Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Mabinti wa Kiislamu kuvaa bukta katika mafunzo JKT ni kwenda kinyume na Katiba

Dhana ya Kuabudu

JE JUKUMU LA KUWALEA WATOTO WA DINI MBALIMBALI SAWA NA MAELEKEZO YA DINI HIZO?

Kama jukumu hilo ni la mzazi mwenyewe ji serikali ina haki ya kuwa kisababishi na kuzuia haki hiyo kutekelezwa popote ndani na nje ya taasisi za serikali.

Kama serikali haingilii dini kwanini iweke taratibu zinazozuia baadhi ya wenye dini kupractice dini zao.

Haki hiyo inatokana na katiba au ni matumizi mabaya wa tuliowapa madaraka na kuwaamini wanatenda haki bila kubagua.

Kuvaa mavazi yenye stara ktk imani ya kiislam ni ibada. Ni kuabudu.

Kuabudu si kuswali, kusali na kusifu tu.

Kuabudu ni kutekeleza kila amri ya Mungu kwa mujibu wa imani yako.

Katiba ya nchi kifungu cha 19.

Kifungu cha pili kinatoa uhuru wa kuabudu kwa kila raia.

Na ibara ya 29 - 30:5 inayozuia mtu yyt (watendaji wa serikali) kuwazuia wengine kutekeleza haki zilizoanishwa na katiba.

Kwa muhtadha wa mada hii ni KUABUDU.

19. Uhuru wa mtu kuamini dini atakayo

(1) Kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo, imani na uchaguzi katika mambo ya dini, pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake.
(2) Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari la mtu binafsi; na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamlaka ya nchi.

Masharti ya Jumla (Ib 29-30)

29. Haki na wajibu muhimu

(5) Ili watu wote waweze kufaidi haki na uhuru vilivyotajwa na Katiba hii kila mtu ana wajibu wa kutenda na kuendesha shughuli zake kwa namna ambayo haitaingilia haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
30. Mipaka ya haki na Uhuru na hifadhi kwa haki na wajibu
(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.

Mwisho wa kunukuu.

Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.

Moja ya kitendo cha kudhalili, kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike mavazi ya watoto wa kiume kwa lazima. Nazungumzia vibukta.

Katiba ambayo ndio sheria mama inamlinda kila raia na imani yake kwa kutoa haki na uhuru wa kuabudu.

Kuvaa mavazi yenye stara kwa wanawake/mabinti wa kiislam ni sehemu ya ibada (kuabudu) inaolindwa na katiba.

Ndio maana wanafunzi mashuleni walipewa uhuru huo miaka ya 80 na serikali hii hii baada ya waislam kusimama imara na kudai haki hii.

Huko JKT watoto wetu wa kiislam watavalishwa vibukta kwa jina la serikali isiyo na dini, kwa jina la uzalendo kwanza.

Kumekuwa na dhana kuwa tendo hili linafanywa kwa kwa kuwa tunaongozwa na Serikali ina itikadi ya kutokuwa na dini. Bali tunachojiuliza dhana hii kwa kuwa serikali haina dini ina maana gani kwa sisi wananchi.

Je serikali unalengo la kuwadhibiti wananchi wenye dini au lengo la serikali ni kutulinda bila kubagua yeyote.?

Katika hali halisi yaonyesha Serikali imeamua kudhibiti baadhi ya imani kwa kuwavua baadhi ya Watanzania imani za dini zao na kuwalazimisha kufata imani ya kipagani.

Kazi ya serikali yyt duniani ni kuwalinda raia wake. Kulinda ardhi zao, mila na tamaduni zao. Na inapotokea jamii fulani ina mila potofu serikali hufanya kampeni za kuwashawishi raia waondokane na mila hizo.

Tunaomba serikali au watendaji wa serikali watufafanunue je ibada hii kwa wasichana wa kiislam kuvaa unifomu yenye stara ni mila potofu kwa serikali isiyo na dini (kipagani).

Kinyume chake sisi kama sehemu ya jamii inayounda Tanzania tunaamini Serikali imekuwa kuvunja katiba kwa kutowaruhusu mabinti wa kiislam kuvaa uniform zinazikidhi uhitaji wao wa kuabudu.

Katiba ya nchi ndio sheria kuu na hivyo kama kuna Sheria za JKT zinazowataka wasichana kuvaa vibukta, ieleweke ya kuwa sheria na amri hiyo ni batili. Kwa kuwa inakwenda kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya uhuru wa kuabudu.

