Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
S
Sasa huyo alieoa ana majukumu lazma iende hm ila huyu alienda kubet mkeka ukitiki je..Sio rahisi Kijana asiye na ndoa kuweza kuwa na nidhamu ya Fedha kuliko aliyeko kwenye Ndoa
Chukulia Vijana wawili mwenye familia na asiye na familia wamepata shilingi 10,000
Asiye na familia anaweza chukua hiyo hela na kwenda kubetia
Wakati mwenye familia (Ndoa) anaweza ichukua hicho kiasi na kwenda kununua kilo mbili za Mchele na Sukari
Jaribu kupima hayo