Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mkuuNjoo, ukifika nishtue. Hutakiwi upate tabu wakati senior wako nipo....
Dah huyo wa udsm mwambie aje nimpe kazi ila nipo mkoaHili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo.
Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao Dar kwa mzazi wake aliyebaki hai ambaye ni mama. Yule binti mateso na manyanyaso aliyopitia mpaka ilifika kipindi akataka kuondoka kwao, ila hakuwa na pa kwenda. Bahati nzuri akapata kazi serikalini, baada ya kupata kazi ndiyo angalau wameanza naye ni mtu.
Wa pili kamaliza chuo mwaka jana tu hapo UDSM. Huyu wazazi wake wote 2 bado wako hai. Mzee wake alishastaafu ila mama bado anafanya kazi. Kwa jinsi anavyoteswa na wazazi wake yupo kwenye hatua za mwisho kuondoka kwao aende anakokujua akajitafutie maisha. Na hana boyfriend, ananiambiaga wazi angekuwa naye basi angeshasepa kitambo akaishi naye.
Huyu hata akitokea mtu akamuambia muda huu njoo tuishi wote anaenda. Vituko na visa anavyofanyiwa na wazazi wake mpaka huwa namuuliza "Una uhakika hao ni wazazi wako? Maana wameshafikia mpaka hatua ya kumuambia aondoke ndani mwao. Cha kushangaza ni kwamba hapo nyumbani yupo kaka yake na anasema huwa hapewi harrassments kama anazopewa yeye.
Wa 3 huyu naye yuko Dar. Alisoma Diploma ya Sheria kisha akawa yupo tu nyumbani hajabahatika kuajriiwa mpaka sasa. Huyu naye ni yaleyale, ameteswa kisaikolojia na wazazi mpaka sasa ukimuona amekonda mno. Ilifikia mpaka kipindi alitaka kufanya suicide kwa sababu ya psychological torture aliyokuwa anapitia toka kwa wazazi wake.
Je, hii ni wakeup call kwa mabinti walioko vyuoni kuhakikisha hawamalizi vyuo bila wenza, na wasirudi makwao maana hawataepuka mateso? Maana kulingana na nature yetu waafrika, ni rahisi sana kuishi na kijana wa kiume nyumbani kuliko binti. Yani binti ambaye umeshafika miaka 26+ kukaa na wazazi nyumbani ina tension kubwa kwa wazazi kuliko kuishi na kijana wa kiume.
Hili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo.
Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao Dar kwa mzazi wake aliyebaki hai ambaye ni mama. Yule binti mateso na manyanyaso aliyopitia mpaka ilifika kipindi akataka kuondoka kwao, ila hakuwa na pa kwenda. Bahati nzuri akapata kazi serikalini, baada ya kupata kazi ndiyo angalau wameanza naye ni mtu.
Wa pili kamaliza chuo mwaka jana tu hapo UDSM. Huyu wazazi wake wote 2 bado wako hai. Mzee wake alishastaafu ila mama bado anafanya kazi. Kwa jinsi anavyoteswa na wazazi wake yupo kwenye hatua za mwisho kuondoka kwao aende anakokujua akajitafutie maisha. Na hana boyfriend, ananiambiaga wazi angekuwa naye basi angeshasepa kitambo akaishi naye.
Huyu hata akitokea mtu akamuambia muda huu njoo tuishi wote anaenda. Vituko na visa anavyofanyiwa na wazazi wake mpaka huwa namuuliza "Una uhakika hao ni wazazi wako? Maana wameshafikia mpaka hatua ya kumuambia aondoke ndani mwao. Cha kushangaza ni kwamba hapo nyumbani yupo kaka yake na anasema huwa hapewi harrassments kama anazopewa yeye.
Wa 3 huyu naye yuko Dar. Alisoma Diploma ya Sheria kisha akawa yupo tu nyumbani hajabahatika kuajriiwa mpaka sasa. Huyu naye ni yaleyale, ameteswa kisaikolojia na wazazi mpaka sasa ukimuona amekonda mno. Ilifikia mpaka kipindi alitaka kufanya suicide kwa sababu ya psychological torture aliyokuwa anapitia toka kwa wazazi wake.
