Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

Mabinti wengi wa umri wa miaka 30-35 ambao hawajaolewa bado hadi sasa wanapambana zaidi kupata watoto, kulikoni?

S
Sio rahisi Kijana asiye na ndoa kuweza kuwa na nidhamu ya Fedha kuliko aliyeko kwenye Ndoa

Chukulia Vijana wawili mwenye familia na asiye na familia wamepata shilingi 10,000

Asiye na familia anaweza chukua hiyo hela na kwenda kubetia

Wakati mwenye familia (Ndoa) anaweza ichukua hicho kiasi na kwenda kununua kilo mbili za Mchele na Sukari

Jaribu kupima hayo
Sasa huyo alieoa ana majukumu lazma iende hm ila huyu alienda kubet mkeka ukitiki je..
 
Gentleman Tlaatlaah sijajua unatoa wapi guts za kusema 30-35 ni binti Ebu twende kibaolojia na kihesabu
Binti wa miaka mwanadada wa 1995 mwaka huu katimiza miaka 30 it means 2010 alikuwa na miaka 15 Sasa kama balehe ya wasichana ni 12-14 kuanzia 15 years kizazi kinakua kishakomaa,
👉Sasa ashumu 2010 angekua amezaa it means binti yake wa kwanza angekua na Miaka 15 tu assume Huyu binti naye kazaa mwaka huu January, it means Huyu mama yake ataitwa bibi

Same applies kwa 35 woman 2005 alikuwa na miaka 15 kama angezaa mwaka 2005 binti sahivi angekua na miaka 20 Sasa binti wa miaka 20 anazaa watoto ata watatu simultaneously

Hitimisho 30-35 watoe kwenye kundi la Mabinti, hawa ni mashangazi na Grand mother's to be😅
 
Ukichanika hana hasara,ila family unalisha mke na unagongewa ya nn sasa.
Kuhudumia familia yako ni Jukumu letu Wanaume, hilo la kugongewa ni matokeo tu ambayo huweza kumtokea yeyote
 
Gentleman Tlaatlaah sijajua unatoa wapi guts za kusema 30-35 ni binti Ebu twende kibaolojia na kihesabu
Binti wa miaka mwanadada wa 1995 mwaka huu katimiza miaka 30 it means 2010 alikuwa na miaka 15 Sasa kama balehe ya wasichana ni 12-14 kuanzia 15 years kizazi kinakua kishakomaa,
👉Sasa ashumu 2010 angekua amezaa it means binti yake wa kwanza angekua na Miaka 15 tu assume Huyu binti naye kazaa mwaka huu January, it means Huyu mama yake ataitwa bibi

Same applies kwa 35 woman 2005 alikuwa na miaka 15 kama angezaa mwaka 2005 binti sahivi angekua na miaka 20 Sasa binti wa miaka 20 anazaa watoto ata watatu simultaneously

Hitimisho 30-35 watoe kwenye kundi la Mabinti, hawa ni mashangazi na Grand mother's to be😅
saa zingine bana,
huwa wanawake wanajipaga pressure wao kwa wao kwenye kupeana ubuyu huko kwenye masaluni au vikoba,

unakuta kabinti kalikoolewa kakiwa na miaka 20 au 22 na kana watoto wawili au watatu hivi sasa, halafu kanapiga stori na hao wenye umri wa miaka 30-35 kwamba akifikisha miaka 32 hangependelea kuzaa tena akiwa mzee wa miaka35, kanasema mimba za uzeeni zinasumbua sana,

wakati anasema hayo, huyu mwenye miaka 30-35 hata kushika ujauzito ni tabu na wala hana mtoto hata moja, stori hizo ndiyo humchanganya na kumpa stress zaidi 🐒
 
Tatizo ya mabinti wa age wanatafuta mume mwenye hofu ya Mungu lkn hapo hapo anataka awe na tabia za bad boys wanapokuwa kitandani. Sababu wengi washakuwa abused wakati wa kusex,yaani washazoea rough sex,show za mda mrefu, style na mitindo ya ajabu ya sex. Ndio maana binti unakuta anasema kaokoka mdomoni na kuanza kuingia makanisani kutafuta mume, ila moyoni still bado ana maex wake kawatunza, ndio maana hata akipata good boy/nice man wa kumuoa haishii kumlinganisha na wahuni wake wazamani.Unakuta anakuja kupa mume ambaye good man,mcha Mungu, ila haishii kumtoa kasoro kw kitumia vitu alivyokuwa akipewa na wahuni mata atasema hajui sex,mzito kitandani mara anaenda nusu saa hoi, mara hajui kuandaa yaani anakuwa kama auditor wa sex kitandani.

Japo wapo kweli wenye nia thabiti ya kuanza upya na hawa wakipenda wanapenda kweli ,unaweza husimpe hata senti still akakupenda na kujitoa kwako, ila kundi hili katika age 30+ wapo wachache sana na mara nyingi hawa pamoja na utayari wao ila hawanaga bahati ya kupata waume wazuri. Wanawapata wale wazee ambao wanapenda Umario wakati umri umeenda.
Upo sahihi kabisa kaka.
 
Haya mambo ya wazungu tu wametuletea yakatutoa ufahamu na kufanya ndio standard ya maisha ya mtu mweusi, huwezi kuamini watu hata wawe na pesa kiasi gani na elimu ya juu kiasi gani bado wanaamini wasipoa au kuolewa wamefeli maisha kibongobongo 😛 😛
Hisia za kuoa na kuolewa ki asili ya kihisia ya binadamu, inakuwa nje ya uwezo wa mtu.
 
Nini hasa huchochea hali hii ambayo pia wengi wao hufanikiwa kupata ujauzito kwa tabu sana, lakini wengine huhangaika kila mahali na kuambulia patupu, na hatimae hujikatia tamaa kabisa?🐒

naskia huruma sana.

Mungu Ibariki Tanzania
Unamuonea huruma mtu aliyecheza na maisha yake mwenyewe tena kwa kujitakia?
 
Sababu wanaona kabisa kitu kinaelekea kuota kutu maana sasa wameshatembea kilometres nyingi bilabila
Wengi wao walikitombesha sana ujanani mwao na kutoa mimba hovyo, wanazeeka ndipo wanakumbuka shuka ya kujifunikia uzeeni.
 
Kivipi maana hakuna ajuaye kesho yake kila mtu anataka mtu sahihi
Unakuta mwanamke / msichana yuko bize anakula maisha yake ya ujana bila kujali ushauri wa watu wanaomjali, atombana hovyo na kutoa mimba kiholela kisha anakuja kuharibu kizazi chake. Uzeeni anasuswa na wanaume wale wale aliokuwa anawakataa kipindi yupo sokoni, mwishowe anachanganikiwa na kuanza kuvaa vitu vya hajabu ili aonekane relevant kumbe ndiyo dalili ya kuchanganikiwa uzeeni baada ya kuona hakuna mwanamme amtakaye tena kwani kishakuwa used vya kutosha. Sasa unamuoneaje huruma mwanamke kama huyu?
 
Back
Top Bottom