Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Nimegundua mabinti wengi hawamalizi elimu ya sekondari, wakiona shule imekuwa ngumu wanaanza kujifanya wanapandisha mapepo, ajabu mapepo hayo hupanda siku za shule tu wala sio weekend.
Wazazi nao wanaamini kwamba watoto wao wana matatizo, watapeleka kwenye maombi lakini hawaponi, wanaamua heri waache shule wakae nyumbani, na hapo ndipo mapepo hayo hupotea na kutokomea kusiko julikana.
Wito wangu kwa wazazi ni kutokuendekeza watoto hasa wakifanya udanganyifu huu, wakipandisha hayo mapepo dawa ni fimbo tu mpaka akili ziwarudi.