Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

Hii nilikutana nayo mwaka juzi, demu kanipeleka hadi kwao[emoji16][emoji16] pako vizuri saana, wanaishi ndani ya bonge la jumba huko kinyerezi.
Tulipozoeana akaanza vizinga vya kijinga.. mara baba yake anaumwa, mara baba yake kasafiri, pesa ya matumizi imeisha, mara mdogo wake alipiwe ada arudi shule ili baba yake akirudi atanirudishia [emoji3][emoji3][emoji3].
Mwanzoni nilisaidia pale nilipoweza ila nikagundua napigwa changa la macho.
 
Kuna watu mnakuaga na muda mchafu wa kuandika jamani, yaan kabisa umelala kwenye kigodoro chako cha futi 2 na kuanza kuandika upupu,

Niandae ftari mie nisijewapandisha watu Muhaho.
 
Umeandika kwa uchungu sana ila ni vizuri ukae naye na umwambie haya yote kuliko kuleta huku jukwaani maana wengine mazingira tunayoishi hakuna watu wa hivyo mkuu.
 
We jamaa inaonekana ni mtu wa kushikilia vitu vidogo vidogo pia una asili ya ubinafsi ndani yako. Be fair, mie mtu akihitaji gari yangu wala simuulizi unaenda wap wala nn.
Ana gubu pia,ana moyo flani ivi mdogo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baadhi ya wanawake humpokea mtu jinsi anavyo kuja, mpaka hapoo? Ukijifanya matawi utageuzwa ATM mpaka hapoo? Ukijifanya mpole atakuona bado mshamba atakuingiza mjini mpaka hapoo na ukiwa muerevu atakuona uko mjanja kama mjanja wake Lucifer, na kwa Lucifer mwanamke huwa hawapinduki ni kama chatu na jibwa upoo?
 
Kwanza hawana nguvu za kike. Ukipiga mechi usiku mmoja kesho haendi hata kazini.Wamekuwa wavivu kitandani hata utafutaji. Uongo mwingi.

Enzi hizo unapiga game usiku kucha asubuhi mwanamke anaenda kukata kuni.
 

Wapo wengi
Ma slay queens[emoji28][emoji28]
Ngoja nisimulie kisa kimoja kuna dada nilikutana nae vowet kulikuwa na maonyesho ya bidhaa na Mimi nilipeleka bidhaa zangu yeye tulijuana alikuwa ni jirani kwangu kwenye meza yake picha linaanza ameweka bidhaa sio zake ni brand name ya mtu mwingine ambae mimi namjua akanidanganya ni bidhaa yake mwenyewe nikaguna ila nikapotezea,tuka exchange number tukawa close alinizoea haraka sana akajua ninapo ishi nika mu introduce kwa circle yangu tena marafiki zangu wa maana kabisa,sad alikuja kutuvurugaa duh mpaka leo tumesambaratika
Aliwakopa hela alikuwa muongo ana project nyingiii za kufikirika
Mpaka leo sijui hata alikuwa anaishi wapi najua sinza madukani ila mtaa upi sijui nilikuwa naonana nae kituoni
Alikuwa na baba wawili kwa mtoto mmoja yani maisha yake mvurugiko mpaka huruma sijui alikuwa anapata nini kwa uongo uongo
So mleta mada nakuelewa
Nadhani huwa ni namna ya kuvutia watu waonekane ni high profile people kumbe hamna kitu
Wanaume wanao penda mtelezo ukijichanganya kwa wadada kama hawa you’re finished
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh ila unawapata wapi hawa design hii
 
Hii noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti mzigo, yan town palivyo pamoto hivi umpe tu mtu gari lako na laki juu, wawe wanaangalia na wenyewe daaah ahahahaha
Unasikia anakwambia yaani kuna mzigo upo china ukifika tu paaah nakwenda kuingiza sokoni ndaninya wiki nitakuwa nimeshazungusha nakuletea laki yako,nisaidie please dear! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Shida sasa ukomae kuwa unataka kujua huo mzigo ni upoje.... Au anadeal na maswala gani.... Hautaamini maneno utapigwa hapo.

Jamii imewakosea sana watoto wakike, wamewajenga kuamini wao ni werevu kumbe dunia ni tambala bovu...... Wanaisoma namba bila msaada wanabakia kuwa waongo waongo... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimpa mtu gari ameniaga anaenda mchukua demu wake airport kisha ananiletea. Kuja akaja na mdada ila hawana muonekano kama mtu aliyetoka safari inaonekana alikwenda mzoa mtaa wa pili.

Mimi sikuwa na pressure akaniomba kuwa anampeleka kwao kisha atakuja. Nikamwambia poa haina shida.

Akaenda akapotea anakuja nitafuta saa kumi na mbili asubuhi. Na hapo amefanya kunitumia text kuwa eti jana alipoenda alichelewa kutoka so akaona asinisumbue usiku akaenda kulala na gari ili aniletee asubuhi mapema.

Nikamwambia haina noma kama vipi we utanicheki tu ukishafika me nipo macho. Akaja mida ya saa mbili kasoro story nyingi nikaona vijana uhuni mnajifunza kwa kuchelewa sana halafu kwa wandewa. Nikamuitia bodaboda akasepa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Unachekesha kweli kila binti kwako mbaya sijawahi kuona unawazungumzia vizuri mabinti
Umejuaje?! [emoji15][emoji15][emoji15]

Wazuri mbona wapo wengi ni vile tu sijawahi leta story zao hapa mazuri yao. Ila wapo wengi tu mbona. Anyways, huwa siongelei kwa nia mbaya (u sound like u took it personal), naongelea kwa namna ya kujenga.

Kwa mfano wewe ukisha soma hapa sidhani kama utaanza kusema uongo na umeona wanaume hapa wanakerekwa na hiyo tabia.....

So ni part ya kujifunza. Wanaume tunajua zaidi bad sides za wanawake. By the way, wanaume huwa hatukosei..... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…