Hoja ya uzalendo au serikali isiyo na dini naamini ni tafsiri ya tabaka la sasa la watendaji chini ya Chama Cha Mapinduzi tuliowaamini watekeleza mahitaji na matakwa yetu sisi wananchi tuliowachagua. Kinyume chake wameamua kutafsiri dhana hizi kwa matakwa na imani walizonazo ambazo zinatuathiri sisi na haziathiri imani zao binafsi.

Kwa miaka mingi sasa JKT imeamua kuminya wenye dini wasipractice uhuru wao wa kuabudu unalindwa na katiba.

Kwani JKT ni moja ya taasisi za umma inayoendeshwa kwa maamuzi binafsi ya wafanya maamuzi. Jambo hili halikubaliki.

Tunaitaja jamii, vyama vya siasa, kijamii na taasisi za dini kupaza sauti na kuwatetea mabinti hawa ambao hawana wa kuwasemea kutokana na sababu za kihistoria ambapo waislam ni asilimia isiyozidi 10 ya wafanya maamuzi.

Kama ambavyo vijana wa kike wana uhuru wa kuvaa nguo zenye stara mashuleni kwanini katika mafunzo ya JKT wasiwe na uhuru huo.

Ni katiba,
Ni serikali au sheria za chuo inayolazimisha mabinti wanaohitaji mafunzo ya jkt na wakati huo huo kuhitaji stara lkn huvuliwa stara zao kwa amri binafsi ya viongozi.

Iwapo ni masharti ya serikali (JKT) hawaoni wanaisigina Katiba inayotoa uhuru wa kuabudu na kwamba kuvaa uniform maalum vitakazolinda stara zao ni haki ya kimsingi kama ambavyo nchi zenye kufata demokrasia na serikali isiyo na dini tena zenye waislam wachache wanavyowaruhusu kutekeleza ibada hii ya mavazi kwa kuweka dressing code kwa wanaotaka kuvaa hivyo.

Tukitafakari tutagundua kuwalazimisha mabinti kuvaa vibukta si matakwa ya kisheria bali ni matamanio tu ya watendaji wa serikali wanavyotafsiri mambo sawa na imani zao binafsi.

Kuwavua mavazi ya stara mabinti zetu si sehemu ya Uzalendo? Hakuna manufaa yeyote zaidi ya matamanio ya nafsi.

Na huenda ni takwa na tamani la mtendaji mmoja mvuta bangi anatumia nafasi hiyo kutafuta hamu ya kuwafanya wake zao mabinti hao.

Tunawataka Watanzania waelewe hili, uhuru wa kuabudu ni misingi ya haki za binadamu.

Kwanini watz tuko wa ajabu sana linapokuja suala la kuvumiliana values zetu.

Kwanini kama watz wenye imani tofauti tulazimishwe kufata imani na values za kipagani (Ujamaa).

Kwani maandiko wanasema ujamaa ni imani.

Na kwamba Ujamaa ni upagani.

Kwanini serikali iwe na imani ambayo iwe ni lazima kwa wenye imani nyingine kuifata.

Mataifa ya kidemokrasia yanayojipambanua kusimamia haki za binadamu na uhuru wa kuabudu wameweka
Mwongozo kama huu kwa askari na walioko mafunzoni kufata ili waendelee kuwa na dini zao, wapate kuabudu na wakati huo huo wanaitumikia serikali

Hatutaki jeshi la kidini, tunataka jeshi lenye kufata katiba na kuzingatia haki na uhuru wa kuabudu huko makambini.

Kuvaa uniform zenye stara ni kuabudu kwa mabinti wa kiislam.

Nchi zinazojipambanua ni za kidemokrasia zenye serikali isiyo na dini wanalinda wenye dini. Mf Marekani, UK, SA na hata majirani zetu Malawi. Tz wenye waislam wengi kwanini wanadhibitiwa na kubaguliwa.

Kama ni kwa kutokujua basi tunaweza kujifunza kupitia waraka huu.

View: https://youtu.be/WYAUNij6meo?si=KF6MURiFhUFat7Xx

HII NCHI BADO INA MFUMO KRISTO NA WATUMISHI WENGI WA KIISLAMU KATIKA VIKOSI VYA ULINZI HAWARUHUSIWI KUVAAA HIJABU WAKATI WAKIWA KAZINI
 
Hawajielewi hawa, eti sisi ni wengi kuliko sijui wengine. Lkn ukiangalia wanachoweza kufanya ni kuongeza umasikini nchini. Maana wengi wao hawatumii family planning, hivyo huzaa idadi kubwa ya watoto wasio kuwa na uwezo wa kuwatunza. Matokeo yake tunakuwa na masikini wengi. Hilo linaonekana kwenye mikoa ambayo wame dominate wenyewe.
CC: kahtaan
Wagalatia shida yenu kubwa ni kutokukubali kuwa mna matatizo ya nguvu za kiume.
Sasa mnaona wivu sana kuona waislamu wana watoto wengi hali ya kuwa nyie mnazidi kupotea.

