Thefirstborn
JF-Expert Member
- Feb 20, 2021
- 241
- 185
๐๐๐๐
Hahaha umekutana na mazombie au vampires wanyonya damu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha umekutana na mazombie au vampires wanyonya damu.
Inategemea na ninae mpa sio kwamba sijawahi au huwa siazimishi. Kuna siku nilimuachia mtu gari ikarudi imevunjwa taa ya nyuma na alikuwa anaendesha sijui ni dogo gani, muhusika akapotea na simu alikuwa haupokei.We jamaa inaonekana ni mtu wa kushikilia vitu vidogo vidogo pia una asili ya ubinafsi ndani yako. Be fair, mie mtu akihitaji gari yangu wala simuulizi unaenda wap wala nn.
Hata mimi nikija kumiliki gari, nitakuwa siulizi kabisaaa... I promiseWe jamaa inaonekana ni mtu wa kushikilia vitu vidogo vidogo pia una asili ya ubinafsi ndani yako. Be fair, mie mtu akihitaji gari yangu wala simuulizi unaenda wap wala nn.
Sijui kwann huwa wanakuwa waongo waongo. Me huwa sipendi mtu anitengenezee uongo aisee huwa napata hasira balaa. Maana anakuwa anakuletea hizo story halafu unakuta baadae anakupiga kirungu cha vocha ya buku.....Kuna watu wanaweza wasiuamini huu uzi mkuu .
Ila wanawake wa hivo wapo kabisa mjini mpaka unashangaa kwanini anakudanganya wakati uwezo wa kumsaidia bila huo uongo wake upo.
Mimi kuna huyo nae ni full mauongo afu hata pesa ya vocha inampiga chenga ila akikwambia miradi yake utamuogopa. Cha ajabu kumbe sio kwangu tu ni wengi anawapiga vizinga vya vocha afu baadae katika story story anawatajia miradi yake ya mamilioni. Sasa unajiuliza huyu ni mfanyabiashara mkubwa wa mchele hapa mjini kwa maneno yake analeta mpaka tani ya mchele kutoka mikoni.
Ni mfugaji mzuri na ana frem ya nguo hapa mjini(maneno yake hayo). Sijui ni miradi iliyo kichwani mwake tu maana ukitaka akuuzie hata kimoja anachodeal nacho anakupiga kiswahili. [emoji16][emoji16]
Daah dunia inaenda kasi sana, bora sisi wanaume target yetu inakuaga ni kupata papuch sasa wao sijui huwa wanatarget nini baada ya kujitapa na kujipa ufahari huo.
wanatia huruma kwa kweri.. Wengi wao hawakuzaliwa hivo bali dunia ndo imewatengeneza wakawa hivo.. Kama una uwezo unawasaidia tu.Huwa nawachora na kuwaonea huruma. Maana mwanamke kuwa muongo muongo aiseee ni kitu mbaya sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeongea inshu ya chuo umenikumbusha moja hivi
huyu dem nilikuatana nae kwenye harusi tukapiga story mbili tatu nima acquire namba ake ya sim
kipindi tupo harusini alinambia yupo advnc anaingia 4m 6 nikamuuliza comb anayo chukua aksem PCB bas katk kumuhoji masomo yanaendaj kwa kumuuliza baadhi ya masomo nikaona mtu kijasho topic zingine hajui anasm hiyo isha futwa nikampotezea lengo mm ni utelez tyr kaisha nihamisha
nimechukua nmba ake ilikua mwez wa 12 sikuwahi mtafuta km mwezi hv na sehem
feb akja nitafuta mwenyewe tukapiga story kumuuliza wap iyo ksema yupo chuo sikutaka kumkumbushia ya nyuma nikmuuliza upo chuo gani aksema sauti mwanza ohoo fresh bas koz gan apo unachukua ndipo nilipo choka
ansema yupo sauti anachukua Nursing sauti sasa nikamuuluza upo sauti hii ninayo ijua mm au aksem ndio hiyo sasa sikumlazia dam nikwambia sawa upo venue gan nije coz na mm nipo chuoni apa akanikwepa ety lecture kaingia atanitafuta kimyaa hakunijib kimy
mpaka leo
Nimekuelewa sana tu ila nilitaka kukuonyesha ulipojichanganya,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbuzi kabisa wewe.