Je, hii ni wakeup call kwa mabinti walioko vyuoni kuhakikisha hawamalizi vyuo bila wenza, na wasirudi makwao maana hawataepuka mateso? Maana kulingana na nature yetu waafrika, ni rahisi sana kuishi na kijana wa kiume nyumbani kuliko binti. Yani binti ambaye umeshafika miaka 26+ kukaa na wazazi nyumbani ina tension kubwa kwa wazazi kuliko kuishi na kijana wa kiume.
kuna baadh ya familia ambaz mtoto wa kike akifikisha miaka 20 na kuendelea kama hana kaz ni makelele tu wanataman aolewe visa vinakua vingi mpka unachoka tena usiombe hiy familia iwe ya watu wengi,, hakuna picha utaacha kuona.. na hawa wazaz ndo chanz watot wao wa kike kujiingiza kwenye makundi mabaya,, nimeyashuhudia haya kuanzia nilipoanz kujitambua mpka sas ninayaona na yanaumiza sio siri
kawaida ya wazazi maskini... elewa neno maskiniHili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo.
Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao Dar kwa mzazi wake aliyebaki hai ambaye ni mama. Yule binti mateso na manyanyaso aliyopitia mpaka ilifika kipindi akataka kuondoka kwao, ila hakuwa na pa kwenda. Bahati nzuri akapata kazi serikalini, baada ya kupata kazi ndiyo angalau wameanza naye ni mtu.
Wa pili kamaliza chuo mwaka jana tu hapo UDSM. Huyu wazazi wake wote 2 bado wako hai. Mzee wake alishastaafu ila mama bado anafanya kazi. Kwa jinsi anavyoteswa na wazazi wake yupo kwenye hatua za mwisho kuondoka kwao aende anakokujua akajitafutie maisha. Na hana boyfriend, ananiambiaga wazi angekuwa naye basi angeshasepa kitambo akaishi naye.
Huyu hata akitokea mtu akamuambia muda huu njoo tuishi wote anaenda. Vituko na visa anavyofanyiwa na wazazi wake mpaka huwa namuuliza "Una uhakika hao ni wazazi wako? Maana wameshafikia mpaka hatua ya kumuambia aondoke ndani mwao. Cha kushangaza ni kwamba hapo nyumbani yupo kaka yake na anasema huwa hapewi harrassments kama anazopewa yeye.
Wa 3 huyu naye yuko Dar. Alisoma Diploma ya Sheria kisha akawa yupo tu nyumbani hajabahatika kuajriiwa mpaka sasa. Huyu naye ni yaleyale, ameteswa kisaikolojia na wazazi mpaka sasa ukimuona amekonda mno. Ilifikia mpaka kipindi alitaka kufanya suicide kwa sababu ya psychological torture aliyokuwa anapitia toka kwa wazazi wake.
Je, hii ni wakeup call kwa mabinti walioko vyuoni kuhakikisha hawamalizi vyuo bila wenza, na wasirudi makwao maana hawataepuka mateso? Maana kulingana na nature yetu waafrika, ni rahisi sana kuishi na kijana wa kiume nyumbani kuliko binti. Yani binti ambaye umeshafika miaka 26+ kukaa na wazazi nyumbani ina tension kubwa kwa wazazi kuliko kuishi na kijana wa kiume.
Hata kwa hao vijana wataenda kunyanyasika piaHili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo.
Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao Dar kwa mzazi wake aliyebaki hai ambaye ni mama. Yule binti mateso na manyanyaso aliyopitia mpaka ilifika kipindi akataka kuondoka kwao, ila hakuwa na pa kwenda. Bahati nzuri akapata kazi serikalini, baada ya kupata kazi ndiyo angalau wameanza naye ni mtu.
Wa pili kamaliza chuo mwaka jana tu hapo UDSM. Huyu wazazi wake wote 2 bado wako hai. Mzee wake alishastaafu ila mama bado anafanya kazi. Kwa jinsi anavyoteswa na wazazi wake yupo kwenye hatua za mwisho kuondoka kwao aende anakokujua akajitafutie maisha. Na hana boyfriend, ananiambiaga wazi angekuwa naye basi angeshasepa kitambo akaishi naye.
Huyu hata akitokea mtu akamuambia muda huu njoo tuishi wote anaenda. Vituko na visa anavyofanyiwa na wazazi wake mpaka huwa namuuliza "Una uhakika hao ni wazazi wako? Maana wameshafikia mpaka hatua ya kumuambia aondoke ndani mwao. Cha kushangaza ni kwamba hapo nyumbani yupo kaka yake na anasema huwa hapewi harrassments kama anazopewa yeye.
Wa 3 huyu naye yuko Dar. Alisoma Diploma ya Sheria kisha akawa yupo tu nyumbani hajabahatika kuajriiwa mpaka sasa. Huyu naye ni yaleyale, ameteswa kisaikolojia na wazazi mpaka sasa ukimuona amekonda mno. Ilifikia mpaka kipindi alitaka kufanya suicide kwa sababu ya psychological torture aliyokuwa anapitia toka kwa wazazi wake.
