Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ilo swali muhimu sana Hawa ndio wanafanya watu wajiue aiseeKama Mungu hajakujaalia kuzaa, unafanyaje?
Unaadupt mkuu. Katoto ka miezi m1 m2 m3 kametupwa unakaadupt.Kama Mungu hajakujaalia kuzaa, unafanyaje?
Unakuta mtu tu binafsi hakupata kutokana na maisha yake ,labda aliyokutana nao hawaendani so akaona si bora kuzaa nao .Yaani ilo swali muhimu sana Hawa ndio wanafanya watu wajiue aisee
Jamii zetu zinawatu wanaroho ngumu sana
sababu wanajua hawawezi kuolewa na kupata watto ndani ya ndoa sababu muda wa kuolewa na wale waliowapenda umepita tayariNini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒
naskia huruma sana.
Mungu Ibariki Tanzania
Kabisa Cha ajabu wenye watoto na walioolewa ndio wanawapa stress walio Bado Kwa maswali wee km una watoto kwann asitulie alee wanae Huwa najiuliza mtu kutokuwa na mtoto inamuathiri vipi ambae anao watatuUnakuta mtu tu binafsi hakupata kutokana na maisha yake ,labda aliyokutana nao hawaendani so akaona si bora kuzaa nao .
Mwisho wa siku jamii inaanza kumsema ,hakika watu watajimaliza sana
Kuna mdada mmoja ameolewa na jamaa ndoa ina miaka 8 ,wana mtoto yuko darasa la nne...Tatizo lake anasumbua mara nikuletea mdogo wangu umuoe ,kitu cha pili anakopa sana tena hela ndogo ndogo kama 20k halafu ana mume ,yeye mwenyewe anafanya kazi ...Kabisa Cha ajabu wenye watoto na walioolewa ndio wanawapa stress walio Bado Kwa maswali wee km una watoto kwann asitulie alee wanae Huwa najiuliza mtu kutokuwa na mtoto inamuathiri vipi ambae anao watatu
Kwani ni nani asiye jua kuwa sisiemu ni wapumbavu sanaNini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒
naskia huruma sana.
Mungu Ibariki Tanzania
Hauko kamnyama kana Mana ganivichocheo vya kimwili vinawawafosi mabinti wengi kushindwa kujizuia na kuhimili vishindo vya hisia za kimwili kutokana na sayansi na technolojia, wanajikuta wanajiingiza kwenye mapenzi mapema kuliko kawaida 🐒
Sijui wanashida gani wanawaza maisha ya ambao Bado 😃Kuna mdada mmoja ameolewa na jamaa ndoa ina miaka 8 ,wana mtoto yuko darasa la nne...Tatizo lake anasumbua mara nikuletea mdogo wangu umuoe ,kitu cha pili anakopa sana tena hela ndogo ndogo kama 20k halafu ana mume ,yeye mwenyewe anafanya kazi ...
Wameshatumia asilimia 75 ya bundle lao,Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒
naskia huruma sana.
Mungu Ibariki Tanzania
😃😃😃Wengi wao hayo maisha ni wao wamechagua na walifanya maamuzi ya pupa bila kutafakari miaka ijayo wataishi maisha gani.
Sasa mtu unakaa tokea ukiwa mdogo hadi unafika miaka 35 wenzako wanaolewa,wanapata watoto, wanapeleka watoto shule,unaona wanasheherekea miaka 10 ya Ndoa wewe haushituki tu? 🤔
Hicho si ni kiburi kabisa kwamba umeona wenzako hawana akili wewe ndie muerevu zaidi?
Tunakosa cha kuwashauri sababu tukiwaambia ukweli wanasema tunawachukia. Ndio maana tunawatazama tu namna wanavyotitia kwenye matope.
Huyu jamaa alikuwa anamsagia sana kunguni Lissu ,ila saivi akili imemkaa pahala pakeAfadhali mkuu leo umachange topic kwa afya yako! Masiasa bana yanatia stress sana mara unajikuta una mapressure na masukari kisa kumchukia Lissu wakati mwenzio tabasamu tele, na ndio career yake, we unaumia unatesa na familia yako!😎😛
Kweli hawa dada zetu wanahangaika sana lakini ujue ndio natural selection na natural processes zinaendelea, mwili wa mwanamke unakua mature na active kuzaa kuanzia miaka 16 hadi 25 then unaanza kupungua uwezo na kuna wanapungua kwa speed kubwa na ndogo so with time inakua ni game of chance then wanaelekea kwenye menopause!
So walioacha kutumia muda huo wanakuta washapungua uwezo na maumbile yashaanza kusinyaa halafu na hormone husika zimepungua sana au hazibalance tena inakua kila siku kwa daktari tu afanye manipulation kwa madawa na ufundi mwingine wa kitabibu, then wengine wnakua na vivimbe vya size tofauti tofauti kwenye kizazi vinavyotokana na mayai yaliyokufa na kushindwa kutoka kabisa yakabaki nayo pia yanaharibu mazingira ya kupata uzazi so inakua complicated zaidi!
Wewe mzee ni muongo sanaSio rahisi Kijana asiye na ndoa kuweza kuwa na nidhamu ya Fedha kuliko aliyeko kwenye Ndoa
Chukulia Vijana wawili mwenye familia na asiye na familia wamepata shilingi 10,000
Asiye na familia anaweza chukua hiyo hela na kwenda kubetia
Wakati mwenye familia (Ndoa) anaweza ichukua hicho kiasi na kwenda kununua kilo mbili za Mchele na Sukari
Jaribu kupima hayo