Ila ipo hivi, sio kwamba hawa mabinti nina date nao. Nimesema miongoni mwa mabinti nimeshadate nao nilishamuona m'moja ana hii tabia. Lakini wengi wao ni wale wanawake nakutana nao katika social circles zangu huku mjini na mtaani.
So tabia hii naiona sana. Yaani its like mtu anajihami ili asionekane ana maisha ya ajabu au maisha ya kubahatisha.
Ni ile miss independent virus imefikia katika critical stage ya kumdhuru host.
Its okay kwa binti wa secondary, advanced au chuo kuwa na imaginary day dreaming attitude kwa watu wengine ila sio kwa mtu ambaye amemaliza chuo yupo mtaani, hana mahusiano serious wala hayupo katika ndoa. Hii ni hatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna m'moja huyo, nilikutana nae kwenye stationary naona anasaidia kazi. Nikamuomba namba akanijibu mapema sana (ila usoni nikamuona tu huyu anajihami). Sikubembeleza nikakausha.Wazee wa kusikilizia michongo[emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐๐Habarini wadau. Naandika hii kitu hapa baada ya kukerwa na tabia za baadhi ya mabinti especially hawa wamjini ambao wameanza kurithi tabia zile walizokuwa nazo wanaume za "kuna hela na isikilizia" halafu baada ya dakika kumi utasikia "una elfu tano au kumi ya karibu hapo".
Ipo hivi, kuna wadada kadhaa nimenotice wanahii tabia katika mazungumzo kukuaminisha wao ni watu wa mipango mikubwa. Na hata wanavyojiweka ni as if ni watu muhimu sana hapa mjini but ukweli wa mambo ni wabangaizaji wasio na mbele wala nyuma.
Kuna m'moja ameshakuwa na tabia ya kunicheki kuniomba kuniazima gari akisema ana wageni sijui wanakuja kutoka nje wanahitaji usafiri watakaotumia wakiwa hapa mjini.
Nikamkata nikamwambia twende nitakupeleka safari yako. Nimekwenda mchukua yupo na wenzake wawili, wanasema wanaenda serena kufika hapo serena wanaangaliana yale macho ya tumeumbuka, mimi nikaona wananipotezea muda maana waliniweka zaidi ya nusu saa hapo kwenye kiti sehemu ya kusubiria kisha mwenzake nisie mjua anakuja niomba ufunguo kuwa anaomba aende pale posta ATM mara moja kisha aniletee, nikamwambia ngoja twende sote na mimi nilikuwa naenda huko, tukaenda kufika pale CRDB anatoa toa macho (sidhani kama hata alitoa hela alipoingia kwenye ATM mule). Nikamrejesha serena kisha nikampigia mwenzake nikawaaga nikawaambia nina dharula nitawareje, sikurudi tena.
Mwingine kila nikichekiana nae story zake ni "kuna jamaa tuna contract nae katika ile kampuni yangu, hapa ndio naangalia contract inakaribia kuisha ili nionane nae tukasaini mkataba mwingine" ukimuuliza mnadeal na nini katika kampuni yako, ooooh apartments kwa foreigners, tuna import na kuexport bidhaa etc, halafu hapo hapo anakupiga kibomu cha msosi. Au anaomba umnunulie soda tena anachagua yeye anataka soda gani.
Mwingine nilishapiga hadi mashine, shida ikaja baada ya kumleta maskani. Ni mwanamke ambaye hana impact ndani ya nyumba ukiachia kukuomba hela ndogo ndogo bila utaratibu as if mission yake ni kuhakikisha hauna hata mia mfukoni.
