Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Me mwanamke sasa hadi nifanane tabia na wanawake?! Halafu sijakwambia hawa ni wanawake ninao date nao. Nimekwambia ni tabia nimeiona kwa baadhi ya watoto wa kike.....

Sio wote wapo hivi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeishuhudia mara kadhaa sana. Ili mradi anakufahamu tu, hata kama hujawahi kuleta story za mahusiano kwake.
Wanatamani sana kujikweza.
Vizinga vyao na kuomba kuazima hela ambazo ukitazama uwezekano mkubwa ni ku'risk hela tu, maana haviendani na maisha wanayoishi.

Tuwavumilie na kiwasaidia tunapoweza.
 
Ha ha ha hizo habari za kusoma chuo wanazipenda sana, nilikutana na binti mmoja akanambia anasoma UDSM na asijue mi nazijua kona zote pale na kozi zilizopo pale..
Maswali mawili tu yalitosha kumtoa kwenye reli akabaki anajibaraguza tu , [emoji2][emoji2]
 
Tatizo lipo KWAKO mkuu. Ur a very nice guy
And to the slay queens, a nice a guy is a foolish guy.

Anza kuwa rude and they will respect you big time
 
We unatoka wapi na hao wadada??wanakudanganya kwa jinsi wanavyokuona....huenda na ww ni muongo muongo so wananata na biti lako...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipi lakini papuchi wanatoa?..maana naona unazunguka nao dar nzima hii mara kfc mara wapi sijui..

Kuna mmoja aliniambia anasoma udsm degree ya civics..hapo ndo nilikubali hii dunia ina mambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah nimecheka hadi mbavu zinataka kukatika hapa mie. .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wallah huu uzi hapana lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akuna wadada waongo Kama wa Chuo ,Q net ,slay queen wa Instagram utasikia I'm C.E.O of my own life
Kuna kidemu nilikikuta club kinanambia kinasoma Chuo , ajui hata Kuna degree ya comp science/IT
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeeh khaaaaaah lol.
 
Aisee πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…