Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
- Thread starter
- #81
Actually mkuu sipo katika hiyo circle, ni watu ambao nakutana nao by chance. Inapotokea nimekutana nao huwa ninawabaini haraka sana na kuwajua..... Maana huwa zengwe zao watajizungusha atakwambia kila aina ya story ila mziki utakuja kwenye hela na matumizi wanakuwa watupu.Mzee hili swala tuliangalie in a positive way sawa ? na kama in a positive way kwa namba moja au nyingine inabid tujenge na sio kubomoa na ili tujenge me ntaanza kukulaumu wewe mkuu, why associate yourself na watu wa design hiyo hiyo tu ? itakuja kukucost mkuu, you seem like a good person with a good heart, why are all these stupid girls all over you ? kwanini usiwakatae ? mbona wanawake wenye mipango mizuri trustworthy na loyal wako wengi sana ? Mkuu jitoe kwene zone ya fake girls, yan tena kama hujaoa there is a posibilty mkeo akawa kwene circle hiyo hiyo which means baadae itakuja kukukost, utaoa mwanamke zombie, hiyo circle ikatilie mbali mkuu kama unawakaza wakaze then wakatae, watakucost pakubwa siku moja utakuja kushangaa sababu labda sio wewe tu wanakufanyia michongo kama hiyo mpo wengi na watakuja kuwavuruga mshangae...I hope you will learn something out of this writing...
Haoni shida kukwambia umpatie laki atakurejeshea akitoka benki kulipia mzigo.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uliza sasa mzigo gani kama utapewa jibu.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app