Ukiachia kulala hadi saa nne asubuhi kulala tu kitandani anachat na kupiga simu za kuongea na mashost zake na hakuna la maana wanaongea zaidi ya kupeana umbea wa juzi waliposafiri au bata sijui kumuongelea mtu gani, hawana mazungumzo ya maana.
Ila mtu huyu huyu ukiongea nae anaongelea kuhusu kufanya kazi katika NGO iliyomlipa milioni 2. 7 take home na imefungwa kipindi cha magufuri.
Mara akwambie anasomesha wadogo zake international schools, na anamhudumia mama yake mwenyewe. Mara akwambie sijui anataka ajiajiri anataka kufungua kampuni ya beauty and cosmetic ambayo ataiweka kule masaki au oysterbay na inalipa sana. Mara aseme yeye ni CEO haoni haja ya kuajiriwa.
Ila ukitoka kwenda dukani nje, utaona text kutoka kwake imeingia beib, ukirudi niletee Cadbury bars mbili na maziwa ya asas au utasikia niletee sausages na apple juice ya ceres kubwa. Anaagiza hivi kwa confidence kabisa utadhani mimi ni babake.
Unakuta mpo kwenye foleni barabarani inapita vogue utasikia one day lazima nita own hii gari...... Nina rafiki yangu ana jaguar hii ya 2018 and she's only 25, yaani i must get there....
Sasa huwa nawatazama nasema hivi hawa ni kwamba hawaoni uhalisia wa maisha yao au ni vipi. Watu wana maisha ya kubangaiza, wanatoka katika very common families za kitanzania ambazo wazazi ni wastaafu na hawana hela.
Why mtu usiwe humble na kuishi according to your level requirements wakati unaplan kuwa mkubwa baadae....?!
Why uishi maisha ya kufake fake na uongo mwingi ile hali hauna uwezo na ni tegemezi by 150%?!
Kuna haja gani ya kunidanganya kuwa kuna report naandika mara sijui kuna email muhimu nataka nijibu hapa.... Au unanipigia simu au kunitext whatsapp baada ya kuniona online saa saba usiku halafu unanifix kuwa Atm imemeza card na hauna balance muda huo unaomba nikuazime 50,000 utanirejeshea asubuhi, halafu asubuhi ikifika unapiga kimya naona tu upo online unapost status unakaa kimya wiki, hatimae mwezi na miezi?!
Au unaniazima laptop unasema kuna a very serious work unahitaji kutype (hata haujulikani unajishughulisha na biashara gani mjini). Kisha nakupa tu bila ya kukuuliza swali lolote zaidi ya utaniletea lini, cha ajabu dakika chache baadae baada ya kukupa laptop unanitext kuniuliza file ya movies ipo upande gani?! Unakaa na laptop yangu zaidi ya wiki hadi naanza kuiulizia na hapo bado utanambia sijui kuna mgeni kaja anacheki movie, anamalizia utaniletea!
Why mnakuwa waongo waongo watoto wa kike?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kote umekosa.... Sijawahi kuishi hayo maeneo maisha yote.Utakuwa unaishi sinza au kindondoni
Ha ha ha ha hadi siku mtu akuazime gari yako halafu achelewe kukurejeshea atakapokupigia simu akwambie bro, naomba tuzungumze, ndipo utaelewa....Hata mimi nikija kumiliki gari, nitakuwa siulizi kabisaaa... I promise
Me huwa nakausha apige porojo zake kisha nampatia anachotaka kama kipo karibu...wanatia huruma kwa kweri.. Wengi wao hawakuzaliwa hivo bali dunia ndo imewatengeneza wakawa hivo.. Kama una uwezo unawasaidia tu.
