Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

Yaani ilo swali muhimu sana Hawa ndio wanafanya watu wajiue aisee
Jamii zetu zinawatu wanaroho ngumu sana
Unakuta mtu tu binafsi hakupata kutokana na maisha yake ,labda aliyokutana nao hawaendani so akaona si bora kuzaa nao .

Mwisho wa siku jamii inaanza kumsema ,hakika watu watajimaliza sana
 
Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒

naskia huruma sana.

Mungu Ibariki Tanzania
sababu wanajua hawawezi kuolewa na kupata watto ndani ya ndoa sababu muda wa kuolewa na wale waliowapenda umepita tayari
 
Unakuta mtu tu binafsi hakupata kutokana na maisha yake ,labda aliyokutana nao hawaendani so akaona si bora kuzaa nao .

Mwisho wa siku jamii inaanza kumsema ,hakika watu watajimaliza sana
Kabisa Cha ajabu wenye watoto na walioolewa ndio wanawapa stress walio Bado Kwa maswali wee km una watoto kwann asitulie alee wanae Huwa najiuliza mtu kutokuwa na mtoto inamuathiri vipi ambae anao watatu
 
Kuna mdada mmoja ameolewa na jamaa ndoa ina miaka 8 ,wana mtoto yuko darasa la nne...Tatizo lake anasumbua mara nikuletea mdogo wangu umuoe ,kitu cha pili anakopa sana tena hela ndogo ndogo kama 20k halafu ana mume ,yeye mwenyewe anafanya kazi ...
 
Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒

naskia huruma sana.

Mungu Ibariki Tanzania
Kwani ni nani asiye jua kuwa sisiemu ni wapumbavu sana
 
vichocheo vya kimwili vinawawafosi mabinti wengi kushindwa kujizuia na kuhimili vishindo vya hisia za kimwili kutokana na sayansi na technolojia, wanajikuta wanajiingiza kwenye mapenzi mapema kuliko kawaida 🐒
Hauko kamnyama kana Mana gani
 
Tatizo ya mabinti wa age wanatafuta mume mwenye hofu ya Mungu lkn hapo hapo anataka awe na tabia za bad boys wanapokuwa kitandani. Sababu wengi washakuwa abused wakati wa kusex,yaani washazoea rough sex,show za mda mrefu, style na mitindo ya ajabu ya sex. Ndio maana binti unakuta anasema kaokoka mdomoni na kuanza kuingia makanisani kutafuta mume, ila moyoni still bado ana maex wake kawatunza, ndio maana hata akipata good boy/nice man wa kumuoa haishii kumlinganisha na wahuni wake wazamani.Unakuta anakuja kupa mume ambaye good man,mcha Mungu, ila haishii kumtoa kasoro kw kitumia vitu alivyokuwa akipewa na wahuni mata atasema hajui sex,mzito kitandani mara anaenda nusu saa hoi, mara hajui kuandaa yaani anakuwa kama auditor wa sex kitandani.

Japo wapo kweli wenye nia thabiti ya kuanza upya na hawa wakipenda wanapenda kweli ,unaweza husimpe hata senti still akakupenda na kujitoa kwako, ila kundi hili katika age 30+ wapo wachache sana na mara nyingi hawa pamoja na utayari wao ila hawanaga bahati ya kupata waume wazuri. Wanawapata wale wazee ambao wanapenda Umario wakati umri umeenda.
 
Kuna mdada mmoja ameolewa na jamaa ndoa ina miaka 8 ,wana mtoto yuko darasa la nne...Tatizo lake anasumbua mara nikuletea mdogo wangu umuoe ,kitu cha pili anakopa sana tena hela ndogo ndogo kama 20k halafu ana mume ,yeye mwenyewe anafanya kazi ...
Sijui wanashida gani wanawaza maisha ya ambao Bado 😃
 
Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒

naskia huruma sana.

Mungu Ibariki Tanzania
Wameshatumia asilimia 75 ya bundle lao,
Alafu ni kama menopause miaka hii inawahi
 
Wengi wao hayo maisha ni wao wamechagua na walifanya maamuzi ya pupa bila kutafakari miaka ijayo wataishi maisha gani.

Sasa mtu unakaa tokea ukiwa mdogo hadi unafika miaka 35 wenzako wanaolewa,wanapata watoto, wanapeleka watoto shule,unaona wanasheherekea miaka 10 ya Ndoa wewe haushituki tu? 🤔

Hicho si ni kiburi kabisa kwamba umeona wenzako hawana akili wewe ndie muerevu zaidi?

Tunakosa cha kuwashauri sababu tukiwaambia ukweli wanasema tunawachukia. Ndio maana tunawatazama tu namna wanavyotitia kwenye matope.
 
😃😃😃
 
Afadhali mkuu leo umachange topic kwa afya yako! Masiasa bana yanatia stress sana mara unajikuta una mapressure na masukari kisa kumchukia Lissu wakati mwenzio tabasamu tele, na ndio career yake, we unaumia unatesa na familia yako!😎😛

Kweli hawa dada zetu wanahangaika sana lakini ujue ndio natural selection na natural processes zinaendelea, mwili wa mwanamke unakua mature na active kuzaa kuanzia miaka 16 hadi 25 then unaanza kupungua uwezo na kuna wanapungua kwa speed kubwa na ndogo so with time inakua ni game of chance then wanaelekea kwenye menopause!

So walioacha kutumia muda huo wanakuta washapungua uwezo na maumbile yashaanza kusinyaa halafu na hormone husika zimepungua sana au hazibalance tena inakua kila siku kwa daktari tu afanye manipulation kwa madawa na ufundi mwingine wa kitabibu, then wengine wnakua na vivimbe vya size tofauti tofauti kwenye kizazi vinavyotokana na mayai yaliyokufa na kushindwa kutoka kabisa yakabaki nayo pia yanaharibu mazingira ya kupata uzazi so inakua complicated zaidi!
Huyu jamaa alikuwa anamsagia sana kunguni Lissu ,ila saivi akili imemkaa pahala pake

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Sio rahisi Kijana asiye na ndoa kuweza kuwa na nidhamu ya Fedha kuliko aliyeko kwenye Ndoa

Chukulia Vijana wawili mwenye familia na asiye na familia wamepata shilingi 10,000

Asiye na familia anaweza chukua hiyo hela na kwenda kubetia

Wakati mwenye familia (Ndoa) anaweza ichukua hicho kiasi na kwenda kununua kilo mbili za Mchele na Sukari

Jaribu kupima hayo
Wewe mzee ni muongo sana
 
Back
Top Bottom