Je, hii ni wakeup call kwa mabinti walioko vyuoni kuhakikisha hawamalizi vyuo bila wenza, na wasirudi makwao maana hawataepuka mateso? Maana kulingana na nature yetu waafrika, ni rahisi sana kuishi na kijana wa kiume nyumbani kuliko binti. Yani binti ambaye umeshafika miaka 26+ kukaa na wazazi nyumbani ina tension kubwa kwa wazazi kuliko kuishi na kijana wa kiume.
Hili tangazo lako limekaa kitaalamu sana.Hili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo.
Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao Dar kwa mzazi wake aliyebaki hai ambaye ni mama. Yule binti mateso na manyanyaso aliyopitia mpaka ilifika kipindi akataka kuondoka kwao, ila hakuwa na pa kwenda. Bahati nzuri akapata kazi serikalini, baada ya kupata kazi ndiyo angalau wameanza naye ni mtu.
Wa pili kamaliza chuo mwaka jana tu hapo UDSM. Huyu wazazi wake wote 2 bado wako hai. Mzee wake alishastaafu ila mama bado anafanya kazi. Kwa jinsi anavyoteswa na wazazi wake yupo kwenye hatua za mwisho kuondoka kwao aende anakokujua akajitafutie maisha. Na hana boyfriend, ananiambiaga wazi angekuwa naye basi angeshasepa kitambo akaishi naye.
Huyu hata akitokea mtu akamuambia muda huu njoo tuishi wote anaenda. Vituko na visa anavyofanyiwa na wazazi wake mpaka huwa namuuliza "Una uhakika hao ni wazazi wako? Maana wameshafikia mpaka hatua ya kumuambia aondoke ndani mwao. Cha kushangaza ni kwamba hapo nyumbani yupo kaka yake na anasema huwa hapewi harrassments kama anazopewa yeye.
Wa 3 huyu naye yuko Dar. Alisoma Diploma ya Sheria kisha akawa yupo tu nyumbani hajabahatika kuajriiwa mpaka sasa. Huyu naye ni yaleyale, ameteswa kisaikolojia na wazazi mpaka sasa ukimuona amekonda mno. Ilifikia mpaka kipindi alitaka kufanya suicide kwa sababu ya psychological torture aliyokuwa anapitia toka kwa wazazi wake.
Je, hii ni wakeup call kwa mabinti walioko vyuoni kuhakikisha hawamalizi vyuo bila wenza, na wasirudi makwao maana hawataepuka mateso? Maana kulingana na nature yetu waafrika, ni rahisi sana kuishi na kijana wa kiume nyumbani kuliko binti. Yani binti ambaye umeshafika miaka 26+ kukaa na wazazi nyumbani ina tension kubwa kwa wazazi kuliko kuishi na kijana wa kiume.
Mm nikirudi home nikapata Kaz mwaka tu nikaachana nayo. Mzee naye kichwani Kuna maji, anaongea maneno kama guluguja! Nikasepaga mpaka Leo Sina mpango wa kurudiAcha tu! Mi nishaambiwa nina laana ndio maana sifanikiwi kila nikifanyacho ...maneno haya niliambiwa na mama yangu mzazi niliporudisha mpira kwa kipa.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
[emoji419][emoji419]Nakazia na huu uzi ufungweWatoto wa kike wanataka kuiishi kivyuo nyumbani (kizungu) ata kupika hayapiki, usafi hayafanyi kulala tu wakati wote ,wengi hawaambiliki ata kwa Kaka zao majibu ya short tu, 24hrs charting.
Unategemea hutofukuzwa , wasiishi kama Mfalume na Malikia ingali Baba na Mama wapo ndo wenye vyeo hivyo.
Hakuna mzazi mwenye akili timamu anayeweza akamnyanyapa mwanae eti kwasababu amekosa kazi ..nakataa utakuwa umetunga tu
Japo halii hii huwa inawaumiza zaidi kwasababu amekusomesha akiwa na matumaini nawe ipo siku utakuwa msaada hapo nyumbani ..
Ndo hapa binti anakuja kuolewa na mwanaume ambae hajampenda Ila anaolewa kwasababu amechoka kukaa home.
Ni uzembe was Hali ya juu ukamaliza chuo ukarudi nyumbani yaani UZEMBE MKUBWA SANA!!!
IWE KWA KIJANA WA KIUME AU KIKE DON'T GO BACK HOME!!
Ukifika mwaka was pili kafanye field za kimkakati huko unapoenda field Jenga urafiki na in service was pande hizo,chukua namba and keep in touch!!
