miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji15][emoji15][emoji15] aiseee.. mbona wanitisha sasa. Mbona si jambo la kawaida hili. Mbona kama unaokumbana nao wanafanana hizi mambo despite wewe giving ur all? I think kuna shida mahali aisee... na wewe hukuogopa haya mazingira unayomwona nayo na hizo trips zakw zote? How could u risk all that?Wengine wanakuwa wapo vizuri kweli ila hawana discipline ya pesa.
Mimi kuna kabinti nilisoma nako chuo. Kalikuwa kapo very smart, ila ndio kana wenge la bata na chuo hakaonekani hadi nyakati za mitihani au presentation. Unaweza kuongea nae muda huu yupo hapo chuo. Mtafute baade, ameshashika njia yupo njiani kuelekea Arusha,mara Dar, mara mwanza, yaani kama route utadhani sijui kitu gani.
Siku moja nakumbuka kalikula kwenye bata zake, kamevurugwa hakajui kasolve vipi huo msala. Akanijia na offer kuwa ataachia chumba chake (kizuri sana amepanga off campus) kina tv ndogo ya 32 inches, hometheatre ya lg, , kitanda na godoro, dressing table, kabati ya nguo, na kapeti zile za manyoya na kimeshalipiwa mwaka mzima....... Mtu ampe 2.5 milioni baadae akashusha hadi 2 milion.
Alikuwa desperate sana na pesa ile siku. Me nikamwambia, hebu tulia tulipe kwanza ada halafu mengine yatafuata. So makubaliano yakawa atanipa ufunguo wa chumba mimi nitashika, akatoa nguo zake tu na viatu vitu vingine vyote akaacha akahamia hostel za chuo na mwenzake maana alikuwa anahitaji kusoma kujiandaa na UE.
Nikaazima pesa kwa mshikaji baada ya kumpa hiyo settlement deal maana binti alitakiwa kulipa 1.1 milioni ya ada alipewa na mshua wake aliitafuna hakulipa hata mia ukiachia zile hela ndogo ndogo za usajili za awali.
So nikachukua kwa mwana na zangu nikamix tukamlipia nikampa payslip. Basi.....
Khaaaaaaaaaaah Ue inaisha bi badada amenyuti wala hanitafuti, namtafuta likizo kumkumbusha kuwa me natakiwa kusepa Dar tuje kuweka mambo sawa, ananiambia yupo Nairobi.
Ananiambia just nenda tu Dar ukirudi likizo tutaonana. Basi nikasepa. Kurudi likizo kama kawaida yake hana time ya kuonekana chuo. Huku na kule nakuja sikia amechukua nyumba sehemu nyingine na ameshanunua vitu vipya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nikasema hapa hamna mtu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Deni ulijalisort vipi?
Ila sometimes we women tunapelekeaga wanaume kuwa this bad aisee... mimi tuu nimepata hasiraaa hv. Wewe ilikuaje[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]