Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili nusu😂😂 ila acha mkome maana tulio real mnatuonaga washamba na mnatutapeligi sana,Unamwambia mtu tutoke out anakuletea story kuwa anavijua viwanja kweli kweli hapa Dar na hakuna sehemu hajawahi kwenda.
Haya tukaenda KFC pale mlimani, naona mtu anatoa macho anasubiria kila jambo nimuongoze na ameshakwambia hayo ni maeneo yake ya kujidai na haelewi hata pa kuanzia baada ya kufika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah sasa unakuwa unajiuliza huyu mtu kwann anidanganye mimi lakini....
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaboa hata kumshirikisha dili za maendeleo huwezi coz maisha yake 90% ni fake. Anakwambia saivi nimepata appartment nzuri kumbe anaishi single room tu.Sijui kwann huwa wanakuwa waongo waongo. Me huwa sipendi mtu anitengenezee uongo aisee huwa napata hasira balaa. Maana anakuwa anakuletea hizo story halafu unakuta baadae anakupiga kirungu cha vocha ya buku.....
Sasa unakuwa unajiuliza, huyu mtu anaefanya dili kubwa kama hizi anakosa hata 10,000 kwenye mobile money au kwenye account?! Hapo ndio huwa nakerekwa.
Mwingine utasikia, "unaweza kuntumia buku hapo kwenye mpesa yangu ninunue umeme maana umekatika halafu siwezi kutoka sasa hivi kwenda kwenye ATM (as if hajui siku hizi kuna huduma ya kuvuta hela kutoka bank kwa sim au hata kununua umeme kwa sim kupitia account ya bank).
Sasa huwa nakerekewa na yale maigizo nakuwa naona sasa huyu mtu why nimekuwa nae karibu na kuzoeana nae.... Maana sikuwa na matarajio kuwa yupo hivi.......
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo Ni maandalizi ya kuwachuna parefu,Inaboa hata kumshirikisha dili za maendeleo huwezi coz maisha yake 90% ni fake. Anakwambia saivi nimepata appartment nzuri kumbe anaishi single room tu.
Kama wapo humu jamani tuambieni lengo lenu hasa huwa nini.??
Na kweli. Sijui chuo kuna kozi za uongo wanatoa siku hizi maana vibinti vya chuo ni viongo balaa[emoji23][emoji23][emoji23]Hizo tabia zote ni za vibinti vya chuo....
Ha ha ha ha ha ha ha si unajua katika dating pool huwezi kosa masamaki yasiyolika..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, these morons that are not even 'wife material' kwa nn unahangaika nao?
Mwisho watakupiga hiyo ndinga mada si mrefu!
Daah lakini kwa mwanaume kujua kua unadanganywa kuhusu maendeleo ni kitu rahisi coz na sisi ni waongo wa hayo mavitu ila tu hawa ndugu zetu wanazidi uongo mpaka unaona huyu mtu ananipumzikia sasa.Hayo Ni maandalizi ya kuwachuna parefu,
Kuwa real kuna faida Sana kwa mwanamke katika mahusiano, Basi tu hawajui
Vinapenda kuishi maisha ya maigizo sana....Na kweli. Sijui chuo kuna kozi za uongo wanatoa siku hizi maana vibinti vya chuo ni viongo balaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine Ni ili umuone ni akili kubwaz😂😂 muwahurumie tu maana wanaishi maisha magumu mno watu aina hiyoDaah lakini kwa mwanaume kujua kua unadanganywa kuhusu maendeleo ni kitu rahisi coz na sisi ni waongo wa hayo mavitu ila tu hawa ndugu zetu wanazidi uongo mpaka unaona huyu mtu ananipumzikia sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],,,Sasa anadhani alikuwa anakukomoa au?..fake life ni mbaya sanaKuna m'moja huyo, nilikutana nae kwenye stationary naona anasaidia kazi. Nikamuomba namba akanijibu mapema sana (ila usoni nikamuona tu huyu anajihami). Sikubembeleza nikakausha.
Kuna siku tukakutana nipo na gari ya rafiki yangu (harrier makalio ya nyani) nimekwenda nayo sokoni. Kuniona macho yakamtoka. Muda naondoka baada ya kununua vitu namuona ananipungia mkono. Nikampungia back kawaida tu nikaendelea na ratiba zangu.
Baada ya siku kadhaa at the same stationary, akaniona akaja haraka sana. Kufika akachukua simu yangu (kama utani hivi) kuishika inadai password. Akaniomba niweke password. Nikaweka akaweka namba zake akajipigia akanirejeshea simu yangu.
Picha ndio likaanza, akanitext usiku ule ule. Tukaanza kuchat. Huku na kule akaanza sasa story za kuonekana yeye yupo vema. Mara ananiambia ile stationary ni ya kwake yule ni mfanya kazi wake.