Jukumu la kulea wewe unajidanganya kuwa liko kwako lkn hizo ni akili mbovu.
Wangapi wazazi wao wanafariki bado watoto na wakakua na kuwa viongozi wakubwa nchini? Au kuwa matajiri wakubwa?

Acheni fikra za kijinga na wivu usio na faida.
Oeni mapema . Na wale wenye changamoto za nguvu za kiume nendeni mkatafute misaada ya tiba.

Ndio maana Kanisa linapigia promo USHOGA manake kuzaa hamuwezi tena.

Ovyo kabisa
 
Hawa akina kahtaan ni shidaa. Wenyewe badala ya kutoa elimu (education) ya dini, wanahimiza itikadi (ideology). Matokeo yake hawatumii uwezo wao wa kufikiri vizuri.
Wewe kumuona dadako anatembea chupi nje ni jambo la kawaida kabisa
Lkn sisi waislamu upumbavu huo marufuku.
KANISA KUU LIMESEMA WAZI KUWA USHOGA NI KITU CHA KAWAIDA lkn wote mmekaa kimya .
Yaani mtoto wa kike kuvaa nguo za kustiri mwili wake mnakataa lkn Mwanamme kuntafuna mwanamme mwenzake MNASAPOTI.

Nyie mna Laana ya asili.
Endeleeni kupakuana.
Ila waacheni wanawake wetu wavae mavazi ya heshma.
Mkitaka kuona makalio na mapaja ya wanawake tazameni ya dada zenu na watoto wenu wa kike.
 
Wagalatia Wakiona Waislamu wanapigania Haki ya Watoto wao wa kike KUVAA NGUO NDEFU NA KISITIRI MIILI YAO Wanapiga kelele na kutaka wavae vimini na g string km wanavyovaa wao makanisani.
Lkn Majuzi kati hapa PAPA KATOA RUKSA KWA NDOA ZA JINSIA MOJA Wagalatia Wote kimya!!
Yaani wao Joseph kumtafuna Peter ni kitu sahihu lkn Mwajuma na Mariam kuvaa nguo ndefu na kuufunika mwili wake wote anapokuwa nje ya nyumba NI SHIDA KUBWA KWAO.

MOTO WA JAHANNAM UNAWASUBIRI.
Endeleeni kufunga ndoa za jinsia moja na kupiga vita waungwana. JAHANNAM HAIPOKEI RUSHWA km hao mafisadi mnao wasikiliza kila weekend.
Ati ukiwapelekea Elf 10 wanakusamehe madhambi ya wiki nzima.

Akili kuambiwa ni shida sana.
 
Jeshi Sheria ni Moja hakuna chá uislamu,nendeni msikitini jeshini sio msikitini
 
Wagalatia Wakiona Waislamu wanapigania Haki ya Watoto wao wa kike KUVAA NGUO NDEFU NA KISITIRI MIILI YAO Wanapiga kelele na kutaka wavae vimini na g string km wanavyovaa wao makanisani.
Lkn Majuzi kati hapa PAPA KATOA RUKSA KWA NDOA ZA JINSIA MOJA Wagalatia Wote kimya!!
Yaani wao Joseph kumtafuna Peter ni kitu sahihu lkn Mwajuma na Mariam kuvaa nguo ndefu na kuufunika mwili wake wote anapokuwa nje ya nyumba NI SHIDA KUBWA KWAO.

MOTO WA JAHANNAM UNAWASUBIRI.
Endeleeni kufunga ndoa za jinsia moja na kupiga vita waungwana. JAHANNAM HAIPOKEI RUSHWA km hao mafisadi mnao wasikiliza kila weekend.
Ati ukiwapelekea Elf 10 wanakusamehe madhambi ya wiki nzima.

Akili kuambiwa ni shida sana.
Alikupa wewe ruksa labda
Jeshini sio msikitini
 
Wewe kumuona dadako anatembea chupi nje ni jambo la kawaida kabisa
Lkn sisi waislamu upumbavu huo marufuku.
KANISA KUU LIMESEMA WAZI KUWA USHOGA NI KITU CHA KAWAIDA lkn wote mmekaa kimya .
Yaani mtoto wa kike kuvaa nguo za kustiri mwili wake mnakataa lkn Mwanamme kuntafuna mwanamme mwenzake MNASAPOTI.