Unamwambia mtu tutoke out anakuletea story kuwa anavijua viwanja kweli kweli hapa Dar na hakuna sehemu hajawahi kwenda.Nimekuelewa sana tu ila nilitaka kukuonyesha ulipojichanganya,
Hao ndo wanaitwa maslayqueen, kiufupi wengi wa kizazi chetu wanapenda kuishi maisha hayo ya maigizo ama kujikweza ili aonwe na jamii, uhuni mwingi na kwa mtoto wa kike kuwa na tabia hizo kiukweli haipendezi kabisa unakuwa kituko na kioja mbele ya jamii
Mzee hao ni kunguru wa dar๐๐๐๐ hapo Hana kazi Wala ramani mjini, kaona gari akajua uko vema sasa shobo Kama zote๐๐Kuna m'moja huyo, nilikutana nae kwenye stationary naona anasaidia kazi. Nikamuomba namba akanijibu mapema sana (ila usoni nikamuona tu huyu anajihami). Sikubembeleza nikakausha.
Kuna siku tukakutana nipo na gari ya rafiki yangu (harrier makalio ya nyani) nimekwenda nayo sokoni. Kuniona macho yakamtoka. Muda naondoka baada ya kununua vitu namuona ananipungia mkono. Nikampungia back kawaida tu nikaendelea na ratiba zangu.
Baada ya siku kadhaa at the same stationary, akaniona akaja haraka sana. Kufika akachukua simu yangu (kama utani hivi) kuishika inadai password. Akaniomba niweke password. Nikaweka akaweka namba zake akajipigia akanirejeshea simu yangu.
Picha ndio likaanza, akanitext usiku ule ule. Tukaanza kuchat. Huku na kule akaanza sasa story za kuonekana yeye yupo vema. Mara ananiambia ile stationary ni ya kwake yule ni mfanya kazi wake.
Mara ananiambia sijui hapa nasoma report ya biashara zangu, namuuliza biashara gani anahamisha magoli taratibu utasikia, "acha tu yaani biashara ni nyingi kwakweli, anyways leta story".
Hapo hapo mara aseme ana mambo mengi sana kichwani hadi anatamani kulewa ili apoteze mawazo, nimtoe out..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namuuliza mambo gani yanakuzonga. Oooh wazazi wangu unajua wamefariki, sisi kwetu tupo watatu tu, sasa tumeachiwa nyumba zipo huko mbezi Beach, kijitonyama na tabata, mimi ndio nasimamia. Sasa sijazunguka kufanya ukaguzi.
Namuuliza wewe unaishi wapi kwan kwa sasa, ooooh nakaa tegeta. Kuna siku namtext upo wapi, anasema nipo tegeta, namuuliza upo home, anajibu ndio, nikamwambia nielekeze nakuja kukusalimia nipite njia gani, anaanza kuhamisha magoli, aaaah upo njiani unakuja tegeta au upo tegeta kabisa,namjibu nipo tegeta hapa wewe upo wapi, aaaah sawa ngoja basi nikupigie baada ya dakika 1 maana simu yangu inazima chaji ipo betry low, ngoja niichomeke kwenye chaji isizime...... kisha nikuelekeze.
Kubabake kwan alipiga tena.... Nikapiga simu kimya haiiti..... Nilicheka balaa siku ile.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hili la kuazimishana magari nakuunga mkono mi siwezi kugawa gari langu hivyo, hata useme unaendea mbinguni sitoi gari, nikikuhurumia sana nitakupeleka unakotaka,Ha ha ha ha hadi siku mtu akuazime gari yako halafu achelewe kukurejeshea atakapokupigia simu akwambie bro, naomba tuzungumze, ndipo utaelewa....
Gari sio pasi kusema ikiharibika au ikizingua utatoa 45,000 ununue nyingine.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Man who u been been dating?Habarini wadau. Naandika hii kitu hapa baada ya kukerwa na tabia za baadhi ya mabinti especially hawa wamjini ambao wameanza kurithi tabia zile walizokuwa nazo wanaume za "kuna hela na isikilizia" halafu baada ya dakika kumi utasikia "una elfu tano au kumi ya karibu hapo".