambo ya dini ni mambo binafsi Sio ya Serikali Sio kazi ya Serikali kusimamia watu wavae nguo za kidini Hilo lieweke Vizuri Kwa Kila kiongozi wa Serikali taasisi ya Serikali , mahakama au bunge sehemu yenye uniform
Uniform maana yake wote mnakuwa uniform Kila kitu
Usichezee imani za watu hata kama ni zimetoka mataifa mengine.Wenyewe wanafikiri hiyo ni dini, kumbe ni utamaduni na desturi za kiarabu. Ndiyo maana kuanzia majina, mavazi, lugha, vyakula vyote ni tamaduni za waarabu. Lakini waislam ukiwaambia hili wanaona unakufuru.
😂
Afadhali umejileta mwenyewe kwenye hilo Kuna kipindi tulipsaa Raisi mjinga sana anaitwa Ali Hassan Mwinyi mdini hatari wakati huo zikitokea vurugu Dio miskitinini tuKwanini wanafunzi wanavaa hijab. Na kwanini serikali imetoa waraka walimu wasiwabague
Usichezee imani za watu hata kama ni zimetoka mataifa mengine.
Kama serikali ina wajibu wa kulinda na sio kudhibiti, kubagua.
Kwa kuelewa hili serikali ya Marekani, uk imeweka utaratibu wa kuwalinda minority hao.
Tz waislam ni ktk jamii majority watendaji wa serikali wanawabagua ingawa katiba inawalinda. Inawabagua kwa kujua au kutokujua.
Lkn ni suala la muda tu haki hii yapatikana. Kwani waislam wakisema hatutoshiriki lupita kura tu kwasababu ya mada hii au wakisema hatutoxhagua ccm kwa kauli moja, asubui utasikia tamko la ruhusa. Kwa wanaona mbali ni suala la muda tu.
Kwa kumalizia sisi waislam tunawashangaa mengi juu ya imani yenu. Lkn imani ni imani tunaheshimu kile unachokiamini. Kwa mfano taasisi ya ndoa kwenu imekufa. Kwasasa badala ya kuowana mbabariki ndoa. Ndio maana mada kama hii mnatushangaa. Kwenu hamuoni shida dada zenu, mabinti zenu kuanza kupimana.
Turudishe taifa hili lipate baraka za Mungu
Nchi yetu haina dini.Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike mavazi ya watoto wa kiume, nazungumzia vibukta kwa lazima.
Katiba ambayo ndio sheria mama inamlinda kila raia na imani yake kwa kutoa haki na uhuru wa kuabudu.
Kuvaa mavazi yenye stara kwa wanawake/mabinti wa kiislam ni sehemu ya ibada (kuabudu) inaolindwa na katiba.
Ndio maana wanafunzi mashuleni walipewa uhuru huo miaka ya 80 na serikali hii hii baada ya waislam kusimama umara na kutetea haki hii.
Huko JKT watoto wetu wa kiislam watavalishwa vibukta kwa jina la serikali isiyo na dini, kwa jina la uzalendo kwanza.
Kumekuwa na dhana kuwa tendo hili inafanywa kwa kwa kuwa itikadi ya nchi haina dini. Basi tunachojiuliza dhana hii kwa kuwa serikali haina dini ina maana ya kuwadhibiti wananchi wenye dini au kuwalinda?
Kudhibiti kwa kuwavua baadhi ya Watanzania imani za dini zao badala ya kuzilinda.
Ukweli katiba ya nchi ndio sheria kuu na hivyo kama kuna Sheria za JKT zinazowataka wasichana kuvaa vibukta.
Ieleweke ya kuwa sheria na amri hiyo ni batili. Kwa kuwa inakwenda kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya uhuru wa kuabudu.
Hoja ya uzalendo au serikali isiyo na dini naamini ni ya tafsiri ya tabaka la sasa la watendaji chini ya Chama Cha Mapinduzi tulioamua kuwaamini na kuwachagua watekeleze matakwa yetu. Kinyume chake wameamua kutafsiri dhana hizi kwa matakwa na imani tulizonazo ambazo haziathiri imani binafsi.
Kwa miaka mingi sasa JKT imeamua kuminya wenye dini wasipractice uhuru wao wa kuabudu unalindwa na katiba.
Kwani JKT ni moja ya taasisi hizo ni zetu sisi umma.
Tunaitaja jamii, vyama vya siasa, kijamii na taasisi za dini kupaza sauti na kuwatetea mabinti hawa ambao hawana wa kuwasemea.
Kama ambavyo vijana wa kike waliruhusiwa kuvaa nguo zenye stara mashuleni kwanini katika mafunzo ya JKT wasiwe na uhuru huo.
Ni katiba, ni serikali au sheria za chuo inayolazimisha mabinti wanaohitaji mafunzo na wanaohitaji stara kuvuliwa stara zao?
Iwapo ni masharti ya serikali (JKT) hawaoni wanaisigina Katiba inayotoa uhuru wa kuabudu na kwamba kuvaa uniform maalum vitakazolinda stara zao ni haki ya kimsingi kama ambavyo nchi tena zenye waislam walio wachache wanavyoruhusiwa kutekeleza ibada hii ya mavazi kwa kuweka dressing code kwa wanaotaka kuvaa hivyo, je, hii ni dhana ya serikali au ni tafsiri za watendaji wa serikali wanavyotafsiri wao sawa na imani zao?
Kuwavua mavazi ya stara mabinti zetu ni sehemu ya Uzalendo?
Kunawataka Watanzania waelewe hili, uhuru wa kuabudu ni misingi ya haki za binadamu.
Kwanini watz tuko wa ajabu sana linapokuja suala la kuvumiliana values zetu. Kila kundi linalounda watanzania. Kwanini tulazimushwe kufata imani na values za kipagani.
Kwani Ujamaa ni imani.
imani ya Ujamaa ni upagani.
Kama dini dini ni imani
Na kama Ujamaa ni imani
Then Ujamaa ni dini.
Hivyo kusema serikali haina dini ni uongo uliotengenezwa, disinformation and unconstitutuion.
Dini ni falsafa na Ujamaa ni falsafa.
Kwanini serikali iwe na imani ambayo iwe ni lazima kwa wenye imani nyingine kuifata.
Mataifa ya kidemokrasia yanayojipambanua kusimamia haki za binadamu na uhuru wa kuabudu wameweka
GUIDE ON RELIGION AND BELIEF IN THE ARMED FORCES.
Unaweza kugoogle hii title na tuelimike
Hebu nieleweshe. Kuna nchi gn wa kiislam wanapigana wenyewe kwa wenyewe.
Libya unajua ilivamiwa na wamarekani.
Iraq hujui ilivamiwa na wamarekani
Sirya hujui ndege za Marekani na Israel ndizo zinazofanya nchi isilalike.
Palestine hujui inapigwa na Israeli inayokalia kimabavu kwa msaada wa marekani.
Tatizo mko contaminated thru disimformation
Hizo kaptula ni za heshima sana kwani zina mikanda kwenye mapaja. Hivi wanawake waislamu wanaocheza mpira wa miguu na netball wanavaa hijabu!!!???Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Na taasisi Zote za Serikali likiwemo Jeshi hazina dini haiwezekani ukabadilisha taasisi ya Serikali iwe ya kidini au isimamie mambo ya kidini ambayo katiba inatamka kuwa mambo ya dini ni mambo ya kibinafsiNchi yetu haina dini.
Somalia Waislamu watupu wanapigana wenyewe Kwa wenyeweHebu nieleweshe. Kuna nchi gn wa kiislam wanapigana wenyewe kwa wenyewe.