Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Mzee hili swala tuliangalie in a positive way sawa ? na kama in a positive way kwa namba moja au nyingine inabid tujenge na sio kubomoa na ili tujenge me ntaanza kukulaumu wewe mkuu, why associate yourself na watu wa design hiyo hiyo tu ? itakuja kukucost mkuu, you seem like a good person with a good heart, why are all these stupid girls all over you ? kwanini usiwakatae ? mbona wanawake wenye mipango mizuri trustworthy na loyal wako wengi sana ? Mkuu jitoe kwene zone ya fake girls, yan tena kama hujaoa there is a posibilty mkeo akawa kwene circle hiyo hiyo which means baadae itakuja kukukost, utaoa mwanamke zombie, hiyo circle ikatilie mbali mkuu kama unawakaza wakaze then wakatae, watakucost pakubwa siku moja utakuja kushangaa sababu labda sio wewe tu wanakufanyia michongo kama hiyo mpo wengi na watakuja kuwavuruga mshangae...I hope you will learn something out of this writing...
 
Akuna wadada waongo Kama wa Chuo ,Q net ,slay queen wa Instagram utasikia I'm C.E.O of my own life
Kuna kidemu nilikikuta club kinanambia kinasoma Chuo , ajui hata Kuna degree ya comp science/IT
 
Ma slay Queen

Kipindi niko chuo kuna mdada wa makamo ana mtoto nilikuwa namtafuna halafu nampa chake alikuwa kanizidi umri wakati ule Nina early 20s ye Ana late 30s

Alinidanganya mengi nyumba anayokaa ni kwao baadae nikagundua amepanga hapo maana kuna mwanangu alipanga hapo anapokaa

Alishawahi niambia ana saloon zake kumbe hamna kitu kaajiriwa tu
 
Vinapenda kuishi maisha ya maigizo sana....

Kuna kimoja niliishi nacho, tabu tupu kila chakula nnachoamua tule analalamika, " eeh jamani ugali na samaki, eeh jamani viazi, eeeh jamani mihogo, kuna siku nikavurugika nikamuuliza hivi kwenu familia mnakulaga pizza, chips kuku?? Kikajibu hamna nakula tu kwasababu ndio vilivyopo.... nikakaambia good, na kwangu unakula kilichopo ukipata kwako utakula unachopenda.

Kakikaa story ni sijui nimeenda mall gani, sijui mlimani city bla bla wakati mi nakajua kabisa ni katoto ka mkulima... Ovyo sana.
Bora ulivomuuliza,hakuna kulea ujinga mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee hao ni kunguru wa dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo Hana kazi Wala ramani mjini, kaona gari akajua uko vema sasa shobo Kama zote[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hawa ndio huwa wanaambulia mimba za wanaume za watu wanaachwa solemba. Mimi kwanza binti akishakuwa above 23 years halafu hana ramani ya kueleweka ya maisha, haueleweki anaishi na nani, anapata wapi matumizi yake, analala wapi huwa nakaa nae mguu pande kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi tabia ya kuazimana magari ni uswahili sana.

Ila pia nawe unakabaaa, hadi ukawekwa nusu saa nzima....yaani hadi kwenye ATM ukaenda ukashindwa kutoa hata buku ya bodaboda, acha unaa
Sasa hiyo buku ningempa still angeikwepa aseme nimpe ufunguo aende na gari. I doubt hata kama ana leseni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushajiuliza kwann unakutana na wanawake wa aina hiyo, maana wanawake wasio wa aina hiyo ni wengi pia boss.
Hawa si wanawake ambao ni target yangu bali natokea kuwaona ndio nawazungumzia hapa........sasa nikaona nishare nanyi muone changamoto ya hawa viumbe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama na wanawake wamefikia hatua hyo basi tutegemee kupata kzazi cha hovyo haswa,ila dar sio mahali pazur pa kulelea familia,uongo mwing sana
Hawa wengi wao me naona wanaelekea kubaya sana maisha yao kwa baadae. Sababu kwa maisha ya uongo hivi lazima wavutie wanaume matapeli ambao wataishia kuzinguana nao siku za mbeleni.

Maana unajua mtu anajipresent kuwa yupo vema hadi unaingia king ila unakuja stuka ukifika kwenye maswala ya hela utashangaa ghafla wewe unakuwa ndio uko vizuri yeye ataanza visingizio....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma slay Queen

Kipindi niko chuo kuna mdada wa makamo ana mtoto nilikuwa namtafuna halafu nampa chake alikuwa kanizidi umri wakati ule Nina early 20s ye Ana late 30s

Alinidanganya mengi nyumba anayokaa ni kwao baadae nikagundua amepanga hapo maana kuna mwanangu alipanga hapo anapokaa

Alishawahi niambia ana saloon zake kumbe hamna kitu kaajiriwa tu
Sasa unaona wa umri kama huu tayari kutokana na tabia zake za uongo uongo hawezi ishi na mtu, anaishia kubangaiza na kila mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom