SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Aisee🙌🏾
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda JKT Sio lazima ni hiari ya mtoto asipoenda hafanyiwi chochote muwambie watoto wenu wa kike wasiende full stopYes. Ndio maana nimesema kuna umuhimu wa wazazi kuwapima mabinti zao kabla ya kuwaruhusu kwenda kuharibiwa na maafande mabazazi na mavuta bange yanayowaka tamaa za kufanya ngono zembe na mabinti za watu ili wawaambukize UKIMWI na maradhi mengine ya hatari kama vile homa ya ini na gono.
Hivi ni kwanini mama Samia akiwa mwanamke anawaacha watoto wa kike waende kuharibiwa huko JKT? Ni kwa sababu yeye watoto wake hawaendi JKT au kuna sababu nyingine?
Ndugu wanaharakati na watetezi wa haki za mtoto wa kike tunaomba mtoke mafichoni mje hadharani kutetea watoto wa kike wanaoharibiwa kwenye makambi haramu ya JKT kwa kisingizio cha uzalendo.
Mungu atawahukumu kwa kukaa kwenu kimya. Mna maana gani hasa kukalia kimya janga hili? Au mmehongwa na serikali kuwaacha mabinti wa wakulima waharibiwe? Amkeni jamani.
Jamaa amenichekesha sanaSasa Mkuu Mohamed Abubakar , ulitaka wakaruke vichura na "Baibui" Mkuu?
Wakati mwingine unaongea vitu vya maanaYes. Ndio maana nimesema kuna umuhimu wa wazazi kuwapima mabinti zao kabla ya kuwaruhusu kwenda kuharibiwa na maafande mabazazi na mavuta bange yanayowaka tamaa za kufanya ngono zembe na mabinti za watu ili wawaambukize UKIMWI na maradhi mengine ya hatari kama vile homa ya ini na gono.
Hivi ni kwanini mama Samia akiwa mwanamke anawaacha watoto wa kike waende kuharibiwa huko JKT? Ni kwa sababu yeye watoto wake hawaendi JKT au kuna sababu nyingine?
Ndugu wanaharakati na watetezi wa haki za mtoto wa kike tunaomba mtoke mafichoni mje hadharani kutetea watoto wa kike wanaoharibiwa kwenye makambi haramu ya JKT kwa kisingizio cha uzalendo.
Mungu atawahukumu kwa kukaa kwenu kimya. Mna maana gani hasa kukalia kimya janga hili? Au mmehongwa na serikali kuwaacha mabinti wa wakulima waharibiwe? Amkeni jamani.
Hivi wabongo akilizenu zimejaa tope na kamasiSasa Mkuu Mohamed Abubakar , ulitaka wakaruke vichura na "Baibui" Mkuu?
Hivi hata Kwa akili Yako ya kawaida tu hapo Kuna hijabu? Hako kasurauali la kubana kanakoonyesha vitako vyake vilivyokondeana itasema hijabu hiyoHivi wabongo akilizenu zimejaa tope na kamasi
Kama wanacheza mpira na hijabu, watashindwa vipi kufanya mazoezi ya kipuuzi kama ya jkt
View attachment 3003035
Hapo ndio nahakiki akili za kibongo ni full tope na kamasi na utyoko ndaniHivi hata Kwa akili Yako ya kawaida ti hapo Kuna hijabu? Hako kasurauali la kubana kanakoonyesha vitako vyake vilivyokondeana itasema hijabu hiyo
Tena nusura apinduliweShekhe,
Ayatollah Khomeini, kiongozi wa nchi ambayo ni jamhuri ya kidini ameshindwa hayo mambo ya kulazimisha uvaaji wa hijab kwa kugomewa na wafuasi wa dini yake hiyo, wewe utaweza?!
Mnaleta ujinga mwingi wakati hio sio imani yako, na kwani hapa tuko Iran, mpaka unaleta mifano mfuTena nusura apinduliwe
Sasa hivi askari wa dini wote wasimamia uvaaji hijabu wote wameindolewa mitaani
Sasa hivi wanawake wanatembea wakiwa wamevaa watakavyo wengine wanavaa hovyo makusudi kumchokoza Ayatollah kuwa tudhibiti uone moto Umenusurika kupinduliwa tuguse Tena uone Ayatollah kaufyata kwenye swala la kulazimisha hijabu
Mkuu kwenda JKT sasa hivi ni lazima. Huwezi kwenda Chuo Kikuu ikiwa hukupita JKT. Serikali hii imerogwa. Wanalazimisha kuharibu future za watoto wa wakulima kwa sababu watoto wao hawaendi JKT.Wakati mwingine unaongea vitu vya maana
Kwanza suala la kwenda JKT ni kwa nchi masikini kama hii ni kulitia taifa hasara tu
Hakuna cha maana chochote wanachojifunza, wakitoka huko umasikini uko pale pale, labda kwa wale wanaotaka kujiunga na ajira za majeshi.
Ushauri ni kwamba kwa kijana na mdada anaejielewa ni kwamba kwenda JKT ni kupoteza muda wako na sio lazima.
Katiba haiongelei uniformMnaleta ujinga mwingi wakati hio sio imani yako, na kwani hapa tuko Iran, mpaka unaleta mifano mfu
Kwani hakuna wanawake wa kiislamu wasiovaa hijab, Shangazi Karume sio mwislamu? kuna mtu kamlazimisha avae hijab
Kwa wasiotaka na wasivae na wanaotaka waheshimiwe maamuzi yao
Uwongo Tena wa Hali ya juu ndivyo mnavyodanganyana misikitini wajinga nyieMkuu kwenda JKT sasa hivi ni lazima. Huwezi kwenda Chuo Kikuu ikiwa hukupita JKT. Serikali hii imerogwa. Wanalazimisha kuharibu future za watoto wa wakulima kwa sababu watoto wao hawaendi JKT.
Atakuwa hajui 😂😂😂 mtu ukijikung'uta unavuja vumbi.Kuna vitu haviwezekani mkuu, unataka mtoto akimbie mabio na hijab? Hell no! unasema kuna watu wanataka kulisha macho yao, ukienda baada ya wiki mbili hao mabinti hawatofautishiwi na wanaume hizo sura zao