Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Andika kwa kifupi,hakuna mtu ana mda wa kuanza kudownload pdf.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika kwa kifupi,hakuna mtu ana mda wa kuanza kudownload pdf.
Nina hakika kabisa kwa comment yako hii kuna watu wanakuona na wewe pia hamnazo!Nyie ndio mnafanya waislamu waonekana hamnazo
Huyo dada yako kama yeye kazoea kudinywa na maafande hadi amekuwa sugu ndiye umfananishe na mabinti zetu? Hebu kuwa serious na maisha ya watoto wa watu mkuu.Bana mkuu mtoto wako ni kukosa msimamo na kujipendekeza mbona dada angu yupo uko na hana tatizo,
Kuvuliwa nguo ni kupenda
Sawa. Kuna mambo mawili unapaswa kuelewa sudan na Somalia. Kama ilivyokuwa Afghanistan.Somalia Waislamu watupu wanapigana wenyewe Kwa wenyewe
Sudan Waislamu watupu wanapigana wenyewe Kwa wenyewe
Unadhani kuwa na watoto wengi ni kukosa akiliWaislamu akili hamna wanajua kuzaa zaa hovyo tuu. Na kushinda mskitini.
Waznz baada ya kuona wasichana wanavisha boxer huku bara akaanzisha jku.Hayo mambo pelekeni jeshi la Zanzibar sio huku Tanganyika.
Dhana ya Kuabudu
Kuvaa mavazi yenye stara ktk imani ya kiislam ni ibada. Ni kuabudu.
Kuabudu si kuswali, kusali na kusifu tu.
Kuabudu ni kutekeleza kila amri ya Mungu kwa mujibu wa imani yako.
Katiba ya nchi kifungu cha 19.
Kifungu cha pili kinatoa uhuru wa kuabudu kwa kila raia.
Na ibara ya 29 - 30 inayozuia mtu yyt (watendaji wa serikali) kuwazuia wengine kutekeleza haki zilizoanishwa na katiba. Kwa muhtadha wa mada hii ni KUABUDU.
19. Uhuru wa mtu kuamini dini atakayo
(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake.
(2) Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari la mtu binafsi; na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.
Masharti ya Jumla (Ib 29-30)
29. Haki na wajibu muhimu
(5) Ili watu wote waweze kufaidi haki na uhuru vilivyotajwa na Katiba hii kila mtu ana wajibu wa kutenda na kuendesha shughuli zake kwa namna ambayo haitaingilia haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
30. Mipaka ya haki na Uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu
(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma. Mwisho wa kunukuu.
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike mavazi ya watoto wa kiume, nazungumzia vibukta kwa lazima.
Katiba ambayo ndio sheria mama inamlinda kila raia na imani yake kwa kutoa haki na uhuru wa kuabudu.
Kuvaa mavazi yenye stara kwa wanawake/mabinti wa kiislam ni sehemu ya ibada (kuabudu) inaolindwa na katiba.
Ndio maana wanafunzi mashuleni walipewa uhuru huo miaka ya 80 na serikali hii hii baada ya waislam kusimama umara na kutetea haki hii.
Huko JKT watoto wetu wa kiislam watavalishwa vibukta kwa jina la serikali isiyo na dini, kwa jina la uzalendo kwanza.
Kumekuwa na dhana kuwa tendo hili inafanywa kwa kwa kuwa itikadi ya nchi haina dini. Basi tunachojiuliza dhana hii kwa kuwa serikali haina dini ina maana ya kuwadhibiti wananchi wenye dini au kuwalinda?
Kudhibiti kwa kuwavua baadhi ya Watanzania imani za dini zao badala ya kuzilinda.
Ukweli katiba ya nchi ndio sheria kuu na hivyo kama kuna Sheria za JKT zinazowataka wasichana kuvaa vibukta.
Ieleweke ya kuwa sheria na amri hiyo ni batili. Kwa kuwa inakwenda kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya uhuru wa kuabudu.
Hoja ya uzalendo au serikali isiyo na dini naamini ni ya tafsiri ya tabaka la sasa la watendaji chini ya Chama Cha Mapinduzi tulioamua kuwaamini na kuwachagua watekeleze matakwa yetu. Kinyume chake wameamua kutafsiri dhana hizi kwa matakwa na imani tulizonazo ambazo haziathiri imani binafsi.
Kwa miaka mingi sasa JKT imeamua kuminya wenye dini wasipractice uhuru wao wa kuabudu unalindwa na katiba.
Kwani JKT ni moja ya taasisi hizo ni zetu sisi umma.
Tunaitaja jamii, vyama vya siasa, kijamii na taasisi za dini kupaza sauti na kuwatetea mabinti hawa ambao hawana wa kuwasemea.
Kama ambavyo vijana wa kike waliruhusiwa kuvaa nguo zenye stara mashuleni kwanini katika mafunzo ya JKT wasiwe na uhuru huo.
Ni katiba, ni serikali au sheria za chuo inayolazimisha mabinti wanaohitaji mafunzo na wanaohitaji stara kuvuliwa stara zao?
Iwapo ni masharti ya serikali (JKT) hawaoni wanaisigina Katiba inayotoa uhuru wa kuabudu na kwamba kuvaa uniform maalum vitakazolinda stara zao ni haki ya kimsingi kama ambavyo nchi tena zenye waislam walio wachache wanavyoruhusiwa kutekeleza ibada hii ya mavazi kwa kuweka dressing code kwa wanaotaka kuvaa hivyo, je, hii ni dhana ya serikali au ni tafsiri za watendaji wa serikali wanavyotafsiri wao sawa na imani zao?
Kuwavua mavazi ya stara mabinti zetu ni sehemu ya Uzalendo?
Kunawataka Watanzania waelewe hili, uhuru wa kuabudu ni misingi ya haki za binadamu.
Kwanini watz tuko wa ajabu sana linapokuja suala la kuvumiliana values zetu. Kila kundi linalounda watanzania. Kwanini tulazimushwe kufata imani na values za kipagani.
Kwani Ujamaa ni imani.
imani ya Ujamaa ni upagani.
Kama dini dini ni imani
Na kama Ujamaa ni imani
Then Ujamaa ni dini.
Hivyo kusema serikali haina dini ni uongo uliotengenezwa, disinformation and unconstitutuion.
Dini ni falsafa na Ujamaa ni falsafa.
Kwanini serikali iwe na imani ambayo iwe ni lazima kwa wenye imani nyingine kuifata.
Mataifa ya kidemokrasia yanayojipambanua kusimamia haki za binadamu na uhuru wa kuabudu wameweka
Mwongozo ni huu
View: https://youtu.be/WYAUNij6meo?si=KF6MURiFhUFat7Xx
Kwani jeshi la Marekani la kidini.KWANI JESHI LETU NI LA MRENGO WA KIDINI. AU UNASAHAU KAMA TANZANIA SIYO NCHI YA KIDINI.
moyo haujakubali kuwa vazi (uniform) yenye vigezo vya kuitwa hijab ni haki kwa mabinti wa kiislam jeshini au ktk kambi za jeshi.
Ndio maana hata link nilizokuwekea unasema ni wanajeshi nchi za kiarabu.
Ukweli wanajeshi hao ni wa uk, marekani na malawi.
Nakuwekea tena link moja uone uhuru huu wa kuabudu marekani
View: https://youtu.be/LFVeJK2ZdkQ?si=EH4qAnZOdW_YILxY
Kwani jeshi la Marekani la kidini.
Kwani jeshi la polisi scotland yard ni la kidini.
Ni Katiba inayotoa uhuru wa kuabudu ukiwa mtaani au ukiwa ni mtumishi wa umma.
View: https://youtu.be/zddiPwicaH0?si=oDVehMbqsHZVbpLm
View: https://youtu.be/RDx2zl5li5k?si=TwW5LxcLzKEYHPPA
Ukisoma somo la falsafa. Utagundua hakuna mtu anaweza kuishi bila imani. Wewe una imani, serikali pia lazima uwe na imani.
Kwa hiyo imani haikwepeki.
kwa maana waafrika wote wana imani.
Kilichopo ni hiki. Ktk jamii na zama tulizonazo za kistaarabu kama serikali inapaswa kuongozwa na sheria ambazo zinaakisi universal law.
Kwa kulitambua hili mataifa ya kistaarabu yenye mchanganyiko wa watu wenye mila, imani na tamaduni mbali mbali kutengeza utaratibu wa kuwaacomodate jamii zote. Kwa mfano wanafunzi kuvaa hijab tz. Ni sheria inayowahusu waislam pekee.
Kule znz kuna wasichana hawavishwi vibukta.
Kwa kumalizia serikali yetu inaongozwa na imani ya ujamaa.
Ujamaa ni imani.
Ujamaa ni unatokana na ukomonist, ni imani isiyoamini uwepo wa Mungu (upagani)
Sasa ninyi ndugu zetu mnataka waislam kuuwa wapagani?
Ni muhali.. hata hivyo naamini serikali haijakusudia kufanya hivyo. Bali inafata mazoea au hawatokujua kuwa wanatenda kosa.
Kwa hiyo ni suala la muda tu. Serikali sikivu hii ikiongozwa na 4R. R moja wapo ni reconciliation (upatanisho)
Hao wanaokwanza wasiendeKuhenyeshwa sawa lakini vile vibukta kwa watoto wa kike si sawa...ningependa na viongozi wa dini waingilie hili kati. Kuna mijitu pale inataka tu kulisha macho yao....
Uniformity (mfanano) ili kuwezesha ufuatiliaji na usimamizi wenye ufanisi ndiyo malengo ya kunyoa vipara,kuvaa mavazi ya kufanana,kula chakula cha kufanana ili ikitokea akapata nafasi ya kulitumikia taifa upande wa majeshi yetu avumilie hivyo vitu pale inapomhitaji kuwa hivyo.Kuvaa mavazi yenye stara ktk imani ya kiislam ni ibada. Ni kuabudu.
Unlikely na imani yenu. Na nadhani hapo ndipo tusipoelewana. Kwani kuabudu si kuswali, kusali na kusifu.
Kuabudu ni kutekeleza kila amri ya Mungu kwa mujibu wa imani yako
acha kuilinganisha mwakaleli na sehemu zenye hewa chafu,we unaisifu masaki huku unaishi yombo na kobazi wa kizaramo wengi wao huishia kariakoo,buguruni,tandika,kigamboni huko masaki wakafanye nini?Kwa maana hiyo sisi ni wengi kuzidi nyinyi mnaomwaga nje
Sasa huu upupu wa wagalatia ndio mmejazano bongo mnautoa wapi
Mbuzi nyinyi mnaletwa mijini na Necta, mkilowea mnasahau umasikini wenu wa maporini, mnaanza kulinganisha Masaki na Tandale
kwanini usilinganishe Mbagala na huko ulikotokea Ibadakuli au Mwakaleli
Mkuu acha wivu kikeNina hakika kabisa kwa comment yako hii kuna watu wanakuona na wewe pia hamnazo!
Ukikuwa utagundua kuwa comment ya mtu juu ya mtu haiamui ukweli wa jambo! .... Inasaidia tu kupata attention ikiwa sauti yako ni kubwa kuliko mwenzako.