Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

[emoji15][emoji15][emoji15] aiseee.. mbona wanitisha sasa. Mbona si jambo la kawaida hili. Mbona kama unaokumbana nao wanafanana hizi mambo despite wewe giving ur all? I think kuna shida mahali aisee... na wewe hukuogopa haya mazingira unayomwona nayo na hizo trips zakw zote? How could u risk all that?

Deni ulijalisort vipi?
Ila sometimes we women tunapelekeaga wanaume kuwa this bad aisee... mimi tuu nimepata hasiraaa hv. Wewe ilikuaje[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
But unajua kitu mbaya ni kupretend namna sivyo ndivyo. Mimi sina hiyo haiba. Nipo real but very private..... Katika jambo sipendi ni mtu kuingia deep katika maisha yangu bila kufuata ishara au taa za usalama barabarani.

Nikiwa comfortable na wewe utanijua kiundani ukiniingia vibaya sitakupa access ya taarifa.

Kuhusu kujishow off sinaga hiyo tabia maana mwisho wa siku inagharimu. Unasema upo vizuri una kipato cha milioni kumi kwa mwezi, why watu wasikufuate na shida in box kukuomba laki tano au milioni, ukichomoa umechafuka, ukikubali unaumia wewe....

Me nipo real.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaboa hata kumshirikisha dili za maendeleo huwezi coz maisha yake 90% ni fake. Anakwambia saivi nimepata appartment nzuri kumbe anaishi single room tu.

Kama wapo humu jamani tuambieni lengo lenu hasa huwa nini.??
Na kweli wafunguke tuu,uzur wa hii platform unafunguka hamna ataekujua so na ss tunakuwa tumeelewa,nna visa vingi hata kuhadithia naona uvivu man
 
Kwanza hawana nguvu za kike. Ukipiga mechi usiku mmoja kesho haendi hata kazini.Wamekuwa wavivu kitandani hata utafutaji. Uongo mwingi.

Enzi hizo unapiga game usiku kucha asubuhi mwanamke anaenda kukata kuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa. Mwanamke ana ujauzito kumi alfajiri ameamka.

Siku hizi ujauzito ni kama ugonjwa mahututi.... Wanavyojivuta.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hana address ya makazi kudadadeki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha si ukichape makofi huko ndani aisee,kuna madogo fulani wa kiume nilikuwa naishi nao maskan ndg wa mshikaji wangu mmoja hivi,kuna mmoja alikuwa na tabia kike full mpaka siku nikamwambia ndg yake,dogo alikuwa na vikorombwezo vyote vya kujichubua,ila nashukuru na mm nilikuwa natumia nafasi yangu kumkemea kama alikuwa anamaindi atajua mwenyewe ila kwa ss naona yupo fresh hana zile tabia tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona unataka nifunguliwe uzi wa chuki binafsi..... Me sinakitu personal na wanawake by the way wanawake ni majembe yangu sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena hiyo ni back in a day. Ni mtihani sana kuwa karibu na mtu wa hivyo kazi kukuagiza vitu..... Halafu hana hata ile huruma ya huyu mtu simjui, financially sijui anabudget mambo yake vipi au ana kipato gani yeye anafanya kama kukukomoa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaja kuna jamaa hapo juu kasema ndege wafananao?!,kwanin yy tuu ila teseme mabinti wenye tabia za hivyo wapo baadhi hata ww unaweza kukutana nae,umdhaniaye kumbe sio man
 
Mimi mimekuelewa sana Mkuu, na kweli sikuhizi hao wapo wengi sana na hata Washkaji pia wapo wenye tabia hiyo

Mimi Mara nyingi wananiambia unajua nalima ekari 10 za tikiti maji au sijui zao gani

Yaani wengi shughuli wanazofanya ni kilimo au kuagiza mzigo China kumbe hakuna kitu, sound tu.

Yaani hao wanakuambia hivyo ili kama ni kibomu wakupige kibomu kikubwa haswa.
 
Hiyo nayo ni changamoto kiukweli.
Majanga yalikuwa hivi..... Hiyo taa hapo ilinitoka tshs 90,000/=.

Sasa nani anataka hasara za kipuuzi. Machale yakikucheza usiwe mwepesi kukubali.

Mara nyingine mwenye gari huwa anamuamini mwenye gari sababu wote wanajua uchungu wa kulinda mali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…