Mara ananiambia sijui hapa nasoma report ya biashara zangu, namuuliza biashara gani anahamisha magoli taratibu utasikia, "acha tu yaani biashara ni nyingi kwakweli, anyways leta story".
Hapo hapo mara aseme ana mambo mengi sana kichwani hadi anatamani kulewa ili apoteze mawazo, nimtoe out..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namuuliza mambo gani yanakuzonga. Oooh wazazi wangu unajua wamefariki, sisi kwetu tupo watatu tu, sasa tumeachiwa nyumba zipo huko mbezi Beach, kijitonyama na tabata, mimi ndio nasimamia. Sasa sijazunguka kufanya ukaguzi.
Namuuliza wewe unaishi wapi kwan kwa sasa, ooooh nakaa tegeta. Kuna siku namtext upo wapi, anasema nipo tegeta, namuuliza upo home, anajibu ndio, nikamwambia nielekeze nakuja kukusalimia nipite njia gani, anaanza kuhamisha magoli, aaaah upo njiani unakuja tegeta au upo tegeta kabisa,namjibu nipo tegeta hapa wewe upo wapi, aaaah sawa ngoja basi nikupigie baada ya dakika 1 maana simu yangu inazima chaji ipo betry low, ngoja niichomeke kwenye chaji isizime...... kisha nikuelekeze.
Kubabake kwan alipiga tena.... Nikapiga simu kimya haiiti..... Nilicheka balaa siku ile.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaa, wewe jamaa unaokutana nao Wana upungufu wa akili.Kuna m'moja huyo, nilikutana nae kwenye stationary naona anasaidia kazi. Nikamuomba namba akanijibu mapema sana (ila usoni nikamuona tu huyu anajihami). Sikubembeleza nikakausha.
Kuna siku tukakutana nipo na gari ya rafiki yangu (harrier makalio ya nyani) nimekwenda nayo sokoni. Kuniona macho yakamtoka. Muda naondoka baada ya kununua vitu namuona ananipungia mkono. Nikampungia back kawaida tu nikaendelea na ratiba zangu.
Baada ya siku kadhaa at the same stationary, akaniona akaja haraka sana. Kufika akachukua simu yangu (kama utani hivi) kuishika inadai password. Akaniomba niweke password. Nikaweka akaweka namba zake akajipigia akanirejeshea simu yangu.
Picha ndio likaanza, akanitext usiku ule ule. Tukaanza kuchat. Huku na kule akaanza sasa story za kuonekana yeye yupo vema. Mara ananiambia ile stationary ni ya kwake yule ni mfanya kazi wake.
Mara ananiambia sijui hapa nasoma report ya biashara zangu, namuuliza biashara gani anahamisha magoli taratibu utasikia, "acha tu yaani biashara ni nyingi kwakweli, anyways leta story".
Hapo hapo mara aseme ana mambo mengi sana kichwani hadi anatamani kulewa ili apoteze mawazo, nimtoe out..... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namuuliza mambo gani yanakuzonga. Oooh wazazi wangu unajua wamefariki, sisi kwetu tupo watatu tu, sasa tumeachiwa nyumba zipo huko mbezi Beach, kijitonyama na tabata, mimi ndio nasimamia. Sasa sijazunguka kufanya ukaguzi.
Namuuliza wewe unaishi wapi kwan kwa sasa, ooooh nakaa tegeta. Kuna siku namtext upo wapi, anasema nipo tegeta, namuuliza upo home, anajibu ndio, nikamwambia nielekeze nakuja kukusalimia nipite njia gani, anaanza kuhamisha magoli, aaaah upo njiani unakuja tegeta au upo tegeta kabisa,namjibu nipo tegeta hapa wewe upo wapi, aaaah sawa ngoja basi nikupigie baada ya dakika 1 maana simu yangu inazima chaji ipo betry low, ngoja niichomeke kwenye chaji isizime...... kisha nikuelekeze.
Kubabake kwan alipiga tena.... Nikapiga simu kimya haiiti..... Nilicheka balaa siku ile.... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nimecheka sana[emoji1787][emoji1787].. eti degree ya civics khaaaVipi lakini papuchi wanatoa?..maana naona unazunguka nao dar nzima hii mara kfc mara wapi sijui..
Kuna mmoja aliniambia anasoma udsm degree ya civics..hapo ndo nilikubali hii dunia ina mambo
Me mwanamke sasa hadi nifanane tabia na wanawake?! Halafu sijakwambia hawa ni wanawake ninao date nao. Nimekwambia ni tabia nimeiona kwa baadhi ya watoto wa kike.....
Sio wote wapo hivi!
Sent using Jamii Forums mobile app