Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda hawa wanaume marioo wanaotegemea mwanamke awape chochote. Mwanaume anaejitambua kwake mwanamke ni mtu tegemezi, rafiki, mshirika, mpenzi, mwaminifu, mshauri, partner in crime, na mama watoto.Ila si ndo mnavyopenda jamani?
Jamii imatufanya tuwe waongo. Mmeshaweka this standard kwamba mwanamke anatakiwa kuwa hivyo na mkikutana nao wanawapanga kweli ili mvutiwe.
Kaidharau ka mbau kangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora lakini walipata akili ya maisha kidogo tofauti na kipindi hicho wanakuja stuka imeshakuwa toolate....Kweli JPM aliwatia adabu watanzania, kipindi cha JK wengi wadada walikuwa wanategemea waume za watu wenye pesa, wengi walikuwa nyumba ndogo , mzee baba alivyoingia michongo na wizi wote kwishinei, wadada wakawa Kama kuku waliofunguliwa kwenye Banda lao, nyumba ndogo zote zikaisha. Mambo ya uongo uongo yakaanza hili kusogeza maisha.