Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Kuna waislamu Tanzania hawajielewi utasikia tunashukuru tuna Raisi na wabunge kibao wanachosahau Pesa zao za mishahara na posho Pesa hutoka vyanzo haramu mfano hupitisha bajeti ya wizara ya fedha ambayo moja ya vyanzo vikubwa vya serikali ni Kodi ya pombe na Waziri husoma wazi bila kificho na Raisi Muislamu husaini kuidhinisha na hijabu yake kuwa hiyo bajeti ruksa kupita na Kodi za pombe zake humo ndani

Akimaliza kusaini anawahi msikitini swala tano
Hua wana babaika na vitu vidogo vidogo ambavyo havina mashiko wala maana
 
Imani ipo na tunayo, ila kuna maeneo, tusiweke sana mambo imani mbele ingawa tunatakiwa kumuomba Mungu kwa kila jambo.
.
Sahihi hakuna mtu alikuwa na udini kama Raisi Marehemu Mwinyi akizungukwa na walinzi waislamu watupu siku hiyo akaenda hafla ya waislamu Diamond Jubilee Kuna kitu akaongea kumbe kimewaudhi waislamu siasa kali walinzi wakazubaa Wana Concentrate kusikiliza mawaidha tu na Aya za Mtume Mohamed tu zikitiririka kwenye spika.Islamu siasa Kali akajifanya anarekebisha maiki akamtabdika kibao Cha nguvu Raisi

Ni Raisi pekee aliyewahi kutandikwa kibao na raia Toka tupate uhuru

Toka wakati huo walinzi wa Raisi kama muislamu hulindwa na wakiristo na kama ni Muislamu hulindwa na waislamu ambao wakiingia hata msikitini au kanisani Wana Concentrate kulinda mtu wao tu sio kusali sababu sio Dini Yao
 
Sahihi hakuna mtu alikuwa na udini kama Raisi Marehemu Mwinyi akizungukwa na walinzi waislamu watupu siku hiyo akaenda hafla ya waislamu Diamond Jubilee Kuna kitu akaongea kumbe kimewaudhi waislamu siasa kali walinzi wakazubaa Wana Concentrate kusikiliza mawaidha tu na Aya za Mtume Mohamed tu .Islamu siasa Kali akajifanya anarekebisha maiki akamtabdika kibao Cha nguvu Raisi

Toka wakati huo walinzi wa Raisi kama waislamu hulindwa na wakiristo na kama ni Muislamu hulindwa na waislamu ambao wakiingia hata msikitini au kanisani Wana Concentrate kulinda mtu wao tu sio kusali sababu sio Dini Yao.
Hayo maelezo yako, mbona hayaendani na nilichokiandika.
.
.
.
 
Hayo maelezo yako, mbona hayaendani na nilichokiandika.
.
.
.
Ninachokuambia ni kuwa wanaandaliwa Kwa Hali ya hewa yeyote .Popote wakijua Kuna mtu anataka kupindua Raisi kajificha kwenye danguro la Malaya wavaa vikaptura unataka waende na Hijabu kama maafisa usalama wa taifa au wapelelezi ? Kwenye Hilo eneo? JKT inawaandaa Kwa Kila eneo

Una akili ndogo mno
 
Islamists, fundamentalist, radical islams,
Hii dini hiii, ni, shida Sana,
Hawa kenge walimsumbua Sana Mkapa, 1995 to 2005!,
Kwa wasiojua, ukikutana na watoto wa shule za secondary za serikali,utaona kuna wasichana wamevaa sketi ndefu, hijabu,na blauzi za mikono mirefu,wengine sketi za kawaida mwisho magotini,
Kuwa hv, ilikuwa Vita balaa, miaka hiyo mashekh walikuja juu, wakitaka watoto wa ki Islam waruhusiwe kuvaa mavazi ya dini shuleni,wakataka mpaka hata polisi,wanajeshi wanawake wavae hijab!
jwtz, wakasema hapa mmevuka mipaka ikashindikana!
Kwanini waliruhusiwa.

Ni matakwa ya katiba?

Kama ndio kwanini iwe sivyo ktk vikosi na idara zetu za usalama
 
N

Naomba unambie kama ni sahihi kwa mwanamke wa kiislamu kichwa wazi hadharani?
Na je ni sahihi kuvaa Ijabu juu ya kombati za kijeshi?
Ni nani aliekwambia jeshini kunaudini?

