Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Kuna rafiki yangu aliambiwa mwakaa huu tuu kalima mpungu hekari za kutosha nikamwambia Jamaa kijana utasubiri huo mpunga mpka ukatakuwa Wali hutouona maishani mwako watoto wako watazeeka hawatauona huo mpungu
 
Nataka mkono wa kiume ukinugusa hadi utumbo unicheze cheze tumboni
But mbona hii mikono milaini ina raha yake tena nimeona wengi inawachanganya ndio maana hata sijutii..
 
Ila si ndo mnavyopenda jamani?

Jamii imatufanya tuwe waongo. Mmeshaweka this standard kwamba mwanamke anatakiwa kuwa hivyo na mkikutana nao wanawapanga kweli ili mvutiwe.
Labda hawa wanaume marioo wanaotegemea mwanamke awape chochote. Mwanaume anaejitambua kwake mwanamke ni mtu tegemezi, rafiki, mshirika, mpenzi, mwaminifu, mshauri, partner in crime, na mama watoto.
 
Dah hii ni kweli kabisa mi mwenyewe nina scenarios nyingi za vi binti vinajiona vijanja ni ulimbukeni unavisumbuaga sijui, njaa kali ila maneno sasa
Sasa ulimbukeni huwa unagharimu sana watu...
 
Bora lakini walipata akili ya maisha kidogo tofauti na kipindi hicho wanakuja stuka imeshakuwa toolate....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…