Vinapenda kuishi maisha ya maigizo sana....
Kuna kimoja niliishi nacho, tabu tupu kila chakula nnachoamua tule analalamika, " eeh jamani ugali na samaki, eeh jamani viazi, eeeh jamani mihogo, kuna siku nikavurugika nikamuuliza hivi kwenu familia mnakulaga pizza, chips kuku?? Kikajibu hamna nakula tu kwasababu ndio vilivyopo.... nikakaambia good, na kwangu unakula kilichopo ukipata kwako utakula unachopenda.
Kakikaa story ni sijui nimeenda mall gani, sijui mlimani city bla bla wakati mi nakajua kabisa ni katoto ka mkulima... Ovyo sana.