The fact ni kwamba ukisha ingia tu kwenye geti lolote la jeshi kwa lengo la kwenda kupiga kozi basi jua elimu yako na imani yako vinaishia Getini. Ukiwa ndani hawatambui we ni Muslim au myahudi, Mwenye PhD au La saba

Acha kujifanya unazijua dini za watu Wakati we nijitu jeusi fiii.... jifunze kutafuta kujua hata historia ya Mwafrika. Ona sasa midini midini inavyokufanya uonekane huna akili?

Yan wanajeshi walelewe vile imani yako inataka! Mpumbafu kweli( Ashakum si matusi)
Ni hisia zako au ni kwa mujibu wa katiba.

Ikiwa sheria ndani ya kambi ya jeshi unapingana na katiba nini kinakuwa batili. Nini kinapaswa kufatwa
 
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike mavazi ya watoto wa kiume. Nazungumzia viBUKTA kwa lazima.

Katiba ambayo ndio sheria mama inamlinda kila raia na imani yake kwa kutoa haki na uhuru wa kuabudu.

Kuvaa mavazi yenye stara kwa wanawake/mabinti wa kiislam ni sehemu ya ibada (kuabudu) inaolindwa na katiba.

Ndio maana wanafunzi mashuleni walipewa uhuru huo miaka ya 80 na serikali hii hii baada ya waislam kusimama umara na kutetea haki hii.

Huko JKT watoto wetu wa kiislam watavalishwa vibukta. Kwa jina la serikali isiyo na dini. Kwa jina la uzalendo kwanza.

Kumekuwa na dhana kuwa tendo hili inafanywa kwa kwa kuwa itikadi ya nchi haina dini. Basi tunachojiuliza dhana hii kwa kuwa serikali haina dini ina maana ya kuwadhibiti wananchi wenye dini au kuwalinda?

Kudhibiti kwa kuwavua baadhi ya watz imani za dini zao badala ya kuzilinda.

Ukweli katiba ya nchi ndio sheria kuu na hivyo kama kuna sheria za jkt zinazowataka wasichana kuvaa vibukta.

Ieleweke ya kuwa sheria na amri hiyo ni batili. Kwa kuwa inakwenda kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya uhuru wa kuabudu.

Hoja ya uzalendo au serikali isiyo na dini naamini ni ya tafsiri ya tabaka la sasa la watendaji chini ya chama cha Mapinduzi tulioamua kuwaamini na kuwachagua watekeleze matakwa yetu. Kinyume chake wameamua kutafsiri dhana hizi kwa matakwa na imani tulizonazo ambazo haziathiri imani binafsi.

Kwa miaka mingi sasa Jkt imeamua kuminya wenye dini wasipractice uhuru wao wa kuabudu unalindwa na katiba.

Kwani jkt ni moja ya taasisi hizo ni zetu sisi umma.

Tunaitaja jamii, vyama vya siasa, kijamii na taasisi za dini kupaza sauti na kuwatetea mabinti hawa ambao hawana wa kuwasemea.

Kama ambavyo vijana wa kike waliruhusiwa kuvaa nguo zenye stara mashuleni kwanini ktk mafunzo ya jkt wasiwe na uhuru huo.

Ni katiba, ni serikali au sheria za chuo inayolazimisha mabinti wanaohitaji mafunzo na wanaohitaji stara kuvuliwa stara zao?

Iwapo ni masharti ya serikali (jkt) hawaoni wanausigina katiba inayotoa uhuru wa kuabudu. Na kwamba kuvaa uniform maalum vitakazolinda stara zao ni haki ya kimsingi kama ambavyo nchi nchini tena zenye waislam walio wachache wanavyoruhusia kutekeleza ibada hii ya mavazi kwa kuweka dressing code kwa wanaotaka kuvaa hivyo.

Je hii ni dhana ya serikali au ni tafsiri za watendaji wa serikali wanavyotafsiri wao sawa na imani zao?

Kuwavua mavazi ya stara mabinti zetu ni sehemu ya Uzalendo?.

Kunawataka watz waelewe hili. Kwa uhuru wa kuabudu nilik misingi ya haki za binadamu.
Acha kuleta utaliban hapa kwa mgongo wa katiba. Unamjua huyu mwanamke kwenye picha hapa chini. Alivaa vibukta hivyo hivyo akiwa kuruta na hadi kustaafu akiwa Major General na sasa hivi anavaa ushungi. Unadhani yeye ssiyo mwislamu?

1716824550684.png
 
When it comes to military affairs , kule wana rules zao. Unataka ku practise those rights za kiislam peleka

sijui kama wengi wanakumbuka hili, but it was chaotic. Thanks God muheshimiwa hakupanick alishikilia msimamo, or else jeshi lingekuwa la ajab ajabu
What kind of rules that we needed to be followed which are not universal.