Nyie mna Laana ya asili.
Endeleeni kupakuana.
Ila waacheni wanawake wetu wavae mavazi ya heshma.
Mkitaka kuona makalio na mapaja ya wanawake tazameni ya dada zenu na watoto wenu wa kike.
Jeshini sio msikitini
 
Alikupa wewe ruksa labda
Jeshini sio msikitini
Jeshi halijakataza mwanamke kufunika nywele zake. Tatizo wagalatia wana chuki binafsi na wanawake wote wanaopenda kuvaa mavazi ya kistaarabu.

Ndio maana weekend makanisani utaona vimini na kalio zinaonekana kila sehemu.
Na Kushabikia Ushoga ndio fashion
Kwa wagalatia huo ndio ustaarabu.
 
Wewe kumuona dadako anatembea chupi nje ni jambo la kawaida kabisa
Lkn sisi waislamu upumbavu huo marufuku.
KANISA KUU LIMESEMA WAZI KUWA USHOGA NI KITU CHA KAWAIDA lkn wote mmekaa kimya .
Yaani mtoto wa kike kuvaa nguo za kustiri mwili wake mnakataa lkn Mwanamme kuntafuna mwanamme mwenzake MNASAPOTI.

Nyie mna Laana ya asili.
Endeleeni kupakuana.
Ila waacheni wanawake wetu wavae mavazi ya heshma.
Mkitaka kuona makalio na mapaja ya wanawake tazameni ya dada zenu na watoto wenu wa kike.

Aha haa haaaa
Nyie mnadanganywa na kuvaa mavazi ya kiarabu. Wakati mioyo yenu imeoza. Mngekuwa hamshiriki dhambi za wengine wasio wafuasi wa utamaduni wa waarabu ninge shawishika. Lakini sasa kila mauchafu yalioko duniani mnaogelea tu. Nyie mmejiongeza mpaka ugaidi.
 
Sasa kipi ulichoandika hapa ambacho bwana zenu wazungu hawajakisema?
We Muha wa kigoma kila akisemacho mzungu na wewe unabeba mazima
Mpk ushoga unatetea.

Vita KUU ya kwanza ya dunia kaanzisha muislamu?
Vita KUU ya pili ya Dunia kaanzisha Muislamu?
Hitler alikuwa MKATOLIKI SAFI na alitamka wazi anafanya kazi ya Dini yake.
Mao wa China alikuwa Muislamu?
Taja Vita yyt ya kuua watu kwenye nchi yao kaanzisha muislamu.

Makafiri akili mbovu na kusoma hamtaki.

Moto wa Jahannam ndio makazi yenu
 
Jeshi halijakataza mwanamke kufunika nywele zake. Tatizo wagalatia wana chuki binafsi na wanawake wote wanaopenda kuvaa mavazi ya kistaarabu.

Ndio maana weekend makanisani utaona vimini na kalio zinaonekana kila sehemu.
Na Kushabikia Ushoga ndio fashion
Kwa wagalatia huo ndio ustaarabu.
Jeshini ni upara nywele funika kwa mmeo
 
Jeshi halijakataza mwanamke kufunika nywele zake. Tatizo wagalatia wana chuki binafsi na wanawake wote wanaopenda kuvaa mavazi ya kistaarabu.

Ndio maana weekend makanisani utaona vimini na kalio zinaonekana kila sehemu.
Na Kushabikia Ushoga ndio fashion
Kwa wagalatia huo ndio ustaarabu.
Ushoga upo maeneo yenye waislamu hasa Zanzibar,Mombasa, Tanga
Réjean ile skendo ya askari WA Zanzibar matukio kibao Zanzibar ni ulawiti n'a ushoga
 
Sasa kipi ulichoandika hapa ambacho bwana zenu wazungu hawajakisema?
We Muha wa kigoma kila akisemacho mzungu na wewe unabeba mazima
Mpk ushoga unatetea.

Vita KUU ya kwanza ya dunia kaanzisha muislamu?
Vita KUU ya pili ya Dunia kaanzisha Muislamu?
Hitler alikuwa MKATOLIKI SAFI na alitamka wazi anafanya kazi ya Dini yake.
Mao wa China alikuwa Muislamu?
Taja Vita yyt ya kuua watu kwenye nchi yao kaanzisha muislamu.

Makafiri akili mbovu na kusoma hamtaki.