Ukimaliza nenda kajitolee huku ukiomba KAZI in advance ikitokea pale pale,uwe ni teacher,uwe ninmwanasheria uwe nani just nenda kajitolee pale chapa kazi huku ukimuomba mungu aiseh utapata fungu lako!!!
Mi nilipomaliza chuo niliambiwa nirudi sijui Kuna kuvuna alizeti sijui vitu Gani,nikasema Kuna mchongo nafukuzia!!
Nikapiga mzigo was kutosha,Hadi naenda job nilikua kama na laki tisa za kuanzia life ongeza na za kujikimu 1.5 million nikapanga geto langu,Hadi seniors wakaniona mtamu kama mcharo vile!!
Yaani kitanda,sofa,jiko la gesi makapeti aiseh I was good those days!!hadi member mmoja akataka ni msajili!!!
DON'T GO BACK HOME!! DON'T I SAY!!!
Kama umefanya utafiti basi bado haujakamilisha. Umerukaruka tu na hoja zako na umetanguliza hisia mbele kwa kusema mabinti wananyanyaswa lakini haujasema sababu. haiwezekani tu mtu akurupuke kumdhulumu mwanae. rudi kaulize sababu ndipo urudi hapa.Hili huenda likakushangaza lakini ndiyo ukweli wenyewe. Hii hali ipo sana sana mijini, nimeshashuhudia mabinti kadhaa hasa wanaotoka familia za kati na duni wakiwa wanaishi kwa tabu sana na wazazi pindi wanaporudi nyumbani baada ya kumaliza vyuo.
Wa kwanza alimaliza SUA mwaka 2020. Akarudi kwao Dar kwa mzazi wake aliyebaki hai ambaye ni mama. Yule binti mateso na manyanyaso aliyopitia mpaka ilifika kipindi akataka kuondoka kwao, ila hakuwa na pa kwenda. Bahati nzuri akapata kazi serikalini, baada ya kupata kazi ndiyo angalau wameanza naye ni mtu.
Wa pili kamaliza chuo mwaka jana tu hapo UDSM. Huyu wazazi wake wote 2 bado wako hai. Mzee wake alishastaafu ila mama bado anafanya kazi. Kwa jinsi anavyoteswa na wazazi wake yupo kwenye hatua za mwisho kuondoka kwao aende anakokujua akajitafutie maisha. Na hana boyfriend, ananiambiaga wazi angekuwa naye basi angeshasepa kitambo akaishi naye.
Huyu hata akitokea mtu akamuambia muda huu njoo tuishi wote anaenda. Vituko na visa anavyofanyiwa na wazazi wake mpaka huwa namuuliza "Una uhakika hao ni wazazi wako? Maana wameshafikia mpaka hatua ya kumuambia aondoke ndani mwao. Cha kushangaza ni kwamba hapo nyumbani yupo kaka yake na anasema huwa hapewi harrassments kama anazopewa yeye.
Wa 3 huyu naye yuko Dar. Alisoma Diploma ya Sheria kisha akawa yupo tu nyumbani hajabahatika kuajriiwa mpaka sasa. Huyu naye ni yaleyale, ameteswa kisaikolojia na wazazi mpaka sasa ukimuona amekonda mno. Ilifikia mpaka kipindi alitaka kufanya suicide kwa sababu ya psychological torture aliyokuwa anapitia toka kwa wazazi wake.
Je, hii ni wakeup call kwa mabinti walioko vyuoni kuhakikisha hawamalizi vyuo bila wenza, na wasirudi makwao maana hawataepuka mateso? Maana kulingana na nature yetu waafrika, ni rahisi sana kuishi na kijana wa kiume nyumbani kuliko binti. Yani binti ambaye umeshafika miaka 26+ kukaa na wazazi nyumbani ina tension kubwa kwa wazazi kuliko kuishi na kijana wa kiume.
Kijana wa miaka 25 huna ratiba yoyote umekuwa msukule? Kila binadamu ana ratiba zake hata kama wewe mzazi utaona za kipuuziKama umefanya utafiti basi bado haujakamilisha. Umerukaruka tu na hoja zako na umetanguliza hisia mbele kwa kusema mabinti wananyanyaswa lakini haujasema sababu. haiwezekani tu mtu akurupuke kumdhulumu mwanae. rudi kaulize sababu ndipo urudi hapa.
Kwa kukusaidia tu, ni hivi ukiwa nyumbani kwa wazazi wewe unakuwa ni mtoto na una wajibu wa kufuata ratiba au utaratibu wanaoupanga wao. sasa wewe unaishi kwa mzazi hlf kila siku unajifanya una ratiba yako sasa hapo ndio shida inapoanzia.