Will u learn from other democratic nations.

Mavazi kama haya yana Wandaaa kuwa nani watoto wenye malezi wakishaondoka hapa.

Thamani ya mwili wake iko wapi tena. Uhuru wake wa kuabudu unalindwaje hapa

View: https://youtu.be/WYAUNij6meo?si=MnS6DdEVdUq-i7pb

Huko huendi kuabudu, unaenda kwa kazi moja tu. Unataka kuabudu kuna muda maalumu lakini si muda wa mafunzo. Jeshini wote mna kuwa treated as equal , no special treatment, no special rights, all mna server cause moja.

Kama hiwez au hutaki dont join
 
Acha kuleta utaliban hapa kwa mgongo wa katiba. Unamjua huyu mwanamke kwenye picha hapa chini. Alivaa vibukta hivyo hivyo akiwa kuruta na hadi kustaafu akiwa Major General na sasa hivi anavaa ushungi. Unadhani yeye ssiyo mwislamu?

View attachment 3001001
Maana ya itikadi ya Serikali isiyo na dini ni nini.

Kudhibiti baadhi ya dini?

Kama sheria za nchi zingekuwa zinaenda kinyume na ukatoliki je wakatoliki wangekubali?
 
Hawa wana wear wakiwa wameshapata mkataba wa ajira, wakati wa kozi ni impossible. Zili shuruba no body anajali umevaa whatever, na kwenye vita adui hatojali umevaa kanzu, au rangi yako
 
Huko huendi kuabudu, unaenda kwa kazi moja tu. Unataka kuabudu kuna muda maalumu lakini si muda wa mafunzo. Jeshini wote mna kuwa treated as equal , no special treatment, no special rights, all mna server cause moja.

Kama hiwez au hutaki dont join
Najua hiki ndicho chanzo cha tatizo.

Kwamba neno ibada lina maana mbili tofauti kati ya waislam ma wakristo.

Wakristo wanatafsiri kufanya ibada ni kufanya matendo maalum kama kwenda kanisani, kumsifu na mfano wa hayo.

Katika uislam kila kitendo ukifanya kwa mujibu wa uislam ni ibada. Kuvaa nguo za stara kwa wasichana ni ibada ni kuabudu. Sasa pale mtumishi wa serikali wanaotafsiri neno ibada kwa mujibu wa imani yake. Tafsiri hiyo si msimamo wa serikali isiyo na dini bali ni tafsiri ya imani yake. Ktk serikali isiyonadini tafsiri sahihi ya kuswali wenye imani na dini kwa mujibu wa katiba si kuwadhibiti kwa kutafsiri dhana sawa na imani ya dini yake binafsi
 
Una experience yoyote ya jeshi?

Sizungumzii tofauti ya ukristo na uislam. When it comes to serikali ( yenyewe haina dini)
Niko upande wa nchi.
As experienced ex service guy, mle haijalishi ni mkristo or muislam, wote mnapigwa kazi. Jeshi liko under directory moja tu, ku serve interest za nchi, na si interest za dini fulani.

Hizo rights zina wakati wake, why una include dini nyakati za mafunzo?
Basicaly ni jambo lisilo wezekana, kwa shuriba za mle ushungi hauto pitisha 1 day.

Unataka ku archive nini?

As i said again, unaona service ya nchi haiendani na dini, jump the ship
 
Experience is curse when it comes a situation u support unconstitutional.

Will u allow to learn.

Google hii title as guideline kwa wenzetu wanaoamini Secularism is to protect believers with their faith.

Kwa ufupi ni hivi

operational effectiveness or health and safety.

General dress codes which conflict with religious or belief requirements may constitute indirect discrimination under the Equality Act unless they can be justified.

GUIDE ON RELIGION AND BELIEF
IN THE ARMED FORCES

Kwa ufupi ni hivi kutoka jeshi ya uingereza na US

The Armed Forces recognise that individuals with specific religions or beliefs generally welcome the opportunity to wear clothing with significance to their religion or belief. This is reflected in the Services’ dress regulations that
take account of cultural and religious differences such as permitting individuals to wear items of religious significance and Muslim women to cover
their arms, legs and head in all aspects of their work. More detailed information on religious dress in the Armed Forces can be found at Annex A.
For operational and health and safety reasons, members of the Armed Forces may have to be flexible in some circumstances. However, the Armed Forces’
policy is to ensure that any such restrictions regarding clothing to be worn in an operational environment are genuine requirements on grounds of

Back
Top Bottom