Moto wa Jahannam ndio makazi yenu
Ushoga umeshamiri Zanzibar, Tanga, Mombasa kwenye swala Tano
Rejea skendo ya askari WA Zanzibar matukio kibao Zanzibar ni ulawiti n'a ushoga makafiri WAkubwa
 
Hezbollah,Al Isis,Al Qaeda,ni vikundi Vya Nini? Vya kula urojo?
 
Hezbollah,Al Isis,Al Qaeda,ni vikundi Vya Nini? Vya kula urojo?
Kuropoka na kukariri km kasuku ni sifa za mlevi na akili kuambiwa.
Someni japo kwenye Google mtapata ufahamu japo kidogo.

Hivyo vikundi ulivyotaja hapo vyote vimeanzishwa na hao hao makafiri wenzenu wa Kizungu na Vimeua waislamu wengi kuliko wafuasi wa imani zingine zote.
Na hilo ndio lengo la makafiri. Kuanzisha makundi na kuyapatia majina ya kiarabu kuyapatia silaha na pesa ili wamalize Uislamu.
Na mpk leo hii wamefeli vibaya.

Tatizo kubwa sana la makafiri wa kiafrica ni kukosa elimu tu. Yaani mgesoma kidogo tu wote nyie mngekuwa waislamu.
 
Ushoga umeshamiri Zanzibar, Tanga, Mombasa kwenye swala Tano
Rejea skendo ya askari WA Zanzibar matukio kibao Zanzibar ni ulawiti n'a ushoga makafiri WAkubwa
Wewe unatoa maneno ya Rusha roho na mipasho.
Mimi nakupa data mubashara.

SASA NA WEWE Nionyeshe ushahidi kuwa Wazanzibari au watu wa Tanga wamehalalisha Ushoga au kuutangaza kwenye vyombo vya habari KAMA PAPA. KIONGOZI MKUU WA WAKRISTO DUNIANI.

Yaani km wewe unapinga USHOGA basi SIO MKRISTO WA KWELI manake KIONGOZI WENU katoa amri.
Na wewe kwa sababu ni Kondoo LAZIMA UFUATE tena kwa adabu zote.
 
Kuenda jeshini hulazimishwi mzazi au mtoto kama unaona hakuna maadili mpeleke mwanao kwenye shughuli zingine
Mipango yako sio sera za taifa
Utulivu ni jambo la busara.
 
Ushoga upo maeneo yenye waislamu hasa Zanzibar,Mombasa, Tanga
Réjean ile skendo ya askari WA Zanzibar matukio kibao Zanzibar ni ulawiti n'a ushoga
Skendo? 🤣🤣🤣

Unaleta mipasho kwenye jukwaa la wasomi!
Skendo kamuhadithie mumeo. Hapa tunataka vitu vya UHAKIKA kama Hivi
👇

View: https://youtu.be/FwTtXdBPo0s?si=0PLn3tY16WR8Qgdd

We ukija hapa JF jipange
Hapa sio kwenye zile ngoma zenu za mchiriku. ZA kukata mauno mtaani na kurusha mipasho.

Zanzibar ukila mchana mwezi wa Toba unakula bakora hadharani . Hio ndio katiba YA ZANZIBAR.

Huo USHOGA MNAPELEKA NYIE MNAOLIPWA NA WAZUNGU KUOANA WATU WA JINSIA MOJA kisha mnapakazia waungwana.

We ukija Zanzibar tunakata hilo govi bila ganzi.
 
Jeshini ni upara nywele funika kwa mmeoWe lzm utakuwa unasumbuliwa na uke wenza.
Ati jeshini kipara . Yaani unaishi Tz lkn hujawahi kumuona AMIRI JESHI MKUU WA TANZANIA AKIWA KWENYE MAGWANDA YAKE YA KIJESHI
teh teh teh

We najua unasumbuliwa ukewenza

Hizo ni changamoto za kawaida hasa kwa kina mama watu wazima km wewe.
Mume akishaona valve imekuwa over size inabidi alete chuma kipya.
Vumilia tu usije kukosa wa kukutawaza kinyesi ukiishiwa nguvu kabisa na ukakosa wa kukuzika bi mkubwa.

Tulia subiri siku yako ikifika ukahifadhiwe .
 
Naomba mdau anayeweza kuiweka ile picha ya mlinzi wa mama yetu, atuwekee kwenye huu uzi ili tupate maoni mbadala. Je, kilichotokea ni sahihi? Au haiendani na huu uzi?
 
Back
Top Bottom