Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
[emoji23][emoji23][emoji23] Unaweza kuwa umezeeka na ukali wako shunie. Wifi yako tatzo lake anapenda sana bolo youngAntonie na uzee huu mimi na upisi kali wapi na wapi
Halafu mwambie wifi asikubane sana usiwe adimu hivi
Hahahahah na mademu wa hivyo ndio ma Mogul wa kudanga! Kuna mtu humu namuonaga ana Taizi hizo ila namchuniaga tu πΈπΈπΈ but what i know atakuwa hewa tu ila mtu wa mipango kweri kweri!!!Akili nusuππ ila acha mkome maana tulio real mnatuonaga washamba na mnatutapeligi sana,
Wanajiweka hivyo ili kujitengenezea mazingira mazuri ya kupiga mizinga mikubwa mikubwa
Mbwa kala mbwa2017 au 2018 nilikutana na kamoja kwenye Viunga vya jiji la Makonda enzi hizo nikaauliza most of your time unakua wapi kakasema kanasoma Nursing UDSM nikaambia na Mimi ninasoma Medical Doctor chuo cha DUCE, cha ajabu kakafurahia sana hilo.
I expected this πΉWanaume wa jf kwa gubu[emoji119][emoji119][emoji119]
Ndege wafananao....
Ndio ma CEO wa kileo hao! Hawajui what it takes to become one...
Umeanza kututangazaHuo kimsingi ni utoto tu na kuji βkukuzβ kuna limoja nilikutana nalo humu humu jeiefu nikasema hiiiiiii!~ in hayatiz voice
Tabia hizo hizo za kujikweza unaweza dhania ni mtu wa maana kumbe jau tu [emoji23][emoji23][emoji23] !!! Mambo ya kishamba hayo kama unazo zitakutangaza wala huna haja ya maigizo na upambe!
He he[emoji23][emoji23][emoji23] Unaweza kuwa umezeeka na ukali wako shunie. Wifi yako tatzo lake anapenda sana bolo young
Much know sana yaniπππ af hamna kituNadhani majority ya wadada wanaojiona wa mjini wana hizi swaga. Huwezi muuliza jambo akakupa ukweli straight.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara paap kagonga huko, maana hata gari hawajazizoea hao! Ukimpa gari umejitaftia janganimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti mzigo, yan town palivyo pamoto hivi umpe tu mtu gari lako na laki juu, wawe wanaangalia na wenyewe daaah ahahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nomaaaVinapenda kuishi maisha ya maigizo sana....
Kuna kimoja niliishi nacho, tabu tupu kila chakula nnachoamua tule analalamika, " eeh jamani ugali na samaki, eeh jamani viazi, eeeh jamani mihogo, kuna siku nikavurugika nikamuuliza hivi kwenu familia mnakulaga pizza, chips kuku?? Kikajibu hamna nakula tu kwasababu ndio vilivyopo.... nikakaambia good, na kwangu unakula kilichopo ukipata kwako utakula unachopenda.
Kakikaa story ni sijui nimeenda mall gani, sijui mlimani city bla bla wakati mi nakajua kabisa ni katoto ka mkulima... Ovyo sana.
Na nilijua huwezi kukosekana humu maana kwa gubu unaongoza we mpare[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]I expected this [emoji81]
ππππInaitwa jichanganye uliwe mbwembwe nyiiingi kumbe hola,,Hahahahah na mademu wa hivyo ndio ma Mogul wa kudanga! Kuna mtu humu namuonaga ana Taizi hizo ila namchuniaga tu πΈπΈπΈ but what i know atakuwa hewa tu ila mtu wa mipango kweri kweri!!!
ππππJana kidogo nimtag ila nikajisemea hataupita akiuona lazima atie neno tu na kweli imekuwaNa nilijua huwezi kukosekana humu maana kwa gubu unaongoza we mpare[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Yaan mkuu walitaka kukuiba gari bila shaka.Walinambia wanawageni wanaenda kuwaona nawapeleka wananipa direction ya Serena Hotel. Nafika kule Serena wameingia ndani wana nambia tuingie sote. Ndio kuingia nimekaa kwenye mojawapo ya viti nasubiria naona nachoreka muda unaenda hawatoki nikamshitua akaja mwenzake kuwa anataka kwenda kuchukua pesa ATM, anaomba ufunguo wa gari. Nikaona huyu hana akili sawa sawa. Kwanza simjui, pili nampatia ufunguo halafu naanzaje kukaa nikiwasubiria.....?!
Nikamkata tu kimya kimya..... Nikamwambia twende naenda huko huko.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi kukosekana we, na atatambaa nao huu hadi kurasa zikatike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana kidogo nimtag ila nikajisemea hataupita akiuona lazima atie neno tu na kweli imekuwa
Hivi unajua mtoa mada huwa mnafanana miandiko kiaina sema wewe umezidi ubaharia, itakuwa mna undugu hebu tafutaneni mnaweza kuwa marafiki wazuri,Huo kimsingi ni utoto tu na kuji βkukuzβ kuna limoja nilikutana nalo humu humu jeiefu nikasema hiiiiiii!~ in hayatiz voice
Tabia hizo hizo za kujikweza unaweza dhania ni mtu wa maana kumbe jau tu πππ !!! Mambo ya kishamba hayo kama unazo zitakutangaza wala huna haja ya maigizo na upambe!
Kashapata uzi wa kumalizia weekend pisi kali lazima zikome πππHawezi kukosekana we, na atatambaa nao huu hadi kurasa zikatike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi unajua mtoa mada huwa mnafanana miandiko kiaina sema wewe umezidi ubaharia, itakuwa mna undugu hebu tafutaneni mnaweza kuwa marafiki wazuri,