Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Kama unaona jkt itamdhalilisha mwanao mpeleke akapate mafunzo ya ukakamavu taliban kwenye misingi ya kidini akimaliza arudi kuendelea na chuo au kaa nae nyumbani kwako muda wa chuo ukifika mpeleke shule
 
Umewahi kujiuliza kwanini ukiwa Mzalendo jeshini unavaa Track na ukiwa kuruti unavaa pitshort?

Acha kupelekwa pelekwa na midini dini utachelewa. Acha jeshi lijiendeshe kama linavojiendesha.

Waislam mnajikutaga imani mnazijua sana.
Mimi ni Roman Catholic.
Ila amini unachoamini
 
Kama unaona jkt itamdhalilisha mwanao mpeleke akapate mafunzo ya ukakamavu taliban kwenye misingi ya kidini akimaliza arudi kuendelea na chuo au kaa nae nyumbani kwako muda wa chuo ukifika mpeleke shule
Kuna waislamu Tanzania hawajielewi utasikia tunashukuru tuna Raisi na wabunge kibao wanachosahau Pesa zao za mishahara na posho Pesa hutoka vyanzo haramu mfano hupitisha bajeti ya wizara ya fedha ambayo moja ya vyanzo vikubwa vya serikali ni Kodi ya pombe na Waziri husoma wazi bila kificho na Raisi Muislamu husaini kuidhinisha na hijabu yake kuwa hiyo bajeti ruksa kupita na Kodi za pombe zake humo ndani

Akimaliza kusaini anawahi msikitini swala tano
 
Mleta mada hajielewi uislamu unakataza Riba Bahkresa anakopa Hadi basi mikopo yenye Riba na waislamu kutwa wanapanga foleni kuomba msàada kwake wao hawataki kukopa Kwa riba

Kamari hairuhusiwi kwenye uislamu lakini Sportpesa za Mo Akipata Pesa kupitia sport Pesa wanafurika kuomba michango ya ujenzi madrasa na misikiti na kuomba kufuturishwa Ramadhani na kumuombea Dua ndeefuuuuuuuu ya heri
 
Bila picha we muongo, mkuu mimi muislam ila kwa kule wakivaa suruali au s
Skirt watafanyaje mazoezi au kazi za kijeshi
 
Kuhenyeshwa sawa lakini vile vibukta kwa watoto wa kike si sawa...ningependa na viongozi wa dini waingilie hili kati. Kuna mijitu pale inataka tu kulisha macho yao....
Lakini mbona mtaani hao hao mabinti wanavaa vibukta na kutembea nusu uchi hamlalamiki wajameni?Kuna night clubs ngapi nchini,wanaojiuza si ni hao hao mabinti zetu
 
Unakabia juu sana maalim,mpe ostazi hewa kidogo
 
Lakini mbona mtaani hao hao mabinti wanavaa vibukta na kutembea nusu uchi hamlalamiki wajameni?Kuna night clubs ngapi nchini,wanaojiuza si ni hao hao mabinti zetu
Wacha hiyo wabunge wa Zanzibar swala Tano hupitisha bajeti ya wizara ya fedha yenye Kodi za pombe na sigda zao usoni na mahijabu Yao na wanajazana wizara ya Fedha na taasisi zake ambako Mapato hutegemea riba ya mikopo na Kodi za pombe iwe TRA nk kinyime na maagizo ya Allah kuajiriwa hata TRA ni kukiuka maadili ya Kiislamu ambayo hayatambui Kodi za biashara za pombe au kitimoto kama biashara halali zinazotakiwa kusimamiwa na Afisa au bosi wa TRA muislamu Kwa nafasi yeyote

Au kuwa bosi chombo chochote ambacho Mapato yake hutokana na Riba au ku bet kama ambavyo Abbas Tarimba alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika la bahati nasibu la taifa
 
Katiba inasemaje mkuu naomba utupe hicho kifungu tukakisome
 
Siasa Kali nenda Afghanistan ukajifunze wanawake na wasichana wa Kiislamu ni ndani hakuna kuwemo ndani ya serikali Wala kusoma vyuo huko JKT anafuata Nini? Mfuge ndani Kisha mtafutie imamu wa msikiti au Mwalimu wa Madrasa amuoe
 
Ndugu kwanini tuwaondoe.

Wakati nchi hii ni yetu sote. Kama sheria haziko universal nani anastahili kufata sheria za imani nyingine
Kwanini malawi yenye waislam wachache wanaruhusu.

Ni kwamba waislam wa tz ni wachache zaidi au hawajui Sosholojia ktk taifa lao.

 
Jifunze hapa nini haki ya waumini wa imani zote ktk kutekeleza sheria ya uhuru wa kuabudu. Kuwalazimisha watu wa imani kwa kufata upagani is unconstitutional
 
Mwafrika kumtawala na kumfanya mtumwa ndani ya Ardhi yake huhitaji Bunduki au kumpa Cocaine au Bangi.
DINI ni SILAHA Hatari zaidi ya NYUKLIA kwa sasa, Dini zimeleta mauaji ya kutisha, Dini zimeleta Utengano, Dini zimeleta udumavu wa kufikiri, Dini Dini Dini
 
Uko contaminated kwa kiasi kikubwa.

Jifunze kwanza hapa

Kenya Raisi Ruto kateua Mkuu wa jeshi la Anga mwanamke muislamu Wakenya waneongea sana kuwa vyeo vya jeshi vinatolewa Kwa jinsia tu

Mbona hakuna wanajeshi wanawake wa Kenya kwenda kupambana na Alshabab kuanzia jeshi la Anga au la ardhini?

Mama Samia naye Kwa kukurupuka tu aliongea kitu siku ya muungano kuwa huko mbele 2030 Tanzania yaweza kuwa na Mkuu wa jeshi mwanamke kisa kaona mwanamke kikosi Cha gwaride Cha bendera

Jeshi Sio gwaride ni vita yeye gwaride tu mwanamke ananyanyua kamguu anasema ooh mwaka 2030 aweza kuwepo Mkuu wa Majeshi mwanamke anajielewa kweli kwenye Hilo?
 
Kuhenyeshwa sawa lakini vile vibukta kwa watoto wa kike si sawa...ningependa na viongozi wa dini waingilie hili kati. Kuna mijitu pale inataka tu kulisha macho yao....
Imani ipo na tunayo, ila kuna maeneo, tusiweke sana mambo imani mbele ingawa tunatakiwa kumuomba Mungu kwa